https://www.youtube.com/live/bsMXcScNS8E
Muliro: Polisi kusubiri hadi tukio lifanyike hapo ni sawa na kufeli
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro akizungumza katika mdahalo huo leo Agosti 20, 2025.
Wakuu,
Nimekutana na hii video ya zamani Mbunge wa CHADEMA Sugu akieleza kile kilichotokea kwa Mbunge mwenzao Tundu Lissu kupigwa risasi akidai wakileta hoja wanatishiwa kupigwa risasi
Mjumbe wa Kamati Kuu (MCC) (kwa sasa jina linawekwa kapuni) anatajwa kuvuruga mchakato wa uteuzi wa wagombea Ubunge wa Jimbo la Ulanga, Morogoro.
Taarifa ndani ya CCM Mkoani Morogoro, zinaeleza kuwa Kigogo huyo ambaye ni mfanyabiashara maarufu nchini, aliteuliwa kusimamia vikao vya mchujo...
Kwenye kura za maoni asilimia kubwa RUSHWA ilitumika sana na hii haina mjadala kila mtu aliona. Wengi waliopita waliwanunua wapiga kura na kuwaacha wale walio na uwezo kwa kukosa fedha za kuwahonga wajumbe waliachwa.
Ninaishauri Chama changu. Chama kifanye utafiti wa kina na iwapendekeze wale...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema kuenguliwa kwa waliokuwa wabunge 28 katika katika kura za maoni za CCM akisema yamelenga kuondoa wabunge wanaouliza maswali na kutoa hoja bungeni.
Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari leo Agosti 14 jijini...
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee amesema Spika wa Bunge Mstaafu, Hayati Job Ndugai alipigania haki za wabunge 19 waliokuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Hivi kwa akili ya haraka haraka jamii kubwa ya waTz katika familia zao wanaongozwa na watu waliosoma au wasiosoma hasa ukizingatia 75% ya waTz ni wakulima na wafanya biashara na siyo wasomi?
Hao wasomi wamewezaje kuinua uchumi na kuleta maendeleo ya waTz kwa ujumla?
Iwapo mnamchagua mbunge...
Nimewasogezea vipande kadhaa vya picha mjongeo , vikiwaonyesha WAJUMBE hatari wa fisiemu wakifurahia matokeo ya mchakato wa kura za maoni , hasa baada ya kuwafanyia kitu mbaya wabunge wa COVID-19, ester Bulaya, Ester matiko , Nusrat Hanje bila kumsahau bilionea wa nzega mzee wa sinki nje ya box...
Katika kile kinachoonekana kama mabadiliko ya upepo wa kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wabunge kadhaa waliokuwa wakitetea nafasi zao wamejikuta wakitemwa na wajumbe wa chama hicho katika kura za maoni zilizofanyika Agosti 4, 2025, katika maeneo mbalimbali ya Tanzania.
Ingawa...
Nianze kwa kumpongeza mwenyekiti wetu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA Dr. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapa nguvu Wajumbe waamue viongozi wanaowataka kupitia kura. Hongera sana mwenyekiti wetu Samia kwa kuongoza chama chetu kwa akili kubwa na maono makubwa.
Wajumbe wameshachagua wabunge na...
Wanabodi,
Kutokana na hali ya kisiasa nchini kwetu, huo ndio ukweli. Ukubali au ukatae, wajumbe wakishapitisha majina, hayo majina kwa asilimia kama 98% au 99% ndio wawakilishi tutakaokuwa nao kwa miaka mitano ijayo.
Ama kweli SIASA si HASA.
Oktoba ni danganya toto, leo ndio Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa watapatikana. Mchakato ulianza kwa Muhimili mmoja wa Serikali (Samia, Mpango na wenzie) kupitisha majina wanayotaka wao ili kuunda muhimili wa pili wa serikali. Iko wazi kuwa sasa Watanzania hawana tena haki ya kuchagua kiongozi...
Kila siku tunashuhudia makumi ya waliokuwa Wabunge wakiaga rasimi ubunge baada ya kukatwa na kamati kuu, na wengine kufyekwa kwenye viti maalumu.
Wafatao ni Wabunge watakaofyekwa na wajumbe kesho kutwa.
Job Ndugai
Waitara
Ester matiko
Ester Bulaya
Kigwangara
Molell
Patrobas Katambi
DEO Sanga...
Nasema hivyo kwa maana kuwa wasomi wa Tanzania ndiyo wanaongoza kwa kutofikiria na wametanguliza masilahi yao kiasi kwamba hata ndugu/familia zao hawawajali wamekalia uzungu na usasa badala ya kuisaidia jamii inayowazunguka kupitia ujuzi/elimu waliyonayo.
Sasa kama msomi hawezi kuitumia elimu...
Ukikaa ukatafakari kwa nchi masikini kama Tanzania ambayo sio tu ipo nyuma Ila imekwama kwa kila nyanja kuanzia kisiasa ,kiuchumi na kijamii.
Sasa kuna sababu gan ya kuwa na idadi kubwa ya wabunge ambao unasikia kuwa Kazi zao ni kuwawakilisha wananchi.
Mimi nimefatilia sana siasa Ila ukweli...
Salaam!
Hili swali naomba liulizwe majukwaani kwa wabunge wanaomaliza muda wao na hapo hapo wanaomba ridhaa kuendelea.
1. Waulizwe kwamba, ikiwa mlinyamazia vitendo vya utekaji visijadiliwe na kukemewa bungeni, mnaomba ridhaa Ili vitendo vya utekaji viendelee?
2. Ikiwa mllishiriki kugawa...
NILIIONA HII HALI
Tukiweka misingi imara ni vyema tuisimamie
Ninaona wagombea udiwani Waliongeliwa na walikuepo kwenye orodha wamerejeshwa kupigiwa kura za maoni na wajumbe
Sasa mjiandae na wabunge nao hawatokaa kimya na kutaka warudi kupigiwa kura za maoni
Soma pia: GE2025 - CCM yataka...
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mchungaji Peter Simon Msigwa, ameomba kura za maoni kutoka kwa wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kupata ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu.
Mchungaji Msigwa...
Chama Cha Mapinduzi leo Julai 29, 2025 kimetangaza Wanachama wake waliopitishwa kuwania Ubunge katika majimbo mbalimbali. Baadhi ya wagombea ambao walikuwa wabunge majina yao hayajapitishwa na chama hicho ni pamoja na:-
1. Mrisho Gambo - Arusha Mjini
2. Stephen Byabato- Bukoba Mjini
3. Ndaisaba...
Wabunge wa Viti Maalum 13 kutoka 'Kundi la Wabunge 19' waliofukuzwa CHADEMA mwaka 2020 ambao walitangaza kujitosa CCM na kuomba nafasi za kuteuliwa ubunge na ubunge wa viti maalum katika uchaguzi mkuu 2025 wamepitishwa kwenye mchujo uliofanywa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM Taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.