wadukuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Mataifa mengi ya Afrika hayajaweka Mikakati thabiti ya Usalama wa Mitandao jambo linalowafanya wawe kwenye hatari ya kushambuliwa

    Mpaka kufikia mwaka 2022 bado mataifa mengi ya Kiafrika yanaonekana kuwa nyuma katika ya kuweka mikakati thabiti itakayowezesha usalama wa mitandao katika nchi zao. Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia wananchi wengi pamoja na serikali za Kiafrika zinatumia vifaa vya kidijitali katika...
  2. Analogia Malenga

    Wadukuzi wanadai fidia ili kufungua tovuti za Serikali Msumbiji

    Wadukuzi wamepata tena udhibiti wa tovuti zaidi ya 30 za Msumbiji, saa chache baada ya serikali kusema kuwa imezima shambulio la Jumatatu. Kundi linaloitwa "Yemen Hackers" limedai kuhusika na shambulio hilo la hivi punde. Baadhi ya tovutizilizolengwa ni pamoja na mamlaka ya usimamizi wa majanga...
  3. Sam Gidori

    Italia: Wadukuzi wadai kuiba GB 60 za taarifa za watu

    Shirika la Usalama wa Taarifa za Mtandaoni nchini Italia linachunguza jinsi wadukuzi walivyofanikiwa kuiba taarifa za wafanyakazi na watumiaji waliosajiliwa wa Shirika la Hakimiliki la Taifa. Kundi hilo la Wadukuzi linalojiita ‘Everest’ limedai kuwa linamiliki zaidi ya Gigabaiti 60 za taarifa...
  4. Sam Gidori

    Wadukuzi wadai kuiba taarifa za 74% ya Waisrael wote

    Wadukuzi wanaojiita Sangkancil wamedai kudukua taarifa binafsi za zaidi ya watu milioni 7 nchini Israel. Wadukuzi hao wamesema wamedukua taarifa hizo kutoka kwenye tovuti ya CITY4U ambayo hutumiwa na mamlaka za Israel kushughulikia malipo mbalimbali kama bili za kawaida, faini, kodi nk...
  5. Analogia Malenga

    Wadukuzi waonesha ubovu wa mifumo ya Cryptocurrency

    Wadukuzi wenye maadili 'white hat hackers' waliingia kwenye mifumo ya fedha za mtandao, 'CryptoCurrency' na kuchukua kiasi cha dola milioni 610. Wadukuzi wamerudisha kiasi hiko cha fedha kwa wahusika kwa kuwa lengo lao halikuwa kuiba. Walichukua hela hizo kutoka Polygon, BSC na Ethereum...
  6. Sam Gidori

    Wadukuzi wadai fidia ya Tsh Bilioni 162 ili kufungulia mifumo waliyofungia

    Wadukuzi wanaodhaniwa kuhusika na shambulio la kimtandao wamedai malipo ya dola milioni 70 (sawa na Tsh. bilioni 162 na milioni 330) ili kufungulia mifumo waliyodukua. Madai yao yaliwekwa wazi siku ya Jumapili katika mtandao wa kihalifu unaohusishwa na genge la wahalifu wa kimtandao la Urusi...
Back
Top Bottom