wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum: Weka hapa makazi wa Mawaziri, Wabunge na Chawa wote

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza tunaomba wanabodi mtiririke hapa. Tuna kazi kubwa iliyotukuka Oktoba 29. Mimi ninashughulika na makazi ya Mbunge wangu wa Ukonga Jerry Silaa.
  2. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Ikumbukwe rais ana nafasi 10 za kuchagua wabunge anaowataka, msishangae Abduli akipewa ubunge baadaye uwaziri moja kwa moja

    Ikumbukwe rais ana nafasi 10 za kuchagua wabunge anaowataka, msishangae Abduli akipewa ubunge baadaye uwaziri moja kwa moja.
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wabunge nchini Israel wakaidi agilo la waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuhusu Gaza na West-Bank (Judea & Samaria )

    Wakiasi dhidi ya Waziri Mkuu, MKs walipitisha usomaji wa awali wa mswada wa upanuzi wa Ukanda wa Magharibi Kikao katika ukumbi wa kusanyiko wa Knesset huko Jerusalem mnamo Oktoba 22, 2025 (Chaim Goldberg/Flash90) Katika hali ya aibu kwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, wabunge wa mrengo wa...
  4. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Siku tukifuta posho zote za Wabunge wakabaki na Mishahara tu ndo siku tutakua tumekomboa nchi

    Sehemu pekee iliyobaki ina pesa za bure ni Bungeni ndo maana watu wanapambana kwa kila namna siko kwamba wana wapenda wananchi au kutumikia wananchi hapana. Ila ndo sehemu pekee bunge unapata utajiri wa haraka sana bila kutumia nguvu ni vigumu sana kupata wawakilishi wa wananchi wa kweli wengi...
  5. Desierto

    JamiiForums Tanzania GE2025 Huu uchaguzi Raha sana mpaka Kuna wabunge hawahangaiki hata kufanya kampeni majimboni mwao

    Wanazunguka tu na mama mm jimboni kwangu gari ya kampeni imepita tu mara Moja Tena kipindi Rais amekuja. Hamna cha kampeni za mbunge Wala diwani.
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Indonesia: Serikali yakata 'marupurupu' ya wabunge kutuliza waandamanaji

    Rais wa Indonesia, Prabowo Subianto, ametangaza kupunguza mishahara na baadhi ya marupurupu kwa wanasiasa wa taifa hilo, ikiwemo wabunge, ili kutuliza maandamano yanayoendelea nchini humo. Hatua hiyo inakuja kutokana na maandamano ya wiki kadhaa katika taifa hilo la Kusini-Mashariki mwa Asia...
  7. leefrankne

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC yajadili rufaa kuhusu uteuzi wa wabunge

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, leo tarehe 31 Agosti, 2025 imekaa na kujadili rufaa kuhusu uteuzi wa wagombea Ubunge katika Jamhuri ya Muungano na Udiwani kwa Tanzania Bara zilizowasilishwa Tume kwa ajili ya uamuzi. ============= KUHUSU UAMUZI WA RUFAA DHIDI YA UAMUZI WA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kulikoni walioitwa wabunge wa COVID-19 ambao walifukuzwa uanachama wa CHADEMA wanakubalika zaidi kwa wananchi wakati CHADEMA imesahaulika kabisa?

    Je, Chadema walikurupuka kuwatimua hazina hiyo muhimu ya viongozi wa wanawake wanaokubalika zaidi kwa wananchi na kuwaita wasaliti? Maana iko wazi kwamba, wote waliojiunga na chama tawala na kupewa fursa ya kugombea nafasi ya ubunge, wanakubalika zaidi, wanaaminika zaidi kwa wananchi, na...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa rais na wabunge usiwe na muda maalumu akifanya vibaya apigwe chini hata ndani ya mwaka mmoja akifanya vizuri aendelee hata miaka mia

    Huu ujinga wa kumuhakikishia rais au mbunge kuwa atakaa madarakani kwa miaka mitano au kumi inawajengea kujiamini na kupiga hesabu za wizi kabisa wakijua wamefika. Ni bora katiba iseme rais na mbunge atadumu au atawajibishwa kulingangana na utendaji kazi wake iwapo anakubalika basi hata...
  10. McLaren

    JamiiForums Tanzania Wabunge wazichapa live kwenye Seneti huko Mexico kisa Marekani

    Kikao cha Seneti ya Mexico kilivurugika Jumatano baada ya wabunge kushikana na kupigana kufuatia mjadala mkali kuhusu iwapo Marekani inapaswa kuingilia kupambana na magenge ya dawa za kulevya nchini humo. Vurugu hizo zilikuwa kali kiasi cha kumwangusha mpiga kamera aliyekuwa akirekodi tukio...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Dhana ya wasomi tu kuwa wabunge Tanzania kwa kigezo cha kutunga sheria imepitwa ma wakati

    Kazi ya mbunge siyo kutunga sheria tu pia siyo sheria zote hutokana na wabunge hasa ukizingatia wabunge wasomi ndiyo wameifikisha Tanzania hapa tulipo kwa kukosa uzalendo kwa nchi yao. SHERIA NA VYANZO VYA SHERIA TANZANIA MAANA YA SHERIA Sheria ni kanuni zinazoongoza shughuli na mahusiano ya...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Doyo: Nikiwa Rais nitalipwa milioni 6 kwa mwezi, wabunge watalipwa milioni 4 tu

    “Nikiwa Rais wa Nchi hii watu watakimbia fomu za Ubunge maana nitwalipa mshahara mdogo wa Milioni 4 Kwa Mwezi, na mimi kaka Rais nitalipwa Milioni 6” Doyo Hassan Doyo - Mgombea Urais - NLD
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2025 Masikini Nchi Yangu, Tanzania, Tunakosa Viongozi Wazuri kwa Dhulma!. Waliokatwa kwa Zengwe, Wangegombea as Independent, Wangeshinda!.

    Wanabodi, Kwa political dynamics ya siasa zetu, mtu ukiishapitishwa na CCM, wewe ndio Mbunge!, uchaguzi ni process ya kukamilisha tuu taratibu za kikatiba kuhalalisha!. Nimeyaona majina ya wagombea walioteuliwa na chama, miongoni mwao kuna the best, the good, the bad and the ugly as well as...
  14. Griss

    JamiiForums Tanzania Wabunge na Madiwani 25%wa CCM kupita bila kupingwa?

    Subirini movie nyingine mtacheka Sana watia Nia wa kijani watapita bila kupingwa Mtashangaa 25% ya watia nia wa ubunge na udiwani watapita bila kupingwa kwa sababu wameweka mamluki yao kuchukua form kwenye vyama vya CCM B Halafu mnaambiwa uchaguzi utaghalimu 500 bilion + CCM+ Kikwete+Samia...
  15. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM mlioachwa , msiwe na hofu , CCM haijawahi kumtupa mtu .

    Wanachama wote , milokatwa katika nafasi mbalimbali za kuwania Ubunge , msivunjike Moyo. There's so many opportunities in Ccm. Tutakula Sana, hii ni nyama ya Tembo hauwezi kuimaliza MTU mmoja .
  16. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kudharau wabunge wa darasa la saba ebu tuangalie mchango wa wabunge wasomi wa Tanzania tangu nchi ijipatie uhuru wake .

    Watanzania Wengi Ambao wanadharau wabunge , naomba watupe mchango wa wabunge ambao wamesoma wamelifanyia nini Taifa la Tanganyika.
  17. H

    JamiiForums Tanzania Wabunge wasio wasomi i e:Babalevo wana maana kubwa kuliko wabunge wasomi i.e:kimei

    Je tangu mmekuwa na bunge la wasomi limewasaidia nini ktk maendeleo yenu kwa mmojammoja au kwa ujumla? Tatizo la waTanzania ni majungu na uropokaji pasipo kuwa na tija mtu amekaa tu mtaani chini ya mti hana mbele wala nyumba watu wanajitokeza kugombea nafasi za uongozi badae wanapita yeye...
  18. Course Coordinator1

    JamiiForums Tanzania GE2025 Majina haya ya Wabunge waliokatwa kwa visasi

    Kwenye siasa kuna visasi vingi, chuki, husuda , usaliti, kiburi, jeuri , dharau, huko kumejaa huwa ni kutesa kwa zamu leo kwangu kesho kwako. Wabunge hawa wameondolewa kwa chuki visasi na usaliti..Kuna baadhi waliojiharibia na kuna wengine chuki za waziwazi 1. Ummy Mwalimu - Rafiki wa JK ...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri sasa tunakwenda kwenye kampeni za ama tupige kura au lah sio Rais na Wabunge tena

    Kwa hali ya mambo ilipofikia uchaguzi wa mwaka huu ni KUPIGA KURA AU KUBAKI NAYO ndio kampeni kubwa ya mwaka huu. Sio kampeni za Rais na Wabunge tena. Naikumbusha Dola kuwa kama nchi tumeshatumia rasilimali nyingi sana kujenga uwezo na mifumo ya uchaguzi tusikubali hasara ya kurudi nyuma na...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania CCM achaneni na wabunge wa miaka 20+, watawachelewesha na kutuchelewesha sisi pia

    Mna wanachama wengi sana, watu wenye miaka 20 bungeni watachaguliwa tena kwa rushwa na sio kwa kupendwa na watu. Kama hakufanya kitu kwa miaka 20 hatafanya kitu tena, atafanyakazi kwa mazoea tu. Hawa watalichelewesha taifa kwakuwa wanategemea rushwa kupita sio sifa za kutenda kazi
Back
Top Bottom