Nawasalimu..
Jamaa wapo tayari Bongo, wamekuja mapema sana, huwa hawanaga mbambamba kwenye suala la mtoano.
Winga zao viberenge wenye kasi ya farasi wapo, najiuliza hivi wale wazee wa kushoto Kulia wataweza kuwazuia kweli?
Alafu nasikia wanataka kumtumia yule kipa majeruhi kucheza mechi hii...