wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Jionee umaarufu wa Mayele Simba

    Mayele style imeteka Soka la Tanzania. Nini maoni yako kuhusu hiki akifanyacho mchezaji huyu wa Simba?
  2. Labani og

    JamiiForums Tanzania Umeonaje kiwango cha Taifa Stars bila wachezaji wa Simba?

    Ikiwa ndani ya mechi mbili ngumu ambazo taifa stars wamecheza moja dhid ya central Africa republic ambayo taifa stars tulishinda bila uwepo wa wachezaji wa Simba Mechi ngumu nyingine ni ya Jana dhidi ya miamba ya sudani ambayo tumetoa droo bila kufungana ambapo ndan ya mech mbili tumepata point...
  3. NguoYaSikuKuu

    JamiiForums Tanzania Simba ikitaka ifike Mbali itafute Wachezaji Waonaojua Kufosi na Kupiga Chenga. Sio hawa wa Mipasi tu

    Kama wewe ni shabiki wa Mpira na unaangalia mpira wa timu za hapa nchini utatambua kwa nini Simba SSC haipati matokeo. Ukiacha kufungwa magoli ya Corner na Free Kicks ambazo wana wanashindwa kucheza vizuri. Wachezaji karibia 90% wa Simba hawawezi kukaa na mpira yaani kupiga chenga na kufosi...
  4. Makonyeza

    JamiiForums Tanzania Udhamini wa Bima kwa wachezaji NBC Premier League

    Naaaam, sasa hii ndio maana halisi ya Udhamini Maana halisi ya usimamizi wa Soka letu Maana halisi ya kujali vipaji vya vijana wetu. Kuna wazee wengi nilishuhudia hasa nikiwa Zanzibar ambako binafsi ninaamini ndiko kilipo kisima cha vipaji vya hali ya juu vya soka, mzee mmoja alimzuia kijana...
  5. Little brain

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba wanatetema mazoezini - Masau bwire

    Ofisa habari wa Ruvu shooting Masau bwire amesema sio kwamba yeye ni mshabiki wa simba ila mpira sio vita ndio maana linapokuja suala la kimataifa anatanguliza uzalendo kwanza. pia akatolea mfano kwamba hata wachezaji wa simba sc camera zimewahi wanasa wanatetema.
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Panga la wachezaji Simba linanukia mwishoni mwa msimu huu, kuna majina makubwa

    Inadaiwa kuwa uongozi wa Klabu ya Simba un mipango ya kupitisha panga kwa wachezaji wao walioonyesha kushuka kiwango mara baada ya kumalizika kwa msimu huu. Hilo limeshapangwa lakini kwa sasa wameweka wazi kuwa mawazo yao yote yapo katika kufanya vizuri kwenye michuano mbalimbali wanayoshiriki...
  7. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Morrison akasirika, alalamikia timu ya taifa “Mnaita wachezaji wa Azam FC wakati timu yao inafungwa na Simba”

    Mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison ameshutumu maamuzi yanayofanyika katika kuita wachezaji wa timu ya taifa lake la Ghana kwa madai kuwa kuna ubabaishaji mwingi na wanatana kwa kujuana. Morrison amesikitishwa na kitendo cha kuonekana anadharaulika wakati amecheza katika klab kadhaa kubwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wachezaji hawa hawastahili kubaki Simba next season

    Kapombe, Zimbwe, Kagere, Mugalu, Onyango,Mhilu, kibu, Boko na Mzamiru Tunawatakia Kila La Kheri.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kileo

    Mazingira ya soka yanabadilika sana kwa sasa kulinganisha na miaka 20 au 25 iliyopita. Uhusiano wa kocha na wachezaji ulikuwa wa "kigumu". Kocha aliweza kumuweka mchezaji benchi na uamuzi wake "ukaheshimiwa". Kwa sasa melezi, makuzi, teknolojia, mitandao ya kijamii, mawakala, mahusiano baina...
  10. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Timu na wachezaji waliokosa penati nyingi Ligi Kuu msimu huu, Simba waongoza

    Orodha ya timu na wachezaji waliokosa mapigo ya penati katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara 2021/2022 mpaka sasa Machi 6, 2022 kabla ya mchezo wa Geita Gold dhidi ya Yanga kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Source: Bodi ya Ligi
  11. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Baada ya Chelsea kuwekwa sokoni, kocha apata hofu wachezaji kuikimbia klabu

    Kocha wa Chelsea, Thomas Tuchel amekiri kuwa ana hofu kuwa kuna uwezekano wa wachezaji ambao wanaelekea kumaliza mkataba klabuni hapo wanaweza kuondoka mwishoni mwa msimu huu. Hatua hiyo inakuja baada ya mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich kutangaza mpango wake wa kutaka kuiuza klabu hiyo...
  12. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Guardiola: Kuna wachezaji wanafanya timu zicheze vizuri lakini hawapo kwenye takwimu

    Kocha wa Man City, mwalimu Pep Guardiola amesema kuna wachezaji wanafanya timu ziweze kucheza vizuri lakini hawaimbwi sana kwakuwa hawapo kwenye takwimu nzuri za kuvutia yaani magoli au assist nyingi. Hebu tuwataje wachezaji ambao Guardiola alijaribu kuwamaanisha! Mimi naanza na Joshua Kimmich...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Fiston Kalala Mayele angekutana na Wachezaji Masela wa Kitanzania kama wafuatao enzi hizo angekuwa anatukera hivi hapa Mjini?

    1. Rostar Ndunguru 2. Frank Kasanga Bwalya 3. Salum Kabunda Ninja 4. Idi Seleman Kibode Nyigu 5. Kenneth Mkapa 6. Said Mwamba Kizota 7. Fikiri Magoso 8. Willy Martin Scania 9. Bakari Malima Jembe Ulaya 10. Rajab Msoma 11. Twaha Hamidu Noriega Mabeki / Wachezaji wa leo laini sana.
  14. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kiafrika na suala la umri Afrika tunakosea wapi? Cheki hapa...

    Nadhani labda sababu ya kutafuta maisha au labda ni kingine ili tucheze soka muda mrefu Sana sijui.. Week iliyopita kulikuwa na mashindano ya soka kwa vijana wa mashule Africa chini ya miaka 16..(u-16).. kituko zaidi kilikuwa ni kwa wachezaji wa congo kwa miili yao nisiongee Sana huyu janja...
  15. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe wachezaji wa Mtibwa ambayo ilitwaa Ubingwa wa Tanzania Bara mwaka 2000

    Huu uzi ni kwa wakongwe tu, wadogo zetu njooni mle maarifa Mimi naanza na Alphonse Modest, endelea na wewe
  16. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Kilichomuua Ally Sonso hiki hapa, wachezaji, klabu zamlilia

    Ofisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amezungumzia kifo cha mchezaji wao, beki Ally Mtoni 'Sonso' aliyefariki jana akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam. Imeelezwa kuwa kabla ya kukutwa na umauti huo, Sonso nyota wa zamani wa Lipuli,Yanga, Kagera Sugar na Ruvu...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Senegal wazawadiwa pesa na viwanja

    Senegal imemzawadia kila mchezaji wa timu ya taifa ya kandanda zawadi ya pesa taslimu na mashamba kufuatia ushindi wao katika Kombe la Mataifa ya Afrika. Kila mchezaji wa timu alipokea zaidi ya $87,000 (zaid ya TSH milioni 200) na kiwanja katika mji mkuu, Dakar, na katika mji jirani wa...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania AFCON Nusu fainali - Misri vs Cameroon: Je, wachezaji wa Misri nao watapewa corona?

    Ikiwa leo ni nusu fainali ya Afcon kati ya Wenyeji Cameroon dhidi ya Misri, tayari fitna za Etoo na kundi lake zishaanza kazi kwa kufungiwa kwa kocha msaidizi wa Misri, kwa kinachodaiwa vurugu kwenye mechi ya robo fainali dhidi ya Morocco. Swali langu ni hili: Je, wachezaji wa Misri nao...
  19. mwilawi

    JamiiForums Tanzania SIMBA VS DAR CITY wachezaji wa simba wamechangamka kuliko mechi ya KAGERA

    Kwenye mechi ya leo kombe la azam simba vs Dar City wachezaji wa Simba wameonekana kuchangamka sana kuliko siku ya mechi ya Kagera. Swali:Je kuna tatizo kati ya kocha mkuu na wachezaji au kocha mkuu na kocha msaidi Matola na ilipelekea kuwa na molari kidogo siku ya mechi na kagera ambapo kocha...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kila kona ni Mayele style

    Ona Mazoezini Simba
Back
Top Bottom