wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Saashisha Mafuwe Akabidhi Mashine ya X-Ray ya Milioni 196 na Magari Mawili, Hospitali ya Wilaya ya Hai

    Mbunge Saashisha Mafuwe akabidhi mashine ya X-ray yenye thamani ya Tsh. milioni 196 na magari mawili Mbunge wa Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro, Saashisha Mafuwe tarehe 10 Agosti, 2024 amefanya ziara katika Hospitali ya Wilaya ya Hai na kukabidhi Ultrasound na X Ray Machine za kisasa zenye...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kama Wabunge wanalipwa Mishahara sioni kwanini Viongozi wa Dini wasilipwe Mishahara na Serikali. Nakubaliana na Shehe Bombo

    Wabunge wetu Wana shughuli zao nyingine zinazowaingizia kipato kama Biashara, Kilimo n.k lakini wanalipwa mishahara minono na Serikali na Vyama vyao vinapewa Ruzuku kila mwezi. Sasa kwanini Viongozi wa dini ambao ndio Watengeneza amani ya Mwili na Roho wasilipwe mishahara na Serikali...
  3. JamiiForums Tanzania Kuwa Mbunge kwenye eneo moja isizidi miaka 10 na Mawaziri wasitokane na Wabunge isipokuwa Waziri Mkuu

    Kwema Wakuu! Nafikiri kuna umuhimu wa kubadili sheria na kuweka sheria mpya kuwa Mbunge wa eneo Fulani asiongoze eneo hilo Kwa zaidi ya Miaka Kumi. Awamu Mbili zinatosha Kabisa kuwakilisha wananchi wa Jimbo Husika. Sioni tija ya Mbunge kukaa Miaka nenda rudi. Kama nia ni kuwakilisha Wananchi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watu wa mwambao wana utamuduni wao, hakuna shaka watamchagua Mama samia kiti cha Urais. Kwa nafasi ya Wabunge...

    Watu wa Mwambao wana utamaduni wao unayotokana na dini yao. Musiwapangie sawa na utamaduni wenu. Utafiti nilioufanya kwa watu wa mwambao huwaambii kitu, weshamchagua Samia kura ya Urais. Yaani haijalishi. Jambo lolote litalofanywa na watendaji wa Serikali litakaloumiza hisia za Waislam kwa...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nawasikiliza wabunge wa Katavi wakiongea na Rais Samia; wanalalamika sana, wanamshukuru sana na wanampongeza sana Rais

    Hizo ndio siasa zisizoeleweka za Tanzania. Sasa hivi hapa nawasikiliza wabunge wa mkoa wa Katavi wakizungumza na Rais Samia aliyemaliza ziara yake mkoani Katavi. Nawasikiliza wabunge hao wakilalamikia sana mambo mbalimbali ya mkoa wao, wakati huo huo wanamshukuru na kumpongeza sana rais kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Magufuli: Matatizo hayakimbiwi, matatizo ni kukabiliana nayo

    Hayati Magufuli alishindwa vumilia kudharauliwa, na hii ndio sababu kubwa Upinzani hauku ingia bungeni 2020 , inasemekana hivyo . Muwe na siku njema
  7. S

    JamiiForums Tanzania Poleni Wasukuma kwa kuchagua wabunge wa darasa la 7

    POLENI sana ndugu zangu Wasukuma kwa kufanya utani kwenye uchaguzi na kuacha vigezo vya uwezo wa kiakili ninyi wenzangu mnaangalia mtu ambaye ana uwezo wa kuwanunuliwa vitumbua, ubwabwa, soda na kuwagawia shilingi elfu 5 tano matokeo yake mnapeleka wabunge bungeni ambao hawana uwezo wa kujua...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Madai ya baadhi ya wabunge kuwa wanufaika wa vibali vya sukari yana ukweli kiasi gani?

    Wabunge wanatuhumiwa kuhusika kwenye kashfa ya sukari ambapo inadaiwa baadhi yao wamepewa vibali vya kuagiza sukari na Waziri Bashe kama mkakati wa kuwanyamazisha na kufanikisha azma yake ya kubadilisha sheria ya sukari ili wapate hela nyingi kwa ajili ya uchaguzi. Baadhi ya wabunge wanaotajwa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Wananchi Kenya wadai wabunge wao wananunuliwa kama wanawake

    Wananchi wa Kenya , wamewalaumu wabunge wao Kwa kununuliwa kama wanawake ili kupitisha bajeti ya Mwaka huu 2024/25
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bila kuwa na katiba mpya itakayoondoa wabunge vilaza tutegemee migomo zaidi au pengine maandamano kama ya Kenya.

    Hii sio wiki nzuri kwa nchi zetu za Afrika Mashariki hasa Tanzania na Kenya. Wakati Kenya wanaandamana kihuni kupinga kupitishwa kwa sheria mpya ya fedha huku Tanzania kuna mgomo wa wafanyabiashara. Hawa wafanyabiashara wana hoja kadhaa za msingi ingawa pia wanazo hoja zingine za kipumbavu...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Waafrika wasipoondoa mfumo wa kuwakilishwa na Wabunge kamwe wasahau maendeleo

    Habarini, Ni wazi wanasiasa wa Afrika ndio maadui wa maendeleo ya Afrika kwa kuwaibia Waafrika mali na fedha kwa kujilipa mishahara na marupurupu makubwa huku waliwaachw wananchi wao wakiwa maskini wa kutupwa. Nawaunga mkono Kenya kwa kulisambaratisha bunge na kuwasambaratisha wabunge wote...
  12. JamiiForums Tanzania Nchi inapigwa, kutwa nzima ni Mada za Yanga na Simba

    Tanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia. Hakuna Maada nyingine utaisikia kwenye hivi vituo zaidi ya Yanga na Simba kutwa nzima, wanaanza kujadili mpira kuanzia...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Wabunge walioshirikiana na Luhaga Mpina kuihujumu serikali wakiwa ESPIRANCEE ni kina nani?

    Tetesi zimezagaa Luhaga Mpina hayupo mwenyewe na kuna kundi la wabunge walishirikiana naye kuandaa ile ripoti yake na bado wapo naye. Inadaiwa walikutana Dodoma eneo la Espirancee na kufanya kikao na kuandaa taarifa ile kwa Spika juu ya uongo wa Waziri Bashe. Wabunge hawa ni kina nani?
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA mmejipangaje na wabunge 19 wa viti maalumu kutorudi bungeni tena mwaka 2025/26?

    CHADEMA mna mkakati wowote wa kuwazuia wabunge wa viti maalumu waliopo bungeni wakati huu kutorudi bungeni wakati na baada ya uchaguzi wa mwaka 2025? Mtawazuiaje ikiwa mtaona wao ndio wamepewa fursa ya kugombea na wanapeperusha bendera ya CHADEMA katika uchaguzi wa mwaka 2025? Mtawazuiaje...
  15. JamiiForums Tanzania Elibariki Kingu: Mpina alilipa kila chombo cha habari 10,000,000, wabunge watoa tamko kumlaani wakinukuu korani na biblia

    Ni rasmi sasa Mpina ni mbunge aliyelaaniwa. Hii imetokana na Askofu Gwajima kunukuu aya ya biblia ambayo wabunge waliitikia ameen, aya hiyo inapinga kumfitini nduguyo. Baadhi ya wabunge walimfananisha Luhaga Mpina na nguruwe, na wengine walimfananisha na nyani. Elibariki Kingu ameeleza Bunge...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Nashauri viwekwe vigezo vya elimu, viti maalumu n.k Muda wa kuchangia usifanane kwa wabunge wote. Nilitamani Dr. Kimei aongezewe muda.

    Muhimu bunge likatunga kanuni kutofautisha muda wa kuchangia wabunge kulingana na sifa ya eiimu na makundi yanayotoka. Kwa mfano wenye elimu ya PhD wakawa na muda mrefu tofauti na wale darasa la saba, mbunge wa jimbo akawa na muda zaidi ya wale wa viti maalumu. Hatusitahili kuchuka kila kitu...
  17. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge mnasubiri nini kumchangia Rais Samia pesa ya kuchukulia Fomu ya Urais?

    Ndugu zangu watanzania, Kama kuna Muhimili unapaswa kuwa msitari wa mbele kumtia moyo Rais Samia ,basi ni Muhimili wa Bunge.Hii ni kwa kuwa wabunge kwa macho yao ni mashuhuda wa namna Rais Samia alivyo miminia na kutiririsha Mamilioni ya pesa majimboni mwao kwa ajili ya miradi mbalimbali ya...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: CHADEMA iachane na issue ya Wabunge wake 19, iwasamehe waendelee na Ubunge wao. Kwa muda uliobakia kuwatengua hakuna maslahi yoyote!

    Wanabodi Ibara ya 49 (5) ya Sheria Mpya ya Uchaguzi inasema (5) Endapo uchaguzi mdogo unatakiwakufanyika na tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge imetangazwa au imejulikana kwa mujibu wa matukio yaliyo ainishwa katika Ibara ya 90(3) ya Katiba, uchaguzi mdogo hautafanyika katika muda wowote wakati wa...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu anajibu maswali ya Wabunge, Bunge la 12 Mkutano wa 15 Kikao cha 47, Juni 13, 2024 Asubuhi

    https://www.youtube.com/watch?v=b72QKndzitE
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge mliopata ubunge kwa nguvu ya Hayati Magufuli tafuteni kazi nyingine mapema

    Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye uwezo mdogo wa kutengeneza hoja ninawashauri tu watafute kazi nyingine za kufanya kwa sababu 2025 ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…