wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi msipuuzie hali kwenye vyumba vya kubadilishia nguo wachezaji

    Timu ngeni hazitaki kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo viwanjani kwa kuhofia hujuma. TFF msipuuzie jambo hili, lisemwalo lipo kama halipo linakuja. Lazima Kuna ukweli fulani, kwani timu ziko radhi kupigwa faini kuliko kuingia vyumbani?
  2. May Day

    JamiiForums Tanzania Ije sheria kuwanusuru 'wanaosota' benchi muda mwingi

    Ningetamani kuwepo na sheria ambapo Kocha/Timu isiruhusiwe kucheza zaidi ya mechi tano au kumi bila kumtumia Mchezaji wake. Yaani iwe kila baada ya dakika kadhaa za kucheza basi asiwepo Mchezaji ndani ya timu ambae hajacheza walau dakika kumi za mechi ya ushindani. Inaleta maudhi kuona baadhi...
  3. Thailand

    JamiiForums Tanzania SIMBA; Formation na wachezaji wanaoweza kurudisha Mpira Biriani

    Tatizo la simba siku za hivi karibuni imekuwa namna ya kupata kiungo mshambuliaji kariba ya clotus Chama ili timu iweze kutengeneza nafasi nyingi za magori kwa washambuliaji. Tatizo haliko kwa washambuliaji waliopo, tatizo lipo kwa kiungo gani sahihi aliopo pale msimbazi kuchukua jukumu hilo...
  4. demigod

    JamiiForums Tanzania Wachezaji Wengi Wa Simba SC Walioenda Kwenye Timu zao za Taifa Wamezisaidiaje?

    Jana na Juzi tulishihidia mitanange ya kufuzu kuelekea World Cup huko Qatar. Nilikuwa na hamu na shauku kubwa kujua ni namna gani wachezaji wamezisaidia timu zao za Taifa kushinda. Hasa timu fulani hapa nchini ambayo ilijinasibu kupeleka wachezaji wengi kwenye Mataifa yao. Ni timu moja tu...
  5. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Oktoba FIFA ranking kwa nchi za wachezaji wa Simba na Yanga

    Nimewaletea latest FIFA ranking kwa nchi wanazotokea wachezaji wa Simba na Yanga ili kupanua mjadala wa kwanini timu gani wachezaji wake wanaitwa kwa wingi katika timu ya taifa. Kwa mfano Taifa kama Malawi hata Gadiel angekuwepo angeitwa karibuni wachangiaji. Taifa Nafasi Africa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kama unajiuliza, unashangaa na kusikitika kwanini Simba SC inakamiwa, Wachezaji wake Kuumizwa vibaya na Ahadi nyingi Kutolewa haya ndiyo Majibu

    1. Yanga SC wameamua kuwa kwa Msimu huu iwe Mvua au Jua na kwa Mikakati yoyote ya ndani na nje ya Uwanja wanashinda. 2. Kuumiza kwa Makusudi Wachezaji wa Simba SC ili Timu itetereke na ikose muelekeo katika Ligi. 3. Baada ya Yanga SC Kutolewa Alfajiri tu huko CAF CL huku wakiwa hawataki...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba wajilinde nje ya uwanja soon wanakodisha vibaka kuwadhuru

    Ujumbe uwafikie nyie wachezaji wetu kuweni makini sana watu wameumia miaka 4 wkajiaminisha kwamba baada ya usajili wa lopolopo anayeogopa jua kwamba wanaenda nusu fanali ya CAF maana wanaamini ndiye aliyekuwa anaifikisha simba mbali huko CAf. Hizi milioni 15 ni rasharasha tu na rafu zile...
  8. technically

    JamiiForums Tanzania Simba tafuteni wachezaji vijana timu inawafia hii

    Kapombe 30+ Hussein 30+ Onyango 40+ Wawa 30+ Mkude 30+ Mzamilu 30+ Dilunga 30+ Boko 30+ Nyoni 40+ Kagere 30+ Mugalu 30+ Hawa wazee ndio mnawategemea kuifunga Yanga ?
  9. demigod

    JamiiForums Tanzania Bundi wa Yanga SC wa Misimu Minne Iliyopita Amehamia Rasmi Msimbazi

    Simba SC imesajili wachezaji 11 lakini Sadio Kanoute pekee ndiye mwenye ITC. Wahenga wanasema ubora ni kheri ya Idadi. Simba iliona ishindane na Yanga SC kwenye kusajili wachezaji wengi ili hali wakasahau kuwa wanapaswa kuendelea na pale walipoishia. Mwisho wa siku wakajipata pale walioishia...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ikitokea mpaka 25/9/2021 ITC hazijafika, wachezaji wa Yanga watacheza!?

    Naomba nitolewe tongotongo. Vipi ikitokea mpaka tarehe 25/9 ITC hazijafika kwa wachezaji wale wa3 wa Yanga je, watarusiwa kucheza mechi dhidi ya Simba ya ngao ya hisani!!!?? Nawasilisha
  11. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Rivers United watoa semina elekezi kwa wachezaji wa Atletico de Utopolo fc

    Jionee mwenyewe Hawa majamaaa wanadharau kweli
  12. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona jana kwa wachezaji wa Yanga

    Kwanza niweke wazi mimi ni shabiki WA Yanga. Jana nimeangalia Ile mechi yote nikagundua yafuatayo kuhusu wachezaji wetu. 1. Mukoko: huyu kiungo maridadi nmegundua anaonekana kama Hana furaha kbs uwanjani ni kama anacheza basi Tu Ile hamasa aliyokuwa nayo msimu uliopita na happy face haipo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wachezaji Nyota 3 wa Rivers Plate Walizuiwa kucheza kwa Siasa za Corona

    Masaa mawili kabla ya mechi ya leo .wachezaji 3 tegemeo wa Timu yw Nigeria walizuiwa kucheza . Kisingizio ni Covid. Yanga mjiandae kwa shughuli kamamlioifanya kwa Mkapa leo!
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Simba kwenda na Wachezaji 31 kimataifa huku Yanga wakienda na 28

    Simba imepeleka majina ya wachezaji 31 CAF. Makipa wanne ambao ni chaguo lao la kwanza Aishi Manula, Benno Kakolanya, Jeremiah Kisubi na Ally Salim katika orodha hiyo. Safu ya ulinzi ina mabeki tisa ambao ni; Erasto Nyoni, Mohammed Hussein, Gadiel Michael, Henock Inonga ‘Varane’, Israel Mwenda...
  15. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Nicholaus Gyan atua DTB ya ligi daraja la kwanza

    Klabu ya DTB inayoshirki ligi daraja la kwanza imemsajili mchezaji Nicholaus Gyan ambaye amewahi kukipiga Simba Sc. Gyan anaenda kuungana na akina Tambwe na Juma Abdul ambao nao wamesajiliwa katika timu hiyo! Hivi nani yupo nyuma ya DTB? Kwa uwekezaji huu, DTB ataweza kupandisha timu ligi kuu?
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wazamani wa Simba ambao walikuwa mashabiki wa Yanga na wachezaji wa zamani wa Yanga walio kuwa mashabiki wa Simba

    MUOGOPE MUNGU: USIMTAJE MCHEZAJI AMBAE BADO ANACHEZA ILI USIMSABABISHIE MAZINGIRA MAGUMU KWENYE AJIRA YAKE. Wachezaji wa zamani walikuwa weledi Sana. Mchezaji wa simba hata Kama alikuwa shabiki wa Yanga Lia Lia lakini linapo kuja suala la kazi yake mchezaji huyo alipiga kazi kweli kweli ...
  17. Area 56

    JamiiForums Tanzania Fiston Mayele tumepigwa mchana kweupe

    Yule Djuma Shabani ni mtu na nusu sana, ana mwendo mno yaani anapandisha vizuri mashambulikama inavyotakiwa kwa full back wa kisasa! Halafu kuna Yanick Bangala, jamaa ni kiraka mzuri! Anacheza kwa usawia akicheza kama beki wa kati na hana tofauti akicheza kama kiungo mkabaji. Ana sambaza sana...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hapa ni kwa Fundi Muwa Tandika ziliposhonwa suti za wachezaji Yanga

    Fundi Cherehani akiendelea kuchakata suti za wachezaji wa Yanga. Hapa ni kwa fundi Muwa pale Tandika! Kisha wakabandika nembo kuonesha ni suti za Italy 😂😂😂😂😂😂😂
  19. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Yanga yasitisha pre-season yao huko Morocco kurejea nchini kwa mafungu

    1) Eti sababu wachezaji kama nane wataitwa kwenye nchi zao kwa michezo ya kimataifa hivyo timu itameguka 2) Eti sababu kule kambi iliko joto Sana. 3) Eti tuna mechi wiki ya mwananchi na wale Wanigeria pia. My take: Waseme tu pesa imekata. kwani walipoenda au kupanga kwenda huko hayo mambo...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Timu ya Olimpiki ya Tanzania ina Viongozi wengi kuliko wachezaji

    Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Kamati ya Olimpiki kujitathmini na kuja na mkakati utakaowezesha kuongeza idadi ya washiriki katika mashindano mbalimbali tofauti na ilivyo sasa ambapo timu husafiri na viongozi wengi zaidi ya wachezaji. Ametoa maelekezo hayo wakati akipokea Kombe la Ubingwa wa...
Back
Top Bottom