wabinafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Okrap

    JamiiForums Tanzania Wanaume wabinafsi

    Wanapenda kusaidiwa ila hawapo tayari kusaidia wapenzi wao, ni wachoyo, wana roho za korosho. Wakipata hela wanaenda club kukesha na wanaume wenzao wakinunuliana vinywaji adimu vya bei mbaya huku wanamewatelekeza wapenzi wao. Wakirudi home hawana hata buku, kisha wanaanza kulialia kwa mademu...
  2. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

    Wasalaam wana JF Katika pitapita zangu za kimaisha jambo kubwa ambalo nimelishuhudia, nimesimuliwa na kupata uzoefu kutoka kwenye forum mbali mbali pamoja na JF, ni kwamba wanawake wengi ni wabinafsi na wachoyo. Tabia hizi mbaya za wanawake zimesababisha mahusiano mengi yamekufa, familia...
  3. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Kuna Watu ni wabinafsi, ila Mchepuko wangu kazidi. Nimemnyoosha

    Wiki ilopita Mwanamke wangu alikuwa na ziara ya kikazi mikoani kwa gari ya ofisini kwao na wenzie watatu (jumla 4 na dereva wao) kwenda kukagua hesabu za vituo vyao vilivyopo uko mikoani. Siku ya Jumatano alfajir kanitaarifu Yuko Safarini anarudi. Mida ya jioni kanipigia akinambia wamefika...
  4. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

    Wakuu salaam, Tofauti na mama yako na mke wako wanawake wengine wote achana kujifanya kuwasaidia wanakuchora tu. Wanawake ni viumbe wabinafsi kuliko viumbe wengine wote chini ya mawingu mpaka chini ya bahari. Kuna tofauti ndogo ndogo baina yao ila kwa ujumla package nzima wako sawa wote...
  5. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Wanaojali, na wakarimu bado wapo kwenye ulimwengu huu uliojaa wenye chuki, na wabinafsi

    Leo nimekaa nimetafakari sana jambo na kuona bado tunaweza kurudisha tabia njema, ukarimu na ustaarabu ambao ndio ilikuwa sifa kubwa ya sisi watanzania ikitutofautisha na watu wa nchi nyingine Kila uchwao changamoto ya ajali za barabarani imekuwa kubwa sana kila leo tunapoteza ndugu, jamaa na...
  6. James Martin

    JamiiForums Tanzania Suala la Ngorongoro limegawanyika sehemu mbili, ni wazalendo vs wabinafsi

    Ngorongoro ni urithi adimu sama duniani mwenyezi mungu ametupa Watanzania. Tunatakiwa tuilinde kama mboni ya macho yetu. Cha kusikitisha watu wanawatumia Wamasai kama kivuli cha kuhifadhi mifugo yao kwenye hifadhi ya taifa. Watu wenye pesa wameifanya hifadhi ya Ngorongoro kama sehemu ya...
  7. mfichuamambo

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu mnawezaje kumudu wanaume wabinafsi waongo wanaojifikiria wao tu?

    Jamani hivi wamama mnawezaje kumudu hawa wanaume wabinafsi? Yaan mwanaume asiyesikia uchungu au maumivu ambaye wewe kama mwanamke wake unayapitia Mwanaume opportunitist tu,selfish tu, anajali tu maisha yake tu Mwanaume ambaye ni muongo kwa asilimia 99 Kudanganya kupo ila sio huyu wangu aisee...
Back
Top Bottom