Wabunge wa mwendazake ni janga Kwa Taifa letu

mzee wa liver

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
82,795
428,256
Aisee angalia wabunge wetu wanayojadili bungeni
Kumekuwa na utabiri wa hali ya hewa wa kutahadharisha juu ya majanga mbalimbali ikiwemo vimbunga kwa bahati mbaya sana hivi karibuni tumeona kwamba majina mengi yamekuwa ya jinsia ya kike, kama kimbunga Cleopatra, Katarina na hivi karibuni kulikuwa na kimbunga Hidaya, lakini hatujasikia majina kama kimbunga John, Getere au kimbunga Kanyasu, nalisema hilo kwa masikitiko makubwa nikisema kwamba TMA haioni iko haja kwa serikali hayo majina yakiletwa kutoka nje yabadilishwe ili yalete maana nzuri, vijana wetu wanaingia katika kashifa pia kutumia haya majina," - Dkt Ntara
20240516_143843.jpg
 
Ndio kero za wananchi hizo zilizompeleka bungeni??
Wakati niko mdogo nilijua watu kuitwa waheshimiwa ni watu fulani hv akili kubwa kuliko wengine, kumbe ni kinyume chake...ama kweli kua uyaone!!.
 
Aisee angalia wabunge wetu wanayojadili bungeni
Kumekuwa na utabiri wa hali ya hewa wa kutahadharisha juu ya majanga mbalimbali ikiwemo vimbunga kwa bahati mbaya sana hivi karibuni tumeona kwamba majina mengi yamekuwa ya jinsia ya kike, kama kimbunga Cleopatra, Katarina na hivi karibuni kulikuwa na kimbunga Hidaya, lakini hatujasikia majina kama kimbunga John, Getere au kimbunga Kanyasu, nalisema hilo kwa masikitiko makubwa nikisema kwamba TMA haioni iko haja kwa serikali hayo majina yakiletwa kutoka nje yabadilishwe ili yalete maana nzuri, vijana wetu wanaingia katika kashifa pia kutumia haya majina," - Dkt NtaraView attachment 2991611
Kipengele cha kujua kusoma na kuandika kiondolewe. africa pekee ni tanzania tu ambayo ina qualification za hovyo kwenye ubunge, ndio maana tunapata watu wa ajabu
 
Aisee angalia wabunge wetu wanayojadili bungeni
Kumekuwa na utabiri wa hali ya hewa wa kutahadharisha juu ya majanga mbalimbali ikiwemo vimbunga kwa bahati mbaya sana hivi karibuni tumeona kwamba majina mengi yamekuwa ya jinsia ya kike, kama kimbunga Cleopatra, Katarina na hivi karibuni kulikuwa na kimbunga Hidaya, lakini hatujasikia majina kama kimbunga John, Getere au kimbunga Kanyasu, nalisema hilo kwa masikitiko makubwa nikisema kwamba TMA haioni iko haja kwa serikali hayo majina yakiletwa kutoka nje yabadilishwe ili yalete maana nzuri, vijana wetu wanaingia katika kashifa pia kutumia haya majina," - Dkt NtaraView attachment 2991611
Ingekua wabunge ni wake angekufa nao.
 
Back
Top Bottom