wadada

Nicholas Wadada Wakiro (born 27 July 1994) is a Ugandan professional footballer who plays as a right-back for Azam F.C. of Tanzania and the Uganda national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Mia saba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa wadada, hivi kinachowaliza siku za harusi huwa ni nini?

    Unakuta haamini Kama kaolewa? Anajua anaenda kulala uchi (popo) kila usiku? Anajua msela atabandua papuchi Bila malipo? Au Huwa nimaigizo? Maana nimeshindwa kuelewa machozi yanahusikaje pale
  2. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wadada wengine sijui wakoje! Huyu nimeshindwa kuelewa nimfanye nini

    Huyu dada rafiki yangu wa muda toka tukiwa chuo. Jana alipenda tuonane tuweze ongea mawili matatu sababu ilikuwa ni weekend. Nilichukuana naye tukawa sehemu tunapata viburudisho then akaomba tunapoondoka tupitie somewhere nimchukulie kuku wa kuchoma. nikasema haina shida. So we went there...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimegundua akaunti za wadada ndio zina fedha nyingi hapa ofisini

    Watanzania wengi hawana utamaduni wa kutunza pesa, Wazungu wanaita saving, imefika wakati Yani mtu akisimama kazi ndani ya wiki mbili anaanza kuomba msaada wakati amefanya kazi kwa muda mrefu sana. Ni vema kila unapopata mshahara basi angalau asilimia 30 kafiche mahali, watumishi wa umma Wana...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Private life ya mzee Mengi: Kumbe alikuwa anahonga wadada wengi wa mjini maelfu ya Dola za Kimarekani

    Nimeona video ya dokii YouTube alipelekwa na mzee Mengi hadi south Afrika kusomeshwa akapewa na u$d 8500 (tshs million 17) ya ada na matumizi achilia $2000(tshs milioni 4) au $4000(tshs milioni 8) zingine alizopewa kabla ya kupewa ada, baada ya kupewa izo hela dokii alisema mzee mengi alimsahau...
  5. royal tourtz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wadada huwa mnaamini mwanaume asiye na haraka ya kulala na wewe ndio anakupenda?

    Moja kati ya vitu ambavyo dada zetu huwa wanatumia kama kigezo cha kumpima mwanaume, ni kigezo cha mwanaume kutompaparukia kutembea naye ingawa wameshatogozana na kukubalina kuwa pamoja. Nimesikia wadada wengi wanasifia kuwa jamaa yake hana haraka hata kama akienda kwake. Hiyo hali huwa...
  6. BigTall

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa kuna uhaba wa wadada wanaojielewa kwa ajili ya kuwa wake za watu

    Wadau salama, kuna jambo moja naona linazidi kuwa gumzo mitaani, awali nilijua labda ni mtaani kwetu tu lakini naona asilimia kubwa ya wanaume wanalalamika kuhusu hili suala. Nina rafiki yangu mmoja leo ametoka kunitumia sms analalamika kuhusu wadada, nakumbuka sentensi yake moja kaniambia...
  7. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada mnavyowatembelea wapenzi wenu wa kiume, muwe wabunifu

    Ukifika kwa mpenzi wako wa kiume, jitahidi kuwa mbunifu, mfano:- Kutembea kwa mwendo wa maringo Kuzunguka zunguka ndani ya nyumba kwa mwendo wa maringo Kujifanya umedondosha vitu na kuinama kuviokota Kuvaa vazi la kanga na kufanya fanya usafi, kupika, kumtengenezea mpenzi wako juisi n.k Kumzuga...
  8. katoto kazuri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wa kazi inatosha, achane kuwarubuni watoto wawaridhishe kimapenzi

    Jameni nimechoshwa na wadada wakazi kwa tabia zao chafu. Nashukuru mimi sijawahi kuwa na viumiza vichwa. Hivi mwanamke mzima anasex na mtoto mdogo anamwambia mtoto wa miaka 3 aende chumvini. Umekosa hata mlinzi kweli? Mtoto ameshikwa na magonjwa ya watu wazima kuangaliwa vizuri ni dada kweli...
  9. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Hivi vimbwa vina kazi gani? Naona vinapendwa sana na wadada wa mjini

    Ndo hivi vya sampuli hii...
  10. financial services

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

    Hello wakuu!, Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Usichukulie poa, nyumba ni choo

    UPDATES: ===== Moderator: Hii thread Imefungwa kwa sababu Sheria za Tanzania na Kanuni Mpya za Maudhui 2020, haziruhusu Mijadala kama hii. Asante Hii thread ni vyura kwenda mbele tu wazee kina Behaviourist, Mrangi na TIASSA tukutane hapa. Tujitahidini iwe clean no nudity!
  12. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

    Mi naamini mapenzi ni hisia, kila mmoja anaonyesha hisia zake kwa mwenzake na maisha yanaendelea. Sasa kumekuwa na tabia kama ya kununua huduma, ili mwanaume apate penzi lazima amgharamie mwanamke, hata kama mwanamke ana kazi au biashara nzuri, bado ataomba apewe fedha; ukishindwa kumpatia...
  13. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Baa hii iliyopo Tabata Kinyerezi ina wadada wezi

    Ndgu zangu tunao simama kwenye hizi Bar tuweni makini Ilikuwa hivi. Nilisimama kinyerezi mwisho njaa ilibana Sana. Nikaona magari na wateja wasimama na wanakula Wababa wamejikalia wakila na kunywa. Kwa kuwa ilikuwa jumamosi nikapark pembeni mbele ya bar tajwa. Nikiwa nasubiri oda ya chakula...
  14. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada tusaidieni, mnataka nini?

    Kumekuwa na kelele nyingi kwenye mahusiano; wengine wanasema bila hela hawataki mahusiano, na wengine wanasema bila kuridhishwa hawataki mahusiano. Sasa leo; naomba mtupe majibu, kwa sababu kuna wanaume wengine walijikita kwenye kutafuta hela na wakazipata, lakini mwisho wa siku mahusiano yao...
  15. Flano

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku hizi nimeanza kuvutiwa na wadada wenye vitambi

    Zamani wanawake wenye vitambi nlikua sina hata mzuka nao, nikishakuona mbele umevimbavimba tu unakua tayari umeshanikata stimu, sijisumbui hata kuomba namba ila sasa hivi upepo umenigeukia. Yaani akipita mtu mwenye kitumbo chake nasikia mwili wote unasisimka, nilikuja kugundua nakosa mambo...
  16. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada, kwa nini mnatupatia namba feki?

    Nimekuwa napenda sana kuwa kwenye mahusiano na wadada waliofungashia, kiuno nyugwi na sura ya kuvutia; kitu kinachonifanya nikutanapo na yeyote mwenye sifa hizo, najikuta mwili wote unalegea na kukosa amani, na kunilazimu kunadi sera zangu kwake. Kuna siku nilikuwa Dodoma; ile asubuhi tu...
  17. Sheillah Sheillah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wadada: Huwa mnafanyaje mpenzi wako akiwa na hii tabia?

    Habari. Ni mpenzi wako, na kila mtu anajua status ya afya ya mwenzake. Wote kwa pamoja hamjaamua kuwa na watoto. Lakini tatizo unakuta hapendi kutumia kinga hata kama anajua upo siku za hatari. Hata akitumia katikati lazima alalamike hadi aivue tu, na hapo atakuahidi ata pull out ila hafanyi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hivi baada ya wamachinga kufikuzwa mwenge wadada mnanunua wapi viatu vikali?

    Marry Christmas to you all, Sina mengii Ila napenda kufahamu baaada ya wamachinga kufukuzwa eneo la mwenge ,ni wapi wadada wanapata now viatu ,maana Mimi mwenge ndio Ilikuwa sehemu yangu pendwa
  19. Kasie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Heko za Sikukuu 🎄 kwa Wadada na Wamama....

    Habari za mchana wadau... Shukrani nyingi zimuendee Maulana kwa kunipa kibali cha kuiona siku ya leo nikiwa mzima na mwenye afya tele 🙏. Najua kila mtu ana namna yake ya kusherehekea Sikukuu ya Krismasi. Kwa upande wangu, huwa napenda kupika pilau la viungo vizima vizima. Shurti pilau...
  20. The king mswati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume: Only smartness itakufanya uwachakate wadada kirahisi sana

    Kitu ambacho nimegundua, mwanaume ukiwa smart (unavaa vizuri,unakuwa msafi, unajijali , unafanya mazoezi ya viungo kuimarisha afya, unakula vizuri, yaani smartness in general) basi utawavutia wadada wengi sana na utawachakata mno na wengine watakuwa wanakutongoza wenyewe. NB: SIJAZUNGUMZIA...
Back
Top Bottom