wadukuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    Udukuzi tovuti za Serikali Kenya: Waziri adai hakuna taarifa zilizopotea wala kuibwa

    Waziri wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT), William Kabogo, amesema hakuna taarifa zozote za serikali zilizopotea au kuibwa na wadukuzi baada ya tovuti kadhaa za serikali kuvamiwa mapema Jumatatu. Miongoni mwa tovuti zilizodukuliwa ni ya Ikulu pamoja na zile za Wizara za Teknolojia ya...
  2. nodetz

    Tuelimishane kidogo kuhusu wadukuzi (Hackers)

    Habari wana jm. Juzi katika pitapita zangu uko youtube nilikutana na video moja ya jaamaa anaitwa () ni mbongo mwenzetu alikua akielezea zofauti ya IT na cybersecurity ase niliumia sana🥲🥲. Kilicho niumiza zaidi ni upande wa comment ase pale ndo niligundua watu wanapenda sana kujua udukuzi ni...
  3. Fbn

    Kuna siku unashangaa tuna lalamika mitandao ya pesa na sms inakuja ikidai ulichokisema basi hapa tulipofika hiii yote ni hawa wahuni

    Kuna siku unashangaa tuna lalamika mitandao ya pesa na sms inakuja ikidai ulichokisema basi hapa tulipofika hiii yote ni hawa wahuni. Mtalalamika benki,mitandao ya simu na wale ponzi ila hawa wameshaamua nchi kuwa ya kwao hata muishi muwe kama somalia ya jangwa. Kwa wale DMZ kuna Hattacker...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Google Yaonya Watumiaji wa Gmail Kuhusu Mashambulizi ya Wadukuzi

    Kampuni ya Google imewataka watumaji wa huduma ya baruapepe ya mtandao ya Gmail kuwa makini kwani kuna kundi la wadukuzi wanaozilenga akaunti hizo baada ya kufanikiwa kuiba taarifa. Google imesema watumiaji wa huduma hiyo wanaofika zaidi ya bilioni mbili duniani kote wasijibu ujumbe...
  5. I

    Jinsi Wadukuzi Wanavyoficha Malware Kwenye JPG, PDF na Faili Nyingine

    Jinsi Wadukuzi Wanavyoficha Malware Kwenye JPG, PDF na Faili Nyingine Kila siku tunabadilishana mafaili kama JPG, PDF na mengineyo bila hofu yoyote. Hata hivyo, ukweli ni kwamba faili linaloonekana la kawaida linaweza kuficha programu hatarishi. Wadukuzi wameendelea kubuni mbinu za kificho...
  6. J

    Kampuni ya Telecome nchini Namibia imeshambuliwa na wadukuzi

    Kampuni ya simu ya Telecom inayomilikiwa na serikali ya Namibia imeshambuliwa na wadukuzi na kusababisha uvujaji wa taarifa nyeti za wateja. Vyombo vya habari vya ndani vimeripoti kuwa wadukuzi waliiba karibu taarifa 500,000 ikiwa ni pamoja na taarifa binafsi na za kifedha za wizara, maafisa...
  7. Mindyou

    Wadukuzi wavamia mifumo ya Benki Kuu Uganda na kuiba Mabilioni ya fedha

    Wakuu, Inaonekana huko nchini Uganda masuala ya "hacking" na "cyber security" yamepamba moto mno. Wizara ya Fedha ya Uganda imethibitisha ripoti za vyombo vya habari kuhusu wadukuzi kuvamia mifumo ya Benki Kuu na kuiba fedha, lakini imekanusha madai kuwa kiasi kilichoibwa kilifikia dola...
  8. G

    Trump karudi X, avunja rekodi ya kupata wasikilizaji wengi kwenye space, Kamala alaani ni uchcochezi, Wadukuzi walijaribu kuharibu interview.

    Trump aliwahi kufungiwa kwenye mtandao wa X kipindi ukiwa unaitwa Twitter, Akaanizisha platform yake inayoitwa Truth kwasababu kwa kipindi hicho mtandao wa Twitter ulianza kuegemea zaidi maono ya Democrats, Hivyp watu wengi wenye sera za Republicans walipigwa BAN akiwemo Trump. Baada ya Elon...
  9. Ghost MVP

    Namna Wadukuzi wanavyoweza Kudukua Account zako za Social Media

    Usifate maelekezo Kutoka kwa Watoa huduma 'FAKE' Njia kubwa wanayoitumia Kwa sasa ni hii Mdukuzi hukutafuta kama Mtoa Huduma kutoka katika Kitengo cha huduma kama instagram, facebook na mitandao mengine ya kijamii, wakikutaka Uthibitishe Taarifa zako ili 'Account' yako isifungiwe. Watakupatia...
  10. MK254

    Wadukuzi wa Ukraine wadukua mfumo wa Urusi na kupata taarifa zote za safari za ndege

    Supapawa kadukuliwa kizembe sana, jamaa wameingia kwenye kanzidata na kufumua kila taarifa humo za safari zote... Ukrainian hackers have hacked into the Russian database of the Sirena-Travel booking system, obtaining information on 664 million flights over the last 16 years. They also obtained...
  11. JanguKamaJangu

    Klabu za Premier League zaonywa kuhusu Wadukuzi kuvamia mifumo ya usajili

    Imebainika kuwa Klabu za England zinalengwa na wadukuzi, ambao wanatuma ankara za ulaghai kuhusu uhamisho wa wachezaji wa nje ya Nchi hiyo. Suala hilo ni zito, Chama cha Soka Cha England (FA) kimetuma onyo kwa Klabu na kuzitaka kupitia barua pepe zao za usalama na kuzitaka idara zao za fedha...
  12. MK254

    Wadukuzi wa Korea Kaskazini wadukua kampuni ya silaha ya Urusi

    Ni kampuni kubwa ambayo hutengeneza mizinga ikiwemo ile ya hypersonic, wamedukuliwa kizembe sana tena kwa miezi mitano bila kushtukia.... North Korean leader Kim Jong Un and Russia's Defense Minister Sergei Shoigu visit an exhibition of armed equipment on the occasion of the 70th anniversary...
  13. Pascal Ndege

    Tetesi: Udukuzi: Kama simu inakuwa ya moto ukiwasha data ni dalili za wadukuzi kudukua camera na audio za simu yako.

    Kwa wataalam wa IT upande wa software engineering watakubaliana na Mimi kuwa udukuzi ni kitu cha kawaida kabisa katika tasinia ya technologia. Udukuzi hufanywa Mara nyingi sana. Lakini Kuna iana mbili za udukuzi. 1.Udukuzi wa faida(kujikinga na magaidi na kurinda Usalama) 2.Udukuzi wa...
  14. BARD AI

    Serikali ya Kenya yathibitisha Wadukuzi wameingilia Mifumo ya Malipo, Taarifa za Uhamiaji na Upelelezi na Benki

    Kwa mujibu wa Waziri wa Mawasiliano na Uchumi wa Kidigitali, Eliud Owalo amesema shambulio hilo lililolalamikiwa na Wananchi kwa takriban siku 4 limefanywa na Wadukuzi waliojitambulisha kama 'Wasudan Wasiojulikana. Hata hivyo Waziri amesema Taarifa Muhimu za Watumiaji na Taasisi hazijachukuliwa...
  15. K

    Wadukuzi wa kichina wanzisha operation maalum kuidukua Kenya

    Katika kile kinachoonekana kama serikali ya Uchina kuwa na wasiwasi juu ya uwezo wa nchi ya Kenya kulipa mabilion ya pesa waliyokopeshwa ili kutekeleza miradi mikubwa ya kiuchumi kama SGR nk,makundi maarufu ya udukuzi yenye uhusiano mkubwa na nchi ya China yameanzisha operation maalum ya udukuzi...
  16. n00b

    Uhispania Yawakamata Wadukuzi 40 katika Msako dhidi ya Genge lao

    Mamlaka za Uhispania wiki hii zilitangaza kukamatwa kwa watu 40 kwa kujihusisha kwao katika genge la uhalifu lililofanya ulaghai wa benki, kughushi nyaraka, wizi wa utambulisho na utakatishaji fedha. Wawili kati ya watu hao, mamlaka inasema, walikuwa na jukumu la kutekeleza ulaghai wa benki...
  17. JanguKamaJangu

    Uingereza yaonya mpango wa Wadukuzi wa Iran na Urusi kuwadukua Waandishi wa Habari, Wanasiasa

    Kituo cha Mtandao cha Kitaifa cha Uingereza (NCSC) kimetoa angalizo kwa watu wa tasnia hizo kufanyiwa udukuzi wa kijasusi kwa lengo la kukusanya taarifa mbalimbali Imeelezwa wadukuaji wanawalenga watu ambao wanafanya utafiti na wanafanyia kazi kwa ukaribu na Mataifa ya Iran na Russia. NCSC...
  18. Replica

    Jinsi wadukuzi walivyolamba mabilioni ya Airtel Money Uganda kupitia kampuni ya kubeti, makampuni ya Tanzania yajipange

    Taarifa zimetoka jinsi kikundi cha udukuzi cha kofia nyeusi 'black hats' kilivyotumia tovuti ya michezo nchini Uganda kuchukua pesa kutoka kwenye mfumo wa Airtel Uganda(AMCUL) Wakati tovuti hiyo ya kampuni ya michezo ya kubahatisha ikijisifu kufata viwango vya usalama kulinda taarifa za...
  19. JanguKamaJangu

    Australia: Wadukuzi wawavamia Wanasiasa, wanahabari

    Wadukuzi Nchini Australia wametengeneza tovuti ya habari za uwongo ili kukusanya taarifa kutoka kwa Maafisa wa Serikali, Wanasiasa na waandishi wa habari. Walengwa wamepokea barua pepe zinazoonesha zimetoka katika vyombo vya habari vya Australia kukiwa na habari mbalimbali ambazo zimeibwa kutoa...
  20. JanguKamaJangu

    Marekani yaahidi dola milioni 10 kwa atakayetoa taarifa za wadukuzi 6 wa Urusi

    Marekani imesema itatoa kiasi cha hadi dola milioni 10 kwa atakaetoa habari kuhusu watu 6 wanaotambulishwa kuwa ni maafisa wa ujasusi wa Jeshi la Urusi, wanaodaiwa kuwa waliendesha mashambulizi ya mtandaoni yaliyoathiri miundombinu muhimu ya Marekani. Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imesema...
Back
Top Bottom