waandishi

  1. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari Afrika Waanza Kozi ya 63 Cairo Kudumisha Ushirikiano wa Kimedia

    Shughuli za Kozi ya 63 ya Ufundishaji ya Umoja wa Waandishi wa Habari wa Afrika iliyopewa jina la "Mahfouz El-Ansary" zimezinduliwa rasmi leo asubuhi mjini Cairo kwa ushirikiano wa Baraza Kuu la Udhibiti wa Vyombo vya Habari na Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri, Kozi hiyo inashirikisha waandishi...
  2. JamiiForums Tanzania Waandishi wengi wa Habari wa Tanzania Hamna maana yoyote ile. Waoga

    Hamna maana yoyote ile. Nyie waandishi wa habari, hivi kwa nini habari za yule shehe Mwaipopo hamjazikomalia? Sijaona popote pale mkiwabana kwa maswali magumu wale wote ambao wanahusika na usalama nchini. Watu wanafunguliwa kesi feki za ugaidi halafu yupo mtu ambaye anajulikana wazi kabisa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania JAB yawataka waandishi wa habari kulinda imani ya umma

    Na Mwandishi Wetu. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewataka Waandishi wa Habari wa Crown Media kulinda imani ya umma kwa kuzingatia weledi, maadili, uadilifu na uwajibikaji katika utekelezaji wa majukumu yao. Wito huo umetolewa wakati wa mafunzo ya siku mbili yaliyotolewa na...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MCK Yataka Hatua Baada ya Waandishi 18 Kushambuliwa kwa Siku 60

    Baraza la Vyombo vya Habari Kenya (MCK) limetaka hatua za haraka kuchukuliwa dhidi ya watu wanaoshambulia na kutishia waandishi wa habari nchini. MCK imesema jumla ya waandishi 18 na madereva wawili kutoka vyombo mbalimbali vya habari wameshambuliwa na kujeruhiwa katika kipindi cha miezi miwili...
  5. JamiiForums Tanzania The class is big but English is the problem. Kocha wa Yanga amewachana live waandishi wetu, wana maswali lakini hawamuulizi.

    Kiingereza ni lugha yetu rasmi ya Taifa, kwanini waandishi mnashindwa kuitumia kwenye kazi zenu? Tanzania hatuhitaji mkalimani wa kiingereza kwakuwa English inafundishwa kuanzia chekechea, shule za msingi, sekondari hadi vyuoni, kwanini hamjui kuiongea? Wewe mwandishi wa habari bila shaka...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waandishi wa habari:-

    Ndugu zangu waandishi wa habari naomba niwashauri pindi mnapowahoji watu hawa muwe mmejiandaa kisaikolojia. 1)Chid Benz 2)T.I.D 3)Mangungu Msije sema hamkuambiwa. Nawasilisha.
  7. JamiiForums Tanzania Je kuna waandishi au vyombo vya habari vimelipwa kuichafua ARUSHA kabla ya AFCON??

    Rejea aina ya habari kutoka kwa waandishi feki wa mitandaoni kila wanapotoa taarifa kuhusu mkoa wa Arusha huongelea mauaji tu husikii habari za matukio mazuri yanayotokea huko ambayo ni mengi kuliko haya yanayopewa kipaumbele na yenye kuumiza saikolojia ya binadamu. Wizara ya Habari ,TCRA na...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 KATAVI: Kiongozi wa CHAUMA avaa nguo za CHADEMA na kuanza kumshambulia Heche mbele ya waandishi wa habari

    Huyu ni kiongozi wa CHAUMA kavaa nguo za Chadema na kujifanya yeye ni Katibu wa Bavicha Mkoa wa Katavi, kaitisha press na kuanza kuishambulia Chadema na Makamu Mkiti John Heche. Nafikiri wanasheria wa Chadema waanze kuwachukulia hatua za kisheria watu kama hawa wanaojipachika vyeo bandia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ai ina mapungufu na haiwezi kuchukua nafasi ya kila mtaalamu, lakini tayari imeanza kuwakosesha pesa Graphic designers, waandishi, programmers. n.k

    Hapo zamani msani akimaliz kurekod wimbo na akahitaji kava au akiwa na show akahitaji poster, jambo la kwanza lilikuwa kumpigia Graphics Designer. Kaz hizi zilikuwa zinawapa hata 20k hadi 50k. Watu wenye picha zilizofifia waliwatafuta graphics designers kuongeza ubora, waliohitaji picha zao...
  10. JamiiForums Tanzania Kocha Julio awatukana waandishi wa Crown Fm kipindi kikiwa live asubuhi hii

    Baada ya Kocha Jamhuri Kihwelo Julio kufutwa kazi jana na klabu yake ya Mashujaa Fc leo Crown Fm wakaamua kumpigia simu. Juma Ayo akapiga simu, akakutana na matusi live bila chenga. Julio akawaambia nyie Crown Fm nawachukia sana maana hapo kuna waandishi was*nge sana, Ikabidi Crown Fm wa-...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo na waandishi wa habari

    Nafikiri nafaa kuuliza swali labda mimi ndiyo sielewi, neno mazungumzo na waandishi wa habari ambalo watu wangu maarufu hapa tanzania wanalitumia kujibu hoja, kutoa malalamiko juu ya swala flani, nini maana yake? 1. Nikuwa mtu anaita tu watu halafu anazungumza anachojisikia mbele ya vyombo vyao...
  12. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wanaongea na waandishi wa habari

    https://www.youtube.com/live/B0XpN97VAG4
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Tayari tulikuwa na taarifa mpango wa viongozi kulipwa kuzungumza na waandishi wa habari kuichafua chama

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 10, 2026 wakati akiwasilisha maadhimio ya Kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Katibu Mkuu wa Chama, John Mnyika, ametoa ufafanuzi kuhusiana na baadhi ya viongozi wa chama hicho ikiwemo katibu wa CHADEMA Mkoa Morogoro kusimamishwa kazi...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanatoa tamko mbele ya Waandishi wa Habari, leo Julai 10, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=m-kVFwmIRKE "Ile ile kauli ya Rais ambaye sisi hatutambui uchaguzi wake ya kusema kwamba wanaharakati wanafanya ugaidi. Ni kauli hatari sana ikiachwa ilivyo na watetezi wa haki kote nchini. Na mimi nasema haya kwa sababu kutokana na taarifa za maandamano ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Martin Masese: Waandishi wa habari wanajua umuhimu wa Siasa ila wamechagua kuwasaliti wananchi

    Kizazi cha Waandishi wa Habari Takamwili Kuna tofauti kati ya mtu asiyejua (mjinga) na mtu anayechagua kutokujua kwa manufaa yake binafsi (mnafiki). Huu ni ugonjwa wa njaa ya njaa ya akili na tumbo (tumbo-centric journalism). Waandishi hawa sio kwamba hawajui umuhimu wa siasa; wanajua kuwa bei...
  16. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Waandishi wa habari kama kuna kasoro andikeni Serikali itafanyia kazi

    Akijibu maswali ya waandishi wa habari mbali mambo mengine bwana Msigwa aliwaambia waandishi hao kuwa kama kuna kasoro waandike na serikali itafanyia kazi. Mojawapo ya kasoro kubwa ambayo ipo na vyombo vya habari vya Tanzania haviandiki, havisemei au hata kufanya uchunguzi (documentary) ni...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Gari lililokuwa limebeba Waandishi wa Habari lapata ajali

    Gari la Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga limepata ajali eneo la Usanda wilaya ya Shinyanga barabara ya Tabora - Shinyanga, wakati likikwepa gari aina ya Toyota Harrier na kuingia kwenye mtaro. Taarifa za awali zinaeleza kuwa watu watano wamejeruhiwa katika ajali hiyo akiwemo Mwandishi wa...
  18. JamiiForums Tanzania PEMBA: Waandishi wa Habari watakiwa kukaa karibu na Watafiti ili waibue matatizo ya Jamii

    Wandishi wa Habari wametakiwa kuzitumia Tafiti wakati wanapoandika habari zao, ili kuibua changamoto zinazoikabili jamii na kupatikana kwa ufumbuzi wa jambo husika. Ushauri huo umetolewa na commissiona wa ufuatiliaji na tathmini kutoka Tume ya Mipango Zanzibar zuhura Mohd Abdallah kwa niaba...
  19. JamiiForums Tanzania Ndugu Mayalla analalamika sana. Kwamba waandishi wa habari wamekuwa waoga ana hoja ya msingi na hafai kuwa MwanaCCM basi tu

    Nimeona huko mitandaoni analalamika sana. Waandishi wamekuwa maripota tu. Wamekuwa waoga hawako critical. Wanajipendekeza na wamekuwa machawa. Pascal Mayalla ana hoja ya msingi. Yeye ni shujaa na huwa anahoji very critically
  20. JamiiForums Tanzania Maisha ya Sasa, Pesa Ndio Kila Kitu!, Hakuna cha Bure!, Je Umefika Wakati Habari Zilipiwe?Bila Pesa Hakuna Habari!. Media Zilipwe, Waandishi Tulipwe?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu, katika gazeti la Mwananchi la leo, nikizungumzia maisha ya kisasa, na mambo ya kisasa, pesa ndio kila kitu!, siku hizi hakuna cha bure!, kwanini mpaka leo habari ni bure?!, je umefika wakati habari nazo zilipiwe?, bila pesa hakuna habari!, media zilipwe, waandishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…