wachawi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kwanini watu wengi bado wanaamini wachawi?

    Swali : Kwanini watu wengi bado wanaamini wachawi? Jibu kutoka chat GPT Watu wengi bado wanaamini wachawi kwa sababu ya sababu za kitamaduni, kisaikolojia, na kijamii. Hapa kuna maelezo ya kina kuhusu kwa nini imani juu ya wachawi bado ipo katika maeneo mbalimbali duniani: 1. Imani za...
  2. Kwanini mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote humwogopa YESU KRISTO

    Yesu Kristo - Mbabe wa mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote "Na pepo waliokuwa waovu walipomwona, walianguka mbele yake, wakapiga kelele wakisema, Wewe u Mwana wa Mungu!" Luka 4:41 Katika ulimwengu wa kiroho, kuna vita visivyoonekana vinavyopiganwa kila siku kati ya nuru na giza...
  3. Mbinu za Kuwa Tajiri(Milionea) - Sehemu ya II(Part Two)

    Mtu asikudanganye kwamba ukienda kwa wachawi au waganga utapata dawa ya kuwa tajiri. Watu wameenda huko na kutapeliwa kwamba wakiwatoa kafara watoto au wazazi wao ndio watapewa dawa ya utajiri. Ukiwa tajiri kwa njia hiyo basi ujue jehanam inakusubiri kwa hamu ikutafune. Wewe unayefanya biashara...
  4. F

    Kwa nini wazungu waliacha kuamini uchawi na kuua wachawi ? nini sababu ya kufutwa kwa Witch hunting ulaya na marekani ?

    Watu wakijipa muda zaidi na kusoma kuhusu history za uchawi hasa msako wa wachawi (Witch Hunts in the Western World) kwenye karne zilizopita ulikuaje na kwa nini kilisababisha msako huo usitishwe. pia wakasoma kuhusu msako wa wachawi uliotokea marekani pia maarufu kama The Salem Witch Hunt na...
  5. Imeandikwa katika kitabu cha kutoka 22:18"usimuache mwanamke mchawi akaishi"mbona wachawi ndio wanaishi muda mrafu kuliko watu wema?

    Hapo vip!! Andiko hili linatia faraja sana ukilisoma na kama litajidhihirisha kwa matendo ila unapokuja kugundua na kuona kihalisia ni ngumu kulifanyia kazi kwa vitendo na kiroho inaumiza na inakatisha tamaa,labda mimi ndio sielewi ila mwenye ufahamu anifungue kwenye andiko hili. Mimi binafsi...
  6. G

    Tanzania baadhi ya watu wameendekeza imani za kishirikina

    1. Tumesikia na kushuhudia timu za Simba naa Yanga zikipigwa fainj na TFF kwa wachezaji wake kuingia uwanjani kwa kuruka ukuta eti kwa kisingizio chaa kuukwepa uchawi. Pia viongozi na mashabiki wa hizi timu wamekuwa wakiamini ktk ushirikina mpk wameunda kitu kinaitwa "Kamati ya Ufundi". Leo...
  7. Je, ni sahihi mtu kujiita Kiboko ya Wachawi?

    Kimaandiko, kujiita "Kiboko ya Wachawi" sio sahihi kwa sababu inahamasisha kiburi na kujitwalia mamlaka ambayo ni ya Mungu pekee. Sababu za Kimaandiko: Yesu ndiye anayeangamiza kazi za shetani 1 Yohana 3:8 – "Kwa sababu hii Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili azivunje kazi za Shetani." Yesu...
  8. R

    Wachawi Wana Roho mbaya, jamaa alirogwa mguu mmoja unapiga mateke wenyewe unlimited, day and night!

    Hellow! Kama una ndugu Yako anaenda Kwa Waganga usicheke naye, aweza kukutegea mtego na kukumaliza, Imeandikwa ,adui wa mtu ni yule wa nyumbani mwake, yule aliye karibu, mke, mume,shangaji nk nk, Ndugu ZANGU ni akina nani? Aliuliza swali hili Yesu, na akajibu, ndugu ZANGU ni Hawa wasikiao na...
  9. R

    Makinika, aliyetoa kauli kuwa " wachawi wote walishakufa" alilenga kutupumbaza!

    Hellow!! Ni UKWELI kuwa wachawi na wasio wachawi hufa maana hiyo ni Amri Toka Kwa muumba kuwa Kila mwanadamu shart arudi mavumbini. Sasa juzi hapa Mzee mmoja mtani wangu katoa kauli kwenye umati kuwa, Wachawi "WOTE" walishakufa, asee kuweni makini ndugu wananchi wenzangu, hivi Kweli huko...
  10. Kikwete: Kwanza wachawi walishakufa

    Je, Kikwete ametupa dongo kwenye familia ya Magufuli na Mkapa? Akitetea hoja ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu kumpitisha Rais Samia awe Mgombea 2025, Rais mustaafu Kikwete amenukuliwa pamoja na mambo mengine akitamka; "...kwanza wachawi walishakufa." Mwisho wa kunukuu. Je, ni nani hao...
  11. Wachawi hawapo walishakufa

    Natafakari kwa kina hawa wachawi wangekuwepo. Ila kwa sasa hawa waliobaki nadhani ni wachawi ila hawatishi maana kuna watu bado majumbani wanalalamika kutokewa na wachawi usiku
  12. Usimsikilize anacho sema mwenzio mnapo kwenda kwenye usaili pale mpo vitani

    umesubiri kwa muda mrefu then simu hyo “Fika kwenye usaili siku fulan muda huo” umejipanga vzur kusali sana Nondo zimekaa.. Unafika kwenye uwanja wa usaili unakutana na mwenzio pia amekuja kwenye hiyo hiyo Interview.. hapo kuna Kuwaga na watu kazi Yao ni kukupotezea direction tu yan anakupoteza...
  13. Nyerere aliwashtukia hawa Machawa na mafisadi. Alijua mwishowe wangekuja mgeuka tu

    Walikuwa wanamwambia "Mzee hii nchi umetoka nayo mbali, bila wewe itakufa. Bila wewe haitakuwepo tena. Using'atuke wewe ndo alpha na omega umepambana sana" Akajua haya manyang'au yanajisemea yenyewe.yanataka yaendelee kujineemesha na wizi. Alijua hayana lolote la ukweli. Akaangalia mabadiliko...
  14. Kiboko ya Wachawi aamua kuwaanika manabii wenzake, lengo ni nini?

    Jamaa inaonekana bado hajaridhika kutimuliwa. Sasa anamsema kila mtumishi mwenzake maarufu wa Tanzania japo kwa mafumbo. Anasema mzee wa ubungo ni tapeli wa kutupwa na ni mtu wa system. Kuhani Moses wa temboni anadai amewahi kufukia jeneza uwanjani Mbagala akaweka alafa kwenye mkutano...
  15. Swali la ufahamu; kwa kuwa Mchungaji Magembe anakiri familia yao walikuwa wachawi balaa, kuna uhakika gani kwamba yeye hakurithi?

    Nimekuwa nafuatilia habari za mchungaji Magembe, na kuna mahali alitoa historia ya familia yao kwamba walikuwa wachawi balaa. Je hakurithi? Nani ana uhakika? Na Je ndio chanzo cha ugomvi wake na Kanisa labda wenzake wanataka arudie asili?
  16. Nataka niandae pambano la kushindanisha nguvu kati ya walokole vs waganga, wachawi, na waotumia nguvu za giza

    Ukipita sehemu za wanamaombi utasikia wakiutuma moto (wanapiga faya) kwenda kwa shetani, mapepo, wachawi na waganga. Ukiingia kwenye makanisa yao utakuta watu wamepagawa na mapepo, mapepo yanasema naungua, naungua, usinichome, natoka. Kuna watu wanasema huko makanisani kuna maigizo na hizo...
  17. S

    Wanasiasa karibia wote ni wachawi. Makonda asibagazwe kwa kauli yake kuwa mama anarogwa sana.

    1. Zitto Zubery Kabwe alitamka bungeni kuwa atawageuza kuwa Nyenyere wale wote watakaothubutu kumfuata tuata. Hansard ipo mkasome. ZittoZubery Kabwe, mpk leo anaogopwa kama ukoma. 2. Propesa (siyo profesa) Maji Marefu (RIP) alitamka bungeni kuwa asilimia kubwa ya wabunge amewashika makalio...
  18. Yanga msitafute wachawi wachawi wenyewe..wale wachezaji wanarekodiwa wako bar Masaki siku 3 kabla ya mechi mkaona starehee nabado

    Yaaan shida ni maadili YAAN KUNA video zilisambaa kibaoo za Azizi pakome na baadhi ya wachezaji wakiwa bat siku tatu kabala ya mechi Aikutosha ilikuwa mechi nyingine wakaonekana wako bar Moja pale Morocco na wahuni WA like wakichezewa SEHEMU zao. Hii ya masakii pakome alilizwa dollar 5000 na...
  19. Hii Ngoma ya Joel Lwaga Imekua ni National Anthem. Wachawi haeakosekani hata wenye chuki pia, lakini imeenda

    Yes! No one saw it coming ..wafia dini wanasema eti ni bongo flavor. Hawasikilizi message. Hii hapa... Kaka Joel mimi binafsi nlikua sikujui, ila kuna siku nlikuta wimboo huu unapigwa mahali nikauliza huyu nani? And the rest is this thread. Keep it Up
  20. Wanga, wachawi na mizimu huwa hawafanyi mambo yao mchana?

    Kwa nini wanga, wachawi na mizimu huwa kuonekana kwake ni usiku tu? Kila nikisikia stori za haya mambo ni mtu alikuwa amelala usiku, usiku watu walikuwa wanapaa na ungo ndio likatokea jambo, usiku mtu alikuwa anaendesha gari. Majini tu ndio huwa nasikia stori zake yakiwa yanafanya mambo yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…