Jana kulikuwa na Darby ya wanawake Yanga princess vs Simba Queen.
Simba iliweza kuibamiza Yanga kwa mabao 4.
Kitu nilichokiona wachezaji wengi wa Yanga princess wamekomaa sana nyuso zao zimefubaa. Huku wachezaji wa Simba Queen wanaonekana wazuri na nyuso zao zinapendeza.
Nauliza tatizo ni nini...
1. Henock Inonga
Nakiri ni Beki mzuri sana na nimekuja Kugundua pia kuwa kumbe ni Versatile na kwamba anaweza hata kucheza vyema tu Namba 6, Namba 8 na hata Namba 2.
Mchezaji huyu tokea aicheze vyema ile Kariakoo Derby na kupata Sifa nyingi nae ameshajaa Upepo kiasi kwamba sasa anajiona ndiyo...
Ukiangalia mashindano ya mapinduzi yanayoendelea,nimebaini wachezaji wengi wa Visiwani Wana vipaji.
Mechi za KMKM na Mlandege zina vijana wadogo lakini wako aggressive Sana. Kiukweli Zanzibar kungekuwa na udhamini kama Bara, timu zao zingekuwa mbali sana.
Akina Yanga na Simba huko Bara ni...
Kwanza niwe muwazi mimi ni shabiki wa Simba SC haswa. Sasa hatari ninayoiona kwa musimu huu wa ligi kuu, ni ubora alionao mtani wetu Yanga SC, bila unafiki na ushabiki hakika Yanga wanakikosi cha kutisha mpaka na hofu nani wa kuweza kumzuia hasichukue ubingwa.
Kibaya zaidi ninachokiona mbele...
Kwanza niwe muwazi mimi ni shabiki wa Simba SC haswa. Sasa hatari ninayoiona kwa musimu huu wa ligi kuu, ni ubora alionao mtani wetu Yanga SC, bila unafiki na ushabiki hakika Yanga wanakikosi cha kutisha mpaka na hofu nani wa kuweza kumzuia hasichukue ubingwa.
Kibaya zaidi ninachokiona mbele...
Wakuu, Tumekuwa Tukiona Wasanii Wa Tanzania Wakisign Deals na Kampuni mbalimbali ya Kuwa Mabalozi wa kampuni husika na Kujiingizia Kipato kikubwa kwenye Mifuko Yako, Hii inatokea hata kwa Wale wasanii ambao wanavuma na Nyimbo 2 au Tatu wamekuwa Wakilamba Baadhi Ya Deals Katika kampuni. Ipo kwa...
Wakati aina mpya ya kirusi cha corona kinachofahamika kama Omicron kikiendelea kusambaa kote Uingereza, ligi kuu ya Premier League ya England imefuta mechi kadhaa kutokana na ongezeko la maambukizi, pamoja na wachezaji wengi kujiweka karantini.
Mechi ya leo kati ya Leeds United na Aston Villa...
Kuelekea usajili wa dirisha dogo, taarifa zinasema kuwa tayari Kamati ya Usajili ya Yanga imeanza kazi baada ya kuwafyeka wachezaji wanne kwa ajili ya kuwapisha nyota wapya watakaosajiliwa.
Wachezaji wanne wanaotajwa kuachana na Yanga kwenye dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa Desemba...
Viongozi wa Simba SC (hasa Poti wangu Crescetius Magori ) na Wewe Rafiki yangu mkubwa Kassim Dewji bila Kumsahau Mtani wangu wa Kiha (Muha) Mwina Kaduguda, Benchi la Ufundi (hasa Rafiki yangu wa Kimpira Kocha Selemani Matola) pamoja na Wachezaji wote wa Simba SC (hasa Mwanangu mwenyewe Jonas...
Wakuu salaam,
Huwa najiuliza siku zote kuwa hawa makocha wakigeni wanawasiliana vipi na wachezaji wazawa? Wakati wanaonngea lugha tofauti? Kwa mfano kocha wa Yanga hata kiingereza tu kwake ni shida yaan hakijui yeye anaongea kifaransa lkn unamuona anamwita Faridi au Feisal anamwelekeza jambo...
Aishi Salum Manula
Kujiona anajua, Sifa Kumuharibu na kuamini hana Upinzani ndani ya Kikosi kunaanza Kumgharimu mpaka Kufungwa Magoli ya Kitoto, Kipuuzi na ya Kukosa tu Umakini wake.
Ajitathmini na ajirekebishe upesi.
Erasto Edward Nyoni
Kujiona Mkongwe, Kusifiwa mno na Kuvimba Kichwa...
Umefika wakati wa kuhesabu nani ana wachezaji wengi mataifa mbalimbali
Haya hatua ya pili Caf Word cup qualifiier imepita
draw ya kupanga yale mataifa 10 bora itafanyika December 18 2021
mechi zitaanza march 2022
Kutoka ligi yaNBC
watawakilishwa na
1. Diarra (Hata kama anakaa sub lakini si...
Sioni namna Pablo kocha mgeni Simba atakavyoweza kupata matokeo mazuri kwa wachezaji waliopo Simba. Kocha ni wa kawaida na wachezaji ni wa kawaida pia.
Pablo angekuwa kocha mzuri sana angeshanyakuliwaa na timu za Barcelona, Man U, au Tottenham zilizokuwa zinatafuta makocha wazuri. Ni kocha wa...
Wengine kwa Mpira wenu Mbovu na Matokeo mabaya sasa tumeshakonda na tukiona Soka zuri, la Kitabuni, linalovutia la Yanga SC na Ushindi wao mfululizo ndiyo Hasira zinatupanda na Machungu kutuzidia Mioyoni na Rohoni.
Wachezaji wa Simba SC ukomo Wetu wa Kuwavumilia umeshafika Kikomo na leo Ole...
Simba mpya haipati matokeo mazuri msimu huu.
Simba imesajili wageni wengi na kuwaacha wageni wengine kama francis kahata.
Je katika wachezaji wapya wa simba ni nani anamzidi kiwango Francis Kahata?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.