wabinafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtu unapataje nguvu kusema Wachaga ni wabinafsi na wana roho mbaya?

    Napata shida kuwaelewa watu au ni chuki tu kwa hawa wachaga au nini utakuta mtu anasema au anadiriki kuzungumza kwamba wachaga ni wabinafsi na wachoyo wanapendeleana wao kwa wao how kivipi? Kiukweli nimefanya kazi na wachaga kiukweli wachaga ni watu poa sana kuliko wale watu kanda ya ziwa mimi...
  2. CDF Mkunda amechangia kwa kiwango kikubwa kutokea mauaji ya maangamizi ya wananchi

    Tangu tupate Uhuru haijawahi kutokea Mkuu wa Majeshi (CDF) kulihutubia Taifa kwa njia yo yote ile. Jambo lililo wastaajabisha wengi ni pale CDF General Mkunda alipojitokeza mbele ya vyombo vya habari na kumuunga mkono IGP katika harakati za kuua wananchi kwa kisingizio cha kuzima maandamano ya...
  3. Aisee singida ina watoto wakali na wala hata sio wabinafsi.

    Hongereni wana singida. Watoto kiuno nyigu, weupe wa kuonja, wezere kiasi, ngozi nyororo Ila miguu ndio hamna, kama fimbo za mwalimu mkuu🤣🤣 Ila kweli mnadatisha nyie watoto, huwa mko sexyy, Weweeee🤣
  4. Watu wa dini wabinafsi sana, Waislamu Kenya nao wataka msikiti kujengwa ndani ya Ikulu!

    Baada ya Rais Ruto wa Kenya kulewa kidini na kuifanya dini kuwa mojawapo ya nyenzo kuu za utawala wake kuvuna ushawishi miongoni mwa raia hadi kufikia kujenga kanisa ikulu ya Kenya kwa kile anachodai ni kwa pesa za mfukoni kwake binafsi hatimaye Waislamu wa Kenya huko Mombasa nao wameibuka na...
  5. Hivi kwanini familia za kiafrika watu wanakuwa wabinafsi sana hasa likija suala la mirathi

    Familia nyingi za kiafrika watu huwa wabinafsi sana likija suala la kimaslahi. Utu, huruma na undugu huwatoka kabisa na kuendekeza dhulma baina ya wanandugu. Sasa usiombe iwe ni mirathi ndio kabisaa hata iwe mmezaliwa baba mmoja mama mmoja bado kuna ubinafsi wa kuzulumiana wenyewe kwa wenyewe...
  6. W

    Zamani nilihisi ndugu wa Dar wote ni wabinafsi lakini baada ya kuvaa viatu vyao nilipohamia jiji hili siwezi kuwalaumu

    Kwanza kabisa nisema Tanzania tuna jiji moja tu DSM, hayo majiji mengine ni basi tu yemepewahadhi hakukuwa na namna ila kwa uhalisia ni miji inayokuwa. Ni jiji linalokulazimisha kuwa na kasi, matumizi makubwa, kupambana kila siku, n.k. Wanadsm sio kwa sababu hawapendi kusaidia, bali kwa sababu...
  7. W

    Kwanini waliozaliwa peke yao kwenye familia ni wabinafsi?

    Kwa uzoefu wangu wa kuishi na watu mbalimbali nimegundua hivyo. Je, kuna ukweli wowote?
  8. Nini husababisha wanawake kuwa wabinafsi kwenye mali

    Kama mada inavyojieleza Hivi ni nini hasa kinafanya wanawake kuwa wabinafsi kwenye suala zima la mali na mambo mengine kiuchumi? Mfano mpo kwenye ndoa mke akiwa tu na kipato kikubwa kumzidi mume lazima ataleta ubinafsi katika umliki wa mali mlizochuma pamoja kisa tu yeye kachangia kikubwa...
  9. K

    UPDATES: Elimu kwa umma ambayo ni jambo la msingi na endelevu

    TUYAONDOE MAJAMBAZI YA KISIASA KWENYE VYEO YALIKOJIPENYEZA KWA RUSHWA YAKAPATA VYEO ILI TUBAKI NA WATU WAAMINIFU NA WAADILIFU WENYE UCHUNGU WA KUWAINUA MAFUKARA Nilisikika nikiunguruma katika Ulimwengu wa Kiroho huko Ndotoni. Baada ya kuyaona Majambazi ya Kisiasa Baadhi yaliyo jipenyeza kwenye...
  10. Zabuni (tender) ya kununua vitu vya kawaida kabisa anapewa mchina viongozi wa Afrika ni wabinafsi sana

    Copy & paste Zabuni ya kununua na kusambaza mashine za kufulia katika vituo vya afya na hospitali unampa mchina. Zabuni ungempa mwekezaji mzawa na kukuza mtaji wake. Mchina anapeleka pesa kwao. Zabuni anapewa Shenzhen Anglell Technology Co. Ltd ambao walichelewa kuwasilisha zabuni zao...
  11. Watu wanaogopa kujaribu mambo mapya?

    Ninazungumzia baadhi ya wenzetu humu jukwaani ambao ama sijawaelewa, au wana "tatizo". Nimeliona hili pindi mtu anapouoandisha uzi ambao una chembe za kifursa. Mathalani , mtu anaweza akawa anaelezea fursa zinazopatikana kwenye shughuli fulani kama kilimo, biashara, n.k. Imeshuhudiwa mara...
  12. Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

    Nimestushwa na kuogopa tena nikalazimika kuisoma Katiba ya Zanzibar mara mbili. Leo Waislamu wa Zanzibar wanawavamia na kuwapiga vibaya Wazanzibar wenzao ambao sio Waislamu kwakuwa tu wanakula kwa mama lishe mchana mda ambao wale waislamu wanakuwa wamefunga. Vipigo vimeenea kila kona ya mji wa...
  13. DKt. Nchimbi: Wasiotimiza wajibu wao, wabinafsi, siku zao zinahesabika

    Awataka wanaosuasua kukaza buti Asema anaweza kula kiapo, Kamala alichukia rushwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amewatahadharisha viongozi wote wanaotokana na CCM wasiotimiza wajibu wao kuwatumikia watu, kwa kadri ya matarajio ya Chama na wananchi...
  14. Wengi wanaotaka wake zao wasifanye kazi wana upeo mdogo wa kufikiri halafu ni wabinafsi

    WENGI WANAOTAKA WAKE ZAO WASIFANYE KAZI WANAUPEO MDOGO WA KUFIKIRI ALAFU NI WABINAFSI Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Chizi sio lazima uokote Makopo, kuna Chizi Fresh ambao ndio wengi wapo kundi hili tena wengine wasomi. Alafu kuna ambao ni Chizi Maarifa hawa wengi ukiwaona kwa mbali...
  15. B

    Baby Boomers: Kizazi cha watu wabinafsi kuwahi kutokea duniani!

    Katika utafiti wangu usio rasmi, nimegundua hiki kizazi cha hawa Baby Boomers (watu waliozaliwa mwishoni mwa miaka ya 1940 na mwanzoni mwa miaka ya 1960 i.e 1946-1964), ni kizazi cha watu wabinafsi kuwahi kutokea duniani. Wengi wao, katika nchi nyingi ikiwemo Tanzania, walipoingia tu kwenye...
  16. Hili la nauli Serikali iliangalie upya yaani ongezeko la Tsh 15,000/ kweli!? Nauli kutoka 38,000 hadi 53,000 jamani kweli!? Mbona mmekuwa wabinafsi?

    Hivi hii ni makusudi au ninini, au kuna mbinu ya kumkomoa Mh Rais kimya kimya baada ya kujua sio mfuatiliaji wa maswala kama hayo? Hilo ongezeko la kiwango hicho limekuwaje? Yaani sehemu uliyo kuwa unasafiri kwa elfu 10 saihiz ni elfu 15 sehemu uliyo safiri kwa 40,000 sasa hivi ni 55,000, hivi...
  17. A

    Ee Afrika! Nakuita bara tukufu lenye watu wabinafsi sana

    Afrika ni wewe uliepewa madini kama dhahabu, almasi, chuma na vito vingi vya thamani. Ni wewe Afrika uliebarikiwa misitu yenye uwezo wa kuzalisha mbao bora lakini ajabu hadi sasa watoto wanakosa madawati shuleni. Afrika ni wewe uliebarikiwa mafuta na ges lakini bado uhakika wa umeme ni tabu...
  18. Wanasiasa wa Afrika ni wauaji na wabinafsi

    Unajiuliza waliwezaje kupokea pesa za Covid-19 na kudai wanazipeleka kwenye kujenga madarasa mengine wanaweka na tiles na ac? Wanaacha watoto wadogo wanakufa kwa kukosa matibabu na bima inasitishwa kwa madai kuwa michango haitoshi. Lakini hawa wanasiasa wananunuliana magari ya kifahari sana kwa...
  19. Wanaume wabinafsi

    Wanapenda kusaidiwa ila hawapo tayari kusaidia wapenzi wao, ni wachoyo, wana roho za korosho. Wakipata hela wanaenda club kukesha na wanaume wenzao wakinunuliana vinywaji adimu vya bei mbaya huku wanamewatelekeza wapenzi wao. Wakirudi home hawana hata buku, kisha wanaanza kulialia kwa mademu...
  20. Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

    Wasalaam wana JF Katika pitapita zangu za kimaisha jambo kubwa ambalo nimelishuhudia, nimesimuliwa na kupata uzoefu kutoka kwenye forum mbali mbali pamoja na JF, ni kwamba wanawake wengi ni wabinafsi na wachoyo. Tabia hizi mbaya za wanawake zimesababisha mahusiano mengi yamekufa, familia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…