wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania umekuwa muhimili mbovu na usio na tija wala faida kwa Taifa

    Bunge ni chombo ambacho kama kingekuwa kinafanya kazi yake ipasavyo hakika Tanzania ingekuwa mbali sana kwa sasa. Lakin Bunge la Tanzania ni miongoni mwa mabunge ya hovyo na hasara kwa Taifa, halina msaada wala mchango wowote ule kwa taifa hili. Bunge linatia hasara Serikali kila mwaka. Bunge...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Utoro wa wabunge bungeni tena bunge la bajeti, tatizo ni nini?

    Habari! Hivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao kuhudhuria bungeni yaani kifupi wamechoka au wamekifiwa na kazi ya ubunge. Vikao vya halimashauri...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hili la Wabunge 50 kutoka Zanzibar yenye wapiga kura wasiozidi laki tano, wakati Temeke wapiga kura 1.5M Wabunge 6 limewaliza Watanzania

    Wakati Watanzania wanaendelea kula Dozi ya Ubongo( Brain Vitamins) kutoka kwa Wakili Nguli na Mpigania haki Mh Makamu Mwenyenyekiti wa Chadema kwenye ziara zake. Mh Lissu ambaye yuko ziarani ktk harakati zake za Kuendesha Maandamano mikoa yote Tanzania na mikutano ya kisiaaa ametoa Takwimu...
  4. JamiiForums Tanzania Shemsa Mohammed awasisitiza Wabunge na Madiwani kutekeleza ahadi binafsi

    MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Seif Mohammed amewataka Wabunge na Madiwani kuhakikisha wanatekeleza ahadi zao binafsi walizotoa kwa wananchi wakati wanaomba kura kwenye uchaguzi wa mwaka 2020. Mwenyekiti Ndugu Shemsa Seif Mohammed amewataka ametoa wito...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Elimu namna utekelezaji wa bajeti za serikali ulivyo na jinsi Rais anavyoshukuriwa sana na wabunge

    Wakuu nawasalimu, niende moja kwa moja kwenye swali , linahusu budge ya serikali na utekelezaji wake , bunge na Mheshiwa Rais nianze na maelezo kidogo, Nijuavyo mimi, budget zote hupitishwa na bunge, na wabunge huwa wakali sana kwa mawaziri kama watekelezaji wa maamuzi ya bunge , mambo ya...
  6. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Nishati: Wananchi na Wabunge tembeleeni Maonesho ya Wiki ya Nishati kwenye Viwanja vya Bunge, Dodoma

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ametoa wito kwa wananchi na Wabunge nchini kutembelea Maonesho ya Wiki ya Nishati yanayoendelea katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma ili kufahamu masuala mbalimbali ikiwemo utekelezaji wa miradi mbalimbali chini ya Serikali ya Awamu ya Sita. Naibu...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Wabunge/wawakilishi wote wa baraza la mapinduzi Zanzibar wanakuwa wabunge wa Bunge la JMT?

    Naomba kufahamishwa hapo na wataalam, na wanaokuwa sehemu ya Bunge la JMT wanazingatia vigezo gani au wanapatikanaje. Cc Pascal Mayalla
  8. JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Mawaziri wasitokane na Wabunge

    Jaji Warioba akihojiwa na Mwananchi Digital Aprili 7, 2024. amesema kuwa Mawaziri wasitokane na wabunge, "Bunge liwe ni bunge, serikali isiingiliane na bunge, na vizuri mawaziri wasiwe kwenye bunge, mbunge asiwe waziri. Wakati tulipopata uhuru na hasa tulipobadili katiba tukawa Jamhuri, Rais...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge wawe na ukomo wa kukalia kiti bungen

    Muda mwingine mabadiliko yatakuja kama tukibadilisha watu kwenye mfumo. Kadri mbunge anavyokalia kiti anabweteka anakula maisha kwa mishahara ya mamilioni. inakuaje mbunge anapokea pensheni halafu anarudi bungeni. Basi kama vp kila mtumishi alipwe pensheni kila baada ya miaka 5 Hii nchi ni...
  10. JamiiForums Tanzania Wabunge kaeni chonjo: 5 years later!

    Wabunge wetu mpooo? 2025 si mbali, na mbunge wetu Gwajima katuahidi makatapila 20! Sijayaona.
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma: Hawa ndio Wabunge wa Upinzani walioko Bungeni 2020-2025

    Wabunge kutoka Zanzibar Omar Ali Omar (ACT) - WETE Khalifa Mohammed Issa (ACT) - MITABWE Maryam Omar Said(CUF) - PANDANI Mohamed Said Issa (ACT) - KONDE Seif Salim Seif (CUF) - KUSINI PEMBA Salum Mohammed Shaafi (ACT) - CHONGA Wabunge kutoka Tanzania Bara Shamisa Aziz Mtamba (CUF) - MTWARA...
  12. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, wabunge watakaoshinda kupitia CHADEMA 2025 watagomea mshahara wa Milioni 18 kwa mwezi?

    Salaam, Shalom! Mimi ni MMOJA wa wananchi anayepinga wabunge kulipwa zaidi ya milioni 5 tano kwa mwezi kutokana na Pato kiduchu linalokusanywa ,maana ubunge ni KAZI ya kujitolea, ni seasonal job!! Inakadiriwa, makusanyo ya Serikali kupitia Kodi na vyanzo vingine vya mapato havizidi bil 900 Kwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbowe kuhusu wabunge kujiongezea mishahara ni ya kweli. Mbona hajaitwa na Kamati?

    Waliwahi kuitwa na Kamati ya haki, kinga na madaraka ya bunge kwa kutoa kauli zilizodhaniwa kuwa zinalibagaza bunge ni pamoja na:- 1. Makonda alipokuwa RC wa DSM. Huyu alisema wabunge wanalala tu bungeni, hakuna wanachofanya. 2. Alexander Mnyeti alipokuwa DC. Huyu sikumbuki alisema nn. 3. Pascal...
  14. JamiiForums Tanzania Si kweli kwamba Wabunge wameongezewa mshahara

    Naungana na bunge kukanusha taarifa za Mh. Mbowe kuwa wabunge wameongezewa mshahara kutoka sh. Milioni 13 mpaka milioni 18. Kwanza tangu tupate uhuru wa nchi hii serikali haijawahi kumlipa mbunge yeyote mshahara wa milioni 13. turudi kweli mada. Jamaa wajanja wamejiongezea posho na sasa...
  15. JamiiForums Tanzania Je, kuna rekodi zozote za Mbowe kulaani posho na mishahara mikubwa ya ubunge pindi CHADEMA ikiwa na wabunge wengi bungeni?

    Ni miaka zaidi ya 20 Mbowe na wenzie wa Chadema wamekuwa wakipokea pesa za mishahara ya ubunge na posho za vikao. Wakati Mbowe na wenzie wanatoka bungeni walikuwa wanapokea mil 13 na posho za vikao juu. Leo Mbowe anashangaa wabunge wanapewa pesa nyingi wakati watumishi wa umma wanalipwa...
  16. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ajipanga kuuthibitishia Umma kuhusu nyongeza ya mishahara ya Wabunge

    Taarifa nilizonazo zinaeleza kwamba Freeman Mbowe na timu yake iliyoko bungeni na hazina wanajipanga kuuthibitisha umma kwamba wabunge wa Tanzania wameongezewa mshahara kutoka milioni 13 hadi milioni 18, nyongeza ya milioni 5 kamili. Ikumbukwe kwamba wafanyakazi wa Tanzania waliongezewa kati ya...
  17. JamiiForums Tanzania Bunge lakanusha Kauli ya Mbowe kuwa Mshahara wa Wabunge umepanda kutoka Tsh Milioni 13 hadi 18

    Maneno ya kukana hoja Hizo yametolewa na Kitengo cha mawasiliano na uhusiano wa kimataifa Bungeni.. Jana Ijumaa tarehe 22 Machi, 2024 alipokuwa anahutubia mkutano wa hadhara Mjini Babati Mkoa wa Manyara na kisha Video yake kusambaa kwenye Mitandao ya Kijamii Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia...
  18. JamiiForums Tanzania Wabunge badilisheni mbinu za kuomba kura uchaguzi ujao

    Nashangaa tena nashangaa sana wanasiasa wenzangu ambao mpaka sasa ni wabunge wa majimbo mbalimbali bado wanafanya siasa za miaka ya 90's huko wakati tupo kwenye ulimwengu wa wapiga kura waelewa na wasomi wengi tofauti na kipindi cha nyuma. Mwanasiasa kijana tena wa kileo bado anaanzisha...
  19. JamiiForums Tanzania Kituko: Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo abanwa maswali na Mtangazaji wa StarTv na kushindwa kutetea Kauli zake, Wabunge wafundishwe kujenga Hoja..

    Alipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata.. Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi wetu wako vizuri Upstair au Ni Gambo
  20. JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanasiasa ambao tayari wameshapitishwa kimkakati kuwa wabunge katika majimbo yao ya zamani, Kinachosubiriwa ni wao kutangazwa tu

    Habari za asubuhi wanaJF wenzangu? Ndugu zangu... kama ilivyo ada, mimi huwa sipendi kuficha ficha mambo haswa yanayohusiana na maslahi ya taifa letu, hata kama mambo hayo kuna watu yatawagusa na kuwaumiza au kuua mipango yao, hiyo ni shauri yao, kikubwa mimi nafikisha ujumbe ili kila mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…