waarabu

  1. K

    Bila kutangazwa Tenda waarabu wapewa Bandari, Ngorongoro, Mwendokasi na KIA

    Kwenye yote haya hatutaona mikataba yeyote sasa kama ni kwa manufaa ya umma kwanini mikataba ya siri
  2. M

    Hizi breaking news za waarabu wa Mbwinde kwamba Netanyahu kauawa, source yake ni wapi ?

    Imekuwa too much sasa, kila kona uwakutapo waarabu wa Mbwinde utawakuta wakipeana habari za Netanyahu kuuawa. Ni wapi wanazitoa hizi habari ?
  3. Yoda

    Ilikuwaje dini za Afrika zikafutwa kirahisi kabisa na dini za Wazungu na Waarabu?

    Bara la Africa ndipo ambapo dini za wazungu na Waarabu za Ukristo na Uislamu ziliweza kufuta kabisa dini za wenyeji na kuchukua nafasi kama dini kuu mpya. Jambo hili halikuwezekana kwa mataifa ya kale kama China, Japan na India pamoja na mengine kama Vietnam, Korea, Nepal, Thailand, Mongolia n.k...
  4. Chibike

    Waarabu ni ndugu zetu upande wa nani?

    Kumbe nateseka tu hapa kumbe Nina ndugu za kiarabu, embu niwajue wanipe hata bilioni 20 pesa za mafuta nifungue biashara.
  5. M

    Kwanini kwenye maslahi hata waarabu, wahindi, waafrika, n.k. hupenda kwenda kufanya kazi kwa wazungu hata kama ni dini tofauti ?

    Hata ndoto za watu wengi ulimwenguni kwenda kujitafuta ni nchi zilizojaa wazungu. Mfano mwengine mtu awe muislamu mwenye jina la kiarabu, hupenda kuvaa mavazi ya kiarabui, hupenda kula vyakula vya kiarabu, hujifunza lugha ya kiarabu, n.k. ukimwambia achague kafanya kazi kwa mwarabu au mzungu...
  6. O

    POTOSHI Samia: Ngorongoro tumewapa Ndugu zetu waarabu wawekeze

    Samia anasema tuna undugu na Waarabu; lakini ni tangu lini tumekuwa na undugu na Waarabu? Kwahiyo hapa anataka kusema kwamba amewapa waarabu wawekeze kwasababu ni ndugu zake!? Kwanini Rais wa hii nchi akili zake zimejaa undugu na nepotism kwenye kufanya maamuzi ya msingi ya nchi !? Hafai kuwa...
  7. Mhaya

    Vita itageuka kuwa ya Waarabu tu, hakuna Marekani atakayeumia

    Sasa Iran anazishambulia nchi za waarabu wenzake ikiwemo nchi yao ya Saudi Arabia yenye chimbuko la wavaa kobazi alafu unakuta mvaa kobazi wa Yombo Vituka au Bonyokwa anashangilia Iran kuwapiga makombora wavaa kobazi wenzake. Marekani yeye anakuletea vita mlango kwako either utake au usitake...
  8. I

    Tetesi: Aziz Ki Ngoma ngumu kwa waarabu, atajwa kurejea Yanga

    Aziz K Atajwa Kurejea Yanga Baada ya Haya Kutokea Kwa Waarabu. Makala hii inachambua hali ya wachezaji wa Yanga SC wanapojaribu kutafuta mafanikio katika ligi za Kiarabu, kwa kuangazia mfano wa kiungo mshambuliaji Stephen Aziz Ki. Hoja kuu ni kwamba changamoto wanazokutana nazo mara nyingi...
  9. ELI COHEN

    Hadi leo mtu mweusi bado anakamatwa na kuuzwa, utumwa dhidi ya mtu mweusi ni kama jadi kwa baadhi ya waarabu, miaka 1400 ya kutuuza haikutosha.

    Familia za wazamiaji wengi kutoka west africa walibaki na maswali kuhusu ukimya mkali wa ndugu zao walio waaga kwenda kutafuta maisha ughaibuni kwa kupitia njia za north africa. Miaka ilipita na ukimya mkali, wanafamilia walidhani wamefariki au pengine kukamatwa na makosa mbali mbali...
  10. Yoda

    Kuna mashiko wanawake wa kiislamu Waafrica kuvaa hijabu, niqab au burqa kama stara?

    Amrisho la dini la wanawake wote duniani kuvaa hijabu, niqab au burqa kwa minajili ya stara lina walakini mkubwa sana kwa sababu halizingatii muktadha wa maumbile na tamaduni za jamii tofauti za binadamu. Kwa Waafrika weusi kiasilia wanawake wengi wana miili mikubwa sana(mawowo) na wanaume...
  11. M

    Hivi hawa Waarabu wanaochinja chinja makondoo daily..wana agenda gani nyuma ya pazia?

    Kila siku najiuliza nini hawa warabu wanachokitafuta maana kila siku waonikuchinja makondoo mimbuzi, wana agenda gani, maana sahivi kinamama huwakosi kwenye haya machinjo unakuta kuanzia asbh mpaka jioni wanasubiria kwafoleni kupata nyama za warabu.
  12. Dogoli kinyamkela

    Waarabu waliwapeleka wapi mababu zetu, mbona leo hatuwaoni uarabuni kama ilivyo Marekani na Ulaya

    Hili ni swali zito la kihistoria, na ni sawa kabisa kuliuliza au kulifikiria mwenyewe. ⚠️Katika uchambuzi wangu wa Leo Hakuna ubaguzi Wala hakuna chuki Bali ni kujifunza ukweli. ⚠️Nitachambua kwa uwazi, bila kuficha wala kuchochea chuki yoyote ili unielewe vizuri,fahamu Kuwa Kuna vitu viwili...
  13. ELI COHEN

    Nina uhakika 90% ya wanaJF humu hawajui kuwa 90% ya utumwa duniani ulifanywa na waarabu lakini 80% hawajui kuwa 80%+ ya utumwa uliwezeshwa na machifu

    Lakini jibu la maswali haya yote tumefundishwa ni mzungu. Ukatili wa biashara ya watumwa ya Waarabu ulijumuisha ukatili wa kulazimishwa kuvuka jangwa na bahari, unayanyasaji wa kingono kwa wanawake na wanaume, kuwahasi watumwa wa kiume ili watumikie kama matowashi. Biashara hii, ambayo ilidumu...
  14. ELI COHEN

    Mnasemaga tunashobokea wazungu ila ndio wa kwanza kuwapokea katika tabu, jana mmejionea kiasi tu ya mambo waarabu/barberic wanayoweza kuwafanyia

    Maduka ya wa senegali yaliyopo mjini yamevamiwa na kuharibiwa na mashabiki wa morocco Mashabiki weusi waliokuwamo katika kundi la wamoroco wamezongwa na kusemewa maneno ya kibaguzi. Wanaijeria baada ya kuwashinda walgeria, mashabiki wa algeria walianza kuwaambia kuwa watawahasi na kuchukua...
  15. Chizi Maarifa

    Gamond awachana Waarabu bila Kuuma uma maneno

  16. R

    Waarabu wana asili ya ukatili, unyama na ubwana

    Huyu ni descendant wa waarabu. Gene ya ukatili ipo, imejishihirisha sasa.. kilichofabnyika 29 ni version ya ukatili wa utumwa walivyokuwa wanawafunga minyororo shingoni, leo kwa vile kuna risasi katumia risasi Nyerere alikosea kujifungamanisha na makatili!
  17. Yoda

    Utani wa Waarabu wa kuweka watu roho juu.

  18. ELI COHEN

    Ukitaka kuwachanganya watu weusi na waarabu, unganisha kitu chochote na Mungu uone, direction yote inabadilika.

    Wenzenu wanaikimbizia mars, Nyie bado mnakanyagana kisa mafuta. Wenzenu wanabunu security system za kujilinda na kujihami, Nyie bado mnakatana vichwa kwa jina la mungu. Wenzenu wanajaribu ku-share intelligence na aliens kurahisisha maisha, Nyie bado mnalalimikia ugumu wa maisha ni kutokana na...
  19. Mjanja M1

    Waarabu wa Chakechake wameshaanza kutuma meseji za Ki-Polisi kwa wananchi

    Inaonekana waarabu wa Zenji wameshapewa mamlaka ya kutuma meseji kwa niaba ya Jeshi la polisi. Sharia ndio nini?
  20. F

    Kwanini watu wengi hasa wa Visiwani wanathamini sana Uarabu? Samia alishasema waliambiwa na polisi "Nyie waarabu mna shida sana" Mbona wabantu wenzetu

    Niliona documentary ya watu wa Madagascar wanajipa rangi nyeupe usoni na mikononi, kwenye narration yake anayesimulia makala hayo, aliweka wazi kabisa siyo kwamba ni "Assimilation" Assimilado kwa kifaransa lakini ni obsession ya watu wa huko kuonekana ni weupe. Nilishangaa kidogo, nimeishi na...
Back
Top Bottom