Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya ulipaji kodi nchini hasa kwa wafanyabiashara wadogo, wafanyabiashara wengi wanagharamia fedha nyingi na kupoteza muda mwingi katika zoezi zima la kulipa Kodi.
Mathalani mlipa kodi anasafiri umbali mrefu sana kwenda kukadiriwa kodi na kupewa control number...