wafanya biashara

  1. Merci

    Namna nzuri ya kutatua changamoto ya machinga na wafanyabiashara ndogo pembezoni mwa barabara na maeneo yasiyo rasmi

    Kwa kuzingatia yakua machinga na wafanya biashara ndogo ndogo nao huchangia katika pato la Taifa na la kwao moja kwa moja, ni vema kufikiria na kuweka njia nzuri ambayo itawafanya waendelee kutumia maeneo hayo kwa shughuri zao za kiuchumi. Mfano, unakuta migambo na askari wa jiji wakipambana...
  2. sky soldier

    Kujiajiri ni utumwa zaidi ya kuajiriwa, waliojiajiri wengi wanakosea kujiweka kundi moja na wamiliki wa biashara

    Nimekuwa nikiona sana kuna kukosekana kwa uelewa juu ya utofauti wa mtu aliejiajiri (self employed) na mmilliki wa biashara (cusiness owner) Mtu aliejiajiri ni mtu anaefanya shughuli zake yeye mwenyewe kwa asilimia kubwa ili kuzalisha kipato, mfano ni mangi mwenye duka, mtu mwenye duka anaeuza...
  3. S

    Shaka apiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia katikati ya Mji wa Dar

    Katibu wa Halmashauri kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndugu. SHAKA HAMDU SHAKA leo Oktoba 31 atazungumza na waandishi wa vyombo vya Habari kuanzia saa 6 mchana ofisi Ndogo za CCM - LUMUMBA Dar es salaam. ===== CCM yapiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia mjini CHAMA Cha...
  4. Jemima Jackson

    Machinga na wafanyabiashara wa Tanzania jifunzeni kufanya biashara mtandaoni, tumieni 'smartphones' zenu vizuri

    Habari wadau JF, Watanzania tubadilike twende na wakati kwa nini tuko kama watu kale binafi siungi mkono Machinga wala Migambo wajiji siko upande wowote ila kwa akili hizi mazingira tunayatengeza wenyewe kwakutokuwa wabunifu na kwenda na wakati kunamswali mengi sana waga najiuliza kwanini...
  5. Stephano Mgendanyi

    DC Jokate, ametangaza rasmi kuja na kampeni ya TEMEKE GULIO

    TEMEKE GULIO KUTOA FURSA ADHIMU KWA WAFANYA BIASHARA WADOGO (WAMACHINGA) WILAYA YA TEMEKE - MHE.JOKATE MWEGELO Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo ,Leo Oktoba 13 ametangaza rasmi kuja na kampeni ya TEMEKE GULIO itakayotoa fursa adhimu kwa wafanyabiashara wadogo maarufu wamachinga...
  6. J

    Temeke gulio kutoa fursa adhimu kwa wadogo (wamachinga) wilaya ya Temeke

    TEMEKE GULIO KUTOA FURSA ADHIMU KWA WAFANYA BIASHARA WADOGO (WAMACHINGA) WILAYA YA TEMEKE - MHE.JOKATE MWEGELO Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo ,Leo Oktoba 13 ametangaza rasmi kuja na kampeni ya TEMEKE GULIO itakayotoa fursa adhimu kwa wafanyabiashara wadogo maarufu wamachinga kuweza...
  7. Mukulu wa Bakulu

    Profesa Shivji ashangazwa na uteuzi wa wafanyabiashara kwenye uongozi wa TANESCO

    Msomi wa kiwango cha kimataifa wa Tanzania, Profesa Shivji ameshangazwa na kitendo cha wafanya biashara kuchaguliwa kuongoza taasisi za umma. Shivji anasema sekta ya umma haiwezi kuchangamana na sekta binafsi. Sisi wengine tumeshangazwa na uteuzi wa wafanya biashara na watu wenye maslahi...
  8. Eliya Konzo

    Simu Janja kama Mashine ya EFD - Nafuu kubwa kwa wajasiliamali na wafanya biashara

    AMBWENE KONZO LIMITED WANAKUPA NAMNA , RAHISI, SALAMA NA NAFUU ZAIDI YA KUTOA RISITI ZA TRA KWA KUTUMIA SIMU,KOMPYUTA,POS AU MFUMO WAKO ULIONAO. HUNA HAJA YA KUNUNUA MACHINE. ILIKUPATA HUDUMA UNATAKIWA KUWA NA: NAKALA YA TIN CERTIFICATE NAKALA YA KITAMBULISHO BARUA YA MAOMBI KWA TRA KUTOKA...
  9. gimmy's

    Rais Samia, zile pesa ulizoziita za dhulma walizopokwa wafanya biashara na TRA itapendeza kama mtawarudishia wenyewe

    Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wanajukwaa. Ndugu zangu kwanza nitaanza kwa ku declear interest kwamba mimi ni mwana CCM ambae nilikuwa simuungi na sikubaliani na hayati Magufuli bila kificho kwani matendendo yake na uongozi wake haukuwa mzuri kwa maono yangu. Kwa maono yangu...
  10. herikaniugu

    App nzuri kwaajili ya Wafanyabiashara

    Kwa Anayehitaji App Nzuri kwa Ajili ya Kutunza Kumbukumbu za Mauzo ya Biashara. Inauzwa 20,000/= tu. Anicheck WhatsApp 0764181161 Nitamtumia Link ya Play Store, Pamoja na Video za Namna Inavyofanya Kazi.
  11. CONTROLA

    Wafanyabiashara ya Ushonaji (Tailoring) nendeni na wakati

    Huwa naamini sana katika biashara zinazohusiana na ujuzi flani flani kwani najua hata kama utakosa mtaji pesa ila ujuzi wako utakusaidia kwenda kupata pesa ya kuanzisha biashara yako mwenyewe. Nimekua na marafiki kadhaa ambao ni washonaji na wengine hata si marafiki zangu ila wengi kati yao...
  12. ZOPPA

    Migogoro inayoendelea soko la Mawenzi mkoani Morogoro hakuna mtetezi wa kupaza sauti, wafanyabiashara wananyanyasika mkuu wa mkoa uko wapi?

    Mimi ni moja kati ya wafanyabiashara wa soko la Mawenzi lipo Morogoro mjini kata ya uwanja wa Taifa ili soko lina miundombinu mibovu kume kuwa na migogoro baina ya Manispaa na wafanyabiashara wanataka kutuamisha pasipo kufuata taratibu Tumeshapeleka sana malalamiko kwa mbunge na mkuu wa...
  13. Mukulu wa Bakulu

    Mama Samia ameingia kwenye mtego wa wafanyabiashara kubembelezwa kulipa kodi, tumekwisha!

    Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea. Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa...
  14. E

    Asilimia kubwa ya Wafanyabiashara na matajiri Tanzania walifeli Darasa la Saba

    Daa aise, Kumbe asilimia 90 ya wafanyabiashara wa Tanzania walifeli Darasa la saba. Kumbe haya mavazi mazuri ni wao ndio wanaotuuzia alafu sisi tunapendeza. Kumbe wao ndio wanaofuata mizigo China. Kumbe ndio wanaolipa kodi nyingi serikalini. Yaani kumbe yale majengo mazuri mazuri ya maduka...
  15. MK254

    Hehehe!! Tz panazidi kuwa patamu, wafanyabiashara wacharazwa viboko na DC hadharani - video

    Yaani hadi raha, mwendo wa hukumu hapo kwa hapo...viboko... Watanzania hunikumbusha mbali sana..dah!
  16. dubu

    GE2020 Dkt. Magufuli: Vitambulisho vya Machinga sio lazima, acheni uongo

    Mgombea Urais kupitia CCM Dkt John Magufuli amesema, watu wanazusha kwamba Machinga wanalazimishwa kuwa na vitambulisho, sio kweli. Vitambulisho sio lazima. ''Vitambulisho havilazimishwi ni lazima itolewe elimu kwa wanaoshiriki kwenye vitambulisho ili wakafanye bishara mahali popote, tunataoa...
  17. D

    Hii kasumba ya Serikali kukamata mali za wafanyabiashara wakidaiwa kificha bidhaa inapoadimika sokoni, Je ni suluhisho?

    Nianze kwa kusema wazi! Inchi yetu ipo kwenye mfumo wa "SOKO HURIA" Inakuwaje kila Mara bidhaa inapoadimika Serikali inakimbilia kukamata Mali za wafanya biashara kwa (kupoka) kisa mtaani zimeadimika? ikumbukwe wafanya biashara Hawa wanazimiliki bidhaa hizo kihalali na wamelipia ushuru Sasa...
  18. Amo1

    Ni bora kuwa single kuliko kuumizwa kihisia na “wafanyabiashara” wa karne hii

    Habari wanaJF Kitu nilichojifunza kwa sasa kama hauna moyo wa kutoa na hauna uwezo wa kutoa ni bora ukae single kuliko kuumizwa kichwa na hawa wafanyabiashara wa sasa. Yani kila unapogusa iwe ni rafiki(I mean positive friendship) au mahusiano lazima mizinga ihusike. Wengine una chat nao au...
  19. cantona55

    Karibuni wageni na wafanya biashara

    ..
  20. masai dada

    Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    Habari wana jamvi, Naomba ushauri nataka kwenda uganda kuleta nguo za mitumba, pochi na viatu pamoja na vipodozi napenda kujua cha kufanya maana ndo nataka kuanza ikiwemo accomodation nikiwa uganda,je huku Tanzania nitaziuzaje, mtaji kwa mzigo wa kwanza uwe shingapi vip usafiri,Ushuru na TRA...
Back
Top Bottom