wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Picha ya wachezaji wakubwa huko south africa wanaoomba kujiunga yanga sc

    Kitendo cha yanga sc kuwepo kwenye top 100 ya teams bora afrika ikishika nafasi ya 74 nyuma kidogo ya namungo iliyo namba 60 kimeipa umaarufu mkubwa huko south africa huku wadau wakisema ni kitendo kinachopaswa kujivunia haswa ukifikiria bara hili lina maelfu ya teams Sasa unaambiwa wachezaji...
  2. Bungeni: Bajeti Kuu ya Serikali Mwaka wa Fedha 2021/22

    Bajeti ni makadirio ya mapato na matumizi ya serikali Leo Bungeni Dodoma, Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuisoma bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2021/22
  3. Wachezaji 10 walioitendea haki jezi namba 9 dimbani

    MABAO ndiyo yanayoleta ushindi kwenye mchezo wa soka. Ukizungumzia ufungaji wa mabao, wachezaji wakubwa wamefanya hivyo wakiwa na jezi namba tisa. Kiutamaduni, jezi namba tisa ndiyo inayohusika na ufungaji wa mabao, ingawa soka la kisasa mambo yamebadilika kidogo katika mbinu – lakini kazi ya...
  4. Kwa hali hii wachezaji wengi wa mpira watakimbilia TZ, Mkataba mpya (114,272,966.78 USD) wasainiwa kuboresha ligi

    Asante Azam Media, Kampuni ambayo imechochea san aukuaji wa soka Tz, Mechi zote huzionyesha kwenye tv bila kujali ukubwa wa timu wala eneo 114,272,966.78 USD kwa miaka 10 97,284,020.03 USD baada ya government taxes. Kwa msimu wa 2021/22 mpaka 2023/24 mgao kwa kila timu kwa kila mwezi utakuwa...
  5. K

    Kwa kweli leo nimewakubali wachezaji wa Simba

    Leo kusema ukweli wachezaji wametufurahisha sana japo mimi ni Yanga. Penye ukweli lazima tuseme ukweli. Hongereni sana wana Simba.
  6. Exclusive: Wachezaji Wawili Waandamizi wa Mtibwa Sugar FC na Dodoma Jiji FC wanithibitishia kuwa 100% Ligi Kuu ya Tanzania inanuka Rushwa

    Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunifanya GENTAMYCINE niwe najua Kujichanganya na kila aina ya Watu, Kukubalika na kujenga nao Urafiki hivyo kusaidia Kazi yangu ya 'Kufukunyuwa' Mambo kuwa rahisi. Wadau wa Soka ( Mpira ) tukiwa tunasema kuwa kuna Rushwa Kubwa inayopelekea Timu Shiriki...
  7. Tujuzane: Je, mkoa gani wenye Wasanii wengi?

    Habari za kushinda wakuu. Uzi huu nataka tujuzane je, ni mkoa gani wenye wasanii wengi hapa Tanzania? Hapa naongelea wasanii wote kuanzia waigizaji, waimbaji na wachekeshaji. Je, itakuwa mkoa gani unaongoza hapa Tanzania. Tunaweza saidia kutaja wasanii na mikoa watokayo ili tufahamu zaidi. Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…