wadada

Nicholas Wadada Wakiro (born 27 July 1994) is a Ugandan professional footballer who plays as a right-back for Azam F.C. of Tanzania and the Uganda national team.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wadada ukiwatongoza, wanajibu kikatili bila sababu?

    Utakuta unamu-approach mdada kistaarabu uanzishe naye mahusiano ya kimapenzi, ambayo pengine yataishia kwenye ndoa, sometimes unachukua namba yake unachat nae kistaarabu, aloo majibu anayojibu unajiuliza sababu ya kukujibu hivyo huoni, useme labda alikukataa halafu unaendelea kumsumbua hakuna...
  2. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Wanaume, hawa wanawake walindwe huko walipo dhidi ya lile kundi la pili

    Sabato njema. Sitaki porojo la kuandika maneno mengi, weka bundle wasikize mwenyewe. No. 1
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hawa Wadada wa NPS wanaotoza Ushuru Gari zinazopaki Barabarani wamefaulu vyema Somo la Customer Care?

    Wengi wao..... 1. Wana Hasira (Usununu) 2. Wakali 3. Wajeuri (Ngumi Mkononi) 4. Wana PhD"s za Matusi 5. Hawajui Kutabasamu 6. Wana Stress na Frustrations 7. Mabingwa wa Kugongea Misosi ya Watu na Kulazimisha kupewa Lifti nyakati za Jioni / Usiku Kuna Mmoja nimekutana nae mahala nimemchanganyia...
  4. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wadada wanapenda watu wa namna hii kwenye mahusiano

    Eti wadada wanapenda wanaume wa namna hii. Sisi wenye vifua kama chaga za kitanda hawatutaki, kisingizio eti hatuwezi kupambana na adui pale atakapotokea.
  5. Joannah

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Dar es Salaam leo mmetisha sana

    Habarini. Leo 8 March Siku ya Wanawake Duniani jamani wanawake wa Dar es Salaam mmetisha sana. Nyie Watu wapendeza jamani, kila aina ya kitenge kilikuwa hapa leo, Wakinga wa Kariakoo hakika watakuwa wamefurahi sana. Wanawake wamevaa wenyewe vitenge vyao vya sare kwa makundi makundi hiyo...
  6. Joannah

    JamiiForums Tanzania Wadada wa Dar na Visigino vyao

    Mambo zenu jamani. Nimeona tukumbushane tu madiva wa Dslam kuhusu Visigino vyetu jamani. Sio Siri Dar panaongoza wadada kuwa na miguu michafu yaani hadi unashangaa huyu katoka kwenye vanga wapi? hii yote ni sababu ya kusingizia joto na kuendekeza hivi visendo vya kichina .Yaani mtu muda wote...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Jesca Kikumbi (Kitambaa Cheupe Bar) na Lilian Gumbo (Liquid Bar), wadada wameamua kukimbiza biashara za Baa za kisasa

    Habari wadau. Wadada wameamua kuleta ubishi kwenye biashara za Bar na wanakimbiza kweli kweli mifano hai ni jesca kikumbi mmiliki wa kitambaa cheupe former cabin crew wa fast jet na mwenzie Lilian Gumbo mmiliki wa Liquid Bar former police officer. Hawa wadada waliamua kujiajiri kwenye biashara...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Meya afika kwenye madanguro Mwananyamala, Wadada wanaojiuza wakimbia

    Kufuatia ongezeko la madanguro katika maeneo ya Kinondoni, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge amefika kwenye maeneo ya kunapodaiwa kufanyika kwa biashara ya kuuza mwili maeneo ya Mwananyamala na kuahidi kuchukua hatua dhidi ya wamiliki wa nyumba zinazotumiwa katika biashara...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wadada ndani ya Daladala

    Kuna hii kadhia ya kwenye daladala zetu, inanikera sana, ya abiria kusimama mistari miwili wakielekezana migongo. Makondakta wana ujuzi wa kupanga abiria, huoni hata nafasi imeachwa. Msongamano huu upo pia kwenye Mabasi yetu ya Mwendokasi, ingawa kule utaratibu si kama we kwenye daladala...
  10. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Wadada wanapenda kuuliza ATI kazi Gani unafanya? Wanamtaka mwanaume atakaetatua shida zake! Mtuonee huruma tuna watoto na wazazi!

    Hawa viumbe wamenishinda tabia kabisa! Eti kazi Gani unafanya? Inakuhusu Nini? Taarifa zangu za kazi anazijua mke wangu na watoto wangu labda na wazazi !!wewe husna wa tabata na ashura wa tandale ambae tumekutana bar unataka kazi yangu Yanini? Embu tupumzisheni! Na maswali yenu ya kipuuzi...
  11. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Mapenzi na Mahaba Kwa wapendanao🥰😘😘😘

    😝😝😝😝😝🎉🎉🎉🎉 ukitaka uishi Kwa Amani mwanaume ujue haya : 1.ujue kumuandaa mwanamke na apewe haki yake aridhike 2.Apewe kadi ya manunuzi , apendeze anunue atakachoo, akupikie ule akuandae kwenda kazini . 3.ukirudi akupokee Kwa tabasamu zuri nawewe mwanaume urudishe tabasamu kuonyesha unamjali...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Wadada wa kazi tendeeni watoto wa wenzenu kama wa kwenu hata kama leo huna mtoto

    Wazazi na walezi wenye watoto hiki kinawahusu,baadhi ya wadada wanaotusaidia kazi nyumbani(house girls) wamekuwa na tabia za kufukuza bila kusubiri mwezi uishe kwa namna inavyo kera. Nilikuja kukagua shughuli za mradi Geita,baada ya kumaliza siku tatu nikampigia simu rafiki yangu anayeishi...
  13. Blue-ish

    JamiiForums Tanzania Wadada acheni wizi

    habari zenu
  14. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Hiki kitu hakiwakeri wadada

    Mimi nawaza humu sijui nani anawaambia eti wanawake wa JF ni wana sura ya kutisha? Niambieni. Wanaume wa humu mliojificha kwenye avatar mie tokea niwafahamu watu wa humu wanaume wa JF wanasura mbaya hadi kero wamepauka? Sasa nyie mlitaka mtu kama Beyonce utampataje tuambie tu . Sema kama...
  15. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Wadada kwenye daladala

    Jamani kelele za hawa wadada et tunabambiwa ila sometime wanayatakaga wenyewe Nimekaa zangu kwenye siti mtu anakuletea kalio mpaka puani hata hajistukiii mbaya zaidi limewamba Sikutakiana lawama huku ikabidi nizuge nimelala maana sipendagi ujinga kibisa
  16. music mimi

    JamiiForums Tanzania Wadada nisaidieni kurasa nitakazopata urembo maridadi

    Hapa panawahusu wadada so naomba nijibiwe na wadada. Mie sio mtaalam sana wa vitu vya kike vilivyo kwenye trend. Ila nataka kumnunulia wifi yenu zawadi kwa ajili ya valentine so ninataka kununua kidogo kidogo mpaka siku hiyo maana mwaka jana sikumnunulia zawadi alipoa mpaka nikakosa raha...
  17. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

    Jana wana JF kadhaa wenye club yetu fulani hivi amazing tulikuwa tumekutana The Wine Coutry kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2023. Wanawake tulikuwa wawili tu, mimi na bidada mwingine na wanaume idadi yao ilikuwa kumi na kitu. Jamani miongoni mwa mambo ambayo wanaume wanayaona ni kero...
  18. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Jermain Defoe kiboko ya wanawake wote wapenda kitonga au mteremko

    Salaam wakuu, leo nimeona niwajuze kuhusiana na kisa cha kushangaza kinachomuhusu mchezaji wa mpira Jermain Defoe. Jermain defoe huyu ni mchezaji wa zamani wa soka katika timu za Sunderland,toronto,rangers na Bournemouth. Huyu bwana ameushangaza ulimwengu kwa ujumla baada ya kuthibitika kuwa...
  19. Kalpana

    JamiiForums Tanzania Hawa ndo wadada wazuri Duniani

    Kuna chuo fulani huko majuu kimetoa list yake ya "The most beutiful women in the world" na list ya ndo hii...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Atakayenionesha andiko linalosema mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini nampa laki 1 akale sikukuu

    Wakuu kwema, Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani? Sihitaji Hadithi au andiko...
Back
Top Bottom