Bunge lililopita lilikuwa lenye Wabunge wa CCM na wa vyama mbadala. Hoja zinapotolewa na Wabunge wa CCM hata kama hazina uzito wowote zinashangiliwa lakini zikitolewa hoja zenye maslahi ya Wananchi kwa kiasi gani, kama mleta hoja hiyo siyo CCM basi atazomewa, ataombewa miongozo au tàarifa ya...