wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Wabunge 19 ni sawa na watumishi hewa kwa kuwa hawatambuliki kokote

    Ndugu zangu watanzania, Salaam Mimi nawauliza tuu wavuja jasho wa nchi hii tunaonyonywa sana na kitu inaitwa CCM! Ikiwa kina Mdee na wafuasi wake hawatambuliki popote pale kisheria na hata kikanuni zozote zile za wao kuwepo Bungeni mpaka sasa...! Kwa maana nyingine, kodi yangu Mimi...
  2. JamiiForums Tanzania Wabunge waliofukuzwa CHADEMA wapo Bungeni leo Juni 23, 2022, Spika kawaruhusu kuuliza maswali

    Wabunge wa Viti Maalum, Salome Makamba na Grace Tendega wapo Bungeni, leo Alhamis Juni 23, 2022 na wameuliza maswali ya nyongeza baada ya kupewa fursa hiyo na Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson. Wabunge hao walifukuzwa uanachama CHADEMA na kesi waliyofungua kupinga kufukuzwa Mahakamani imetupwa...
  3. JamiiForums Tanzania Rasimu ya Warioba ipo tayari, tupate Katiba Mpya ndani ya mwaka huu tuwakatae wabunge vibogoyo na bunge lao lisilofaa

    Kama CCM wenyewe wamekubali kuwa sasa hivi katiba ni hitaji la kitaifa na huu ndio wakati muafaka basi sasa ndio wakati wa kuweka mambo sawa. Tuna bunge kibogoyo linalotafuna pesa za walipa kodi na huku wananchi wakiwa na maisha magumu. Hatusikii bunge likifanya kazi yake kama bunge ya...
  4. JamiiForums Tanzania Wakina Mdee wajipanga kukata rufaa. Je, Spika Tulia ataendelea kuwatambua kama wabunge?

    Baada ya wabunge wa viti maalum wa Chadema kuangushwa mahakamani siku ya leo na kujipanga kukata rufaa kupinga hukumu hiyo, je Spika Tulia ataendelea kuwatambua kama wabunge kwa kigezo kuwa mchakato wa kisheria dhidi yao bado haujakamilika kwa kuwa rufaa wanayojipanga kuikata bado...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu alishawahi kupata hii mikopo ya 10% ya Halmashauri inayotetewa sana na wabunge wa CCM Bungeni?

    Wakuu niaje, kuna mikopo ambaypo fedha zake hutengwa kwenye asilimia 10 ya mapato ya halmashauri, mikopo hii inaelezwa inatolewa kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu. sasa kwenye bajeti ya mwaka huu imependekezwa kwenye huo mkopo badala ya kutolewa asilimia 10 ya mapato, itolewe tu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia punguza kuitetea serikali, waache wabunge watetee wananchi

    Ndugu Spika Ninakuelewa vizuri, pengine huna uchungu sana na wananchi, kwa sababu mazingira yako ya kuingia bungeni tangu mwanzo, na baada ya uchaguzi 'feki' wa mwaka 2020 ni kwa mbeleko ya dola. Kwa hivyo labda unadhani una cha kuilipa fadhila serikali. Lakini nataka nikukumbushe tu kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania yenye Wabunge wenye Poor Thinking kama hii na walio 'very Sycophant' ndiyo mnategemea ipige Hatua Kubwa za Kimaendeleo?

    "Leo wananchi wanahamishwa, unapelekwa eneo unajengewa nyumba, unakuta hospitali, shule, unapewa hati ya nyumba, mimi naomba leo nitangaze rasmi naitwa Ole Kishoa ili nipelekwe kule na mimi nikapewe nyumba ya bure kabisa" - Jesca Kishoa, Mbunge Viti Maalum. Chanzo: EastAfricaTV Huwa napenda...
  8. JamiiForums Tanzania Wabunge walipe kodi, wabunge kutolipa kodi ni rushwa inayotolewa na Serikali

    Wabunge walipe kodi. Katika nchi nyingi ulipaji wa kodi ni majawapo katika sifa kuu kwa wagombeaji wa ubunge kuwa nayo ili wakidhi kuchaguliwa. Ni wazi kuwa kwa Wabunge wetu hawa kwa kutolipa kutolipa kodi wanakosa uhalali wa kuikosoa serikali pamoja na jukumu la kuhimiza ulipaji wa kodi. Sasa...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Wabunge Watatu wa CCM wahojiwa polisi kwa uchochezi Ngorongoro

    Wabunge 3 wa CCM akiwemo mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai, Prof Kitila Mkumbo na Christopher Olesendeka wamehojiwa na polisi kwa tuhuma za Kufanya uchochezi, kupanga njama na wananchi wasitii maagizo ya Serikali Loliondo. Kamanda wa Polisi Dodoma, amesema hana taarifa hizo. Pia soma -...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Hivi Wabunge wetu hawa hutumia muda gani kutafakari mambo, muda wote ni makofi na kuimba tu

    Mimi ni mfuatiliaji wa mabunge mbalimbali duniani. Katika mabunge makini ninayoyafuatilia huo naona panapofanyika mawasilisho (submissions),Wabunge huwa watulivu na wenye kutafakari mambo (digest issues). Sisi wabunge wetu hapo ni kupiga meza (makofi),kucheka na hata kuimba muda wote! Do we...
  11. JamiiForums Tanzania Bunge limeahirishwa ili wabunge wakajifunze kuvaa na table manners?

  12. JamiiForums Tanzania Wabunge wote wa Kagera hakuna aliyetoa hoja za Ujenzi wa stendi, soko kuu wala fidia kwa wahanga wa tetemeko

    Wabunge wote wa Kagera hakuna aliyetoa hoja za Ujenzi wa syend, soko kuu wala fidia kwa wahanga wa tetemeko wote wameishia kushukuru kama kawaida yao lakini pia uongozi wa mkoa uongozi wa mkoa walimzui Rais kusimama kusalimia wana Bukoba waliokuwa wanamsubiri stend alipita kasi ali...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA ni mpango wa Kifisadi kama ilivyo mingine, Watanzania tuamke

    Kuna kila Dalili huu uwepo na mpango kuwa na hawa wabunge 19 Bungeni ni mpango wa kifisadi na wahusika ni viongozi wakubwa ikiwepo CHADEMA, kwa namna tu hili suala linavyopelekwa. Kuna fununu kuwa hawa wabunge huchanga pesa kila mwezi na kuweka kwenye akaunti ,Hawa ni watu wazima kila mtu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania 2025 ni Samia tena, ila kwa Bunge lenye wabunge hawa haitasaidia kitu

    Kuna kila sababu ya kuendelea na Rais SSH 2025, sababu ana mipango na miradi mingi ya kuikamilisha. Tatizo ni kwa hili Bunge halimsaidii sana mama Samia bado wana mawazo ya CCM ya zamani kwamba kitu kikishaletwa na Rais au Waziri ni cha kupitisha tu wengine hawajisumbui hata kufuatilia mijadala...
  15. JamiiForums Tanzania Wabunge wataka wahitimu wakopeshwe kwa vyeti vyao

    Serikali imesema inaangalia uwezekano wa kutumia vyeti vya wahitimu wa vyuo vikuu nchini kama dhamana ya kuwapa mikopo mbalimbali ya kuwawezesha kujiajiri na kuajiri wengine. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omari Kipanga, aliyasema hayo bungeni wakati akijibu swali la nyongeza la...
  16. JamiiForums Tanzania Siku nyingi sijasikia wabunge na madiwani wakiunga mkono juhudi na kuhamia CCM

    Tangu mwezi March 2021 sijasikia zile harakati zikiendelea kwa siku za hivi karibuni. Japo wabunge wa upinzani ni wachache lakini hakuna hata mmoja wa kuunga juhudi?
  17. JamiiForums Tanzania Video: Baadhi ya wabunge wa Urusi bila uwoga waanza kukosoa hivi vita na kuagiza vikomeshwe

    Wadai taifa linazidi kupoteza wanajeshi na watoto wao wamebaki mayatima kwa vita ambavyo havina tija yoyote
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge nao walipwe pension kwa kikokotoo cha asilimia 33%. Kama Rais Samia unaona hicho ndio kinachofaa, basi kifae kwa wote!

    Kuna mambo mengine huwa yanakera sana!! Kama Rais Samia anaamini kwa dhati IMANI ya CCM kuwa binadamu wote ni sawa na kuwa kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake, inakuwaje akaona kuwa watumishi wengine wanastahili mafao kwa kikokotoo cha asilimia 33% wakati wabunge...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Baada ya mishahara na posho za wafanyakazi kuongezwa, sitashangaa kuona mishahara na posho za wabunge nazo zikiongezwa

    Wakati mishahara na posho za watumishi wa umma zikiongezwa, akili yangu inaniambia wakati wowote sasa au baade kidogo, tutanza kuona au kusikia habari ya wabunge kuogezewa posho na mishahara.. Hoja inaweza kuanzishwa na wabunge wenyewe au serikali yenyewe ndio ikfanya hivyo na hii itakuwa ni...
  20. JamiiForums Tanzania Nimecheka sana, kumbe wabunge ni weupe hivi!

    Leo nikawa nasikiliza Bunge, kwanza wakavuruga ratiba na kuweka session ya kumpongeza Rais Samia kupata tuzo kila mmoja akawa anampamba anavyoweza, kama ungekuwa humjui wanaemsifu haki ungejua malaika ameshuka. Mjadala wa kutumia kodi zetu kufanya hivyo niache kila mtu auamue moyoni anavyopenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…