Trump bwana kawakalia kooni kweli kweli wachina.
Inavyoonekana ana lala na kuwaota wachina kila siku, hii hapa ni baada ya China kutangaza nyongeza ya asilimia 34% kwa ushuru kwa bidhaa zote za kimarekani baada ya yeye Trump na serikali yake kutangaza ushuru kwa mataifa mbalimbali duniani...