demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,250
- 15,116
Kuna tetesi za chini ya kapeni zinazo sema bodi ya wakurugenzi ilipokaa kikao chake wiki kadhaa zilizo pita imeafikiana kumuomba ndugu Walace Karia aongeze idadi ya wachezaji wanaoruhusiwa kucheza Ligi KUU Tanzania.
Pendekezo ni kuongeza nafasi ziwe 12 kutoka 10 za sasa.
Changamoto hiyo imetokea baada ya Simba kupatwa na kizungumkuti katika kuamua ni nani wamuache na nani wamsajili.
1.Onyango 2. Wawa 3. Chama 4. Luis Miq 5. Mgalu 6. Chikwende 7. Bwalya 8. Morrison 9. Inonga 10. MK 14 11. Banda 12. Lwanga