waandishi wa habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Prof. Kabudi anazindua Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Machi 3, 2025

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imeanzishwa kwa mujibu wa Kifungu cha 12 cha Sheria ya Huduma za Habari Sura ya 229, ikiwa na jukumu kuu la kutoa ithibati kwa waandishi wa habari hapa nchini. Bodi hii ni chombo muhimu katika kusimamia viwango vya taaluma ya Uandishi wa Habari...
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari za michezo hawaipendi Simba

    Zama zile wakati Yanga wanaishia kwenye hatua ya makundi mashindano ya CAF, waandishi wa habari za michezo Tanzania waliipachika Yanga jina la "wa kimataifa". Leo Simba imeingia robo fainali nne za mashindano ya CAF na kusababisha Tanzania kuongezewa timu mbili kwenye mashindano ya CAF, huoni...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi kuzindua bodi ya ithibati ya waandishi wa habari machi 3

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Palamagamba Kabudi, Wiki ijayo anatarajiwa kuzindua Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB). Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Gerson Msigwa imeeleza kuwa uzinduzi huo...
  4. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Baada ya bomu la vijana wasiyo na ajira naona mgomo mwingine kutoka kwa kundi la vijana lililorudishwa nyumbani kutoka JKT

    Baada ya malalamiko ya waalimu wasio na ajira kuishinikiza serikali kutatua changamoto zao sasa inaonekana kuna kundi jingine la vijana wasio na ajira linaibuka. Ukiachana na hayo makundi mawili kuna hili kundi la vijana kutoka JKT wanarudishwa makwao for fun na wanapewa wengine nafasi kwa...
  5. milele amina

    JamiiForums Tanzania Tukio la kusikitisha lilitokea Mbeya ambapo muaandishi wa habari wa kujitegemea alifariki papo hapo

    Jana, Februari 25, 2025, tukio la kusikitisha lilitokea wilayani Mbeya ambapo waandishi wa habari wa kujitegemea walifariki papo hapo baada ya gari la serikali walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na basi la Kampuni ya CRN. Tukio hili limeibua maswali mengi kuhusu usalama wa waandishi...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema watangaza kufanya tukio kubwa Tarehe 27 Februari, 2025 ikiwemo kuzindua kampeni ya kidigitiali

    https://www.youtube.com/watch?v=wOKzLLdnpDQ Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Godbless Lema ametangaza ujio wa uzinduzi wa kampeni ya kidigitali ya Chama hicho utakaofanyika February 27,2025. Akiongea Jijini Dar es salaam leo February 25,2025, Lema amesema “Tarehe 27 tuna tukio muhimu Chama...
  7. danhoport

    JamiiForums Tanzania Kwanini marefa hawahojiwi na waandishi wa habari baada ya mechi kuisha?

    Huwa naonaga baadhi ya wachezaji na makocha wakihojiwa na waandishi baada ya mechi kumalizika ila sijawahi kuona marefa wakihojiwa, ni kwanini?.....
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kumwuliza maswali Mkurugenzi wa Mipango ya Miundombinu; Aibu waandishi wa habari kugeuka Wabunge

    Leo nimeona kioja baada ya Mkurugenzi wa Mipango ya miundombinu kuulizwa maswali na waandishi wa habari Dodoma kuhusu ujenzi wa miundo mbinu ya barabara. Hii ni kutokana na ufinyu wa uelewa wa waandishi wetu wa habari. Waandishi wa habari walitakiwa kuuliza maswali ya kisera yanayogusa nchi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Msigwa amesema Tanzania inaongoza Afrika katika kuzalisha umeme

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zimeifanya Tanzania kuwa kinara barani Afrika katika uzalishaji na usambazaji wa umeme. Akizungumza na wanahabari katika Mradi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua kuwa Waandishi wa Habari wa Al Jazeera wana lengo la kuichafua Israel sikiliza hii interview

    Ni interview aliyofanyiwa Douglas Murray na Mwandishi wa Habari wa Al Jazeera
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Mkutano wa Tundu Lissu na waandishi wa habari februari 12, 2025 umehairishwa

  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la polisi kuzuia waandishi wahabari na wanasiasa kuzungumza ni ukiukwaji wa uhuru wa vyombo vya habari, kujielezea na demokrasia

    Kitendo cha Jeshi la Polisi kuzuia waandishi wa habari kutozungumza na wanasiasa huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, vyombo vya habari na ni uvunjifu wa demokrasia na sio maelekezo ya katiba ya nchi ni uhalifu wa kutumia silaha. Waziri wa Ulinzi na kamanda mkuu wa jeshi la polisi...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Msigwa aagiza nyaraka muhimu za uanzishwaji wa bodi ya ithibati ya Waandishi wa Habari zikamilishwe haraka

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa, akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari Wakili Patrick Kipangula, alipozitembelea ofisi za Bodi hiyo leo tarehe 23 Januari, 2025, Mtaa wa Jamhuri...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ataongea na waandishi wa habari muda wowote kuanzia sasa

    Wakuu, Godbless Lema ametangaza kufanya Press Conference muda wowote kuanzia sasa ikiwa ni saa chache mpaka CHADEMA ifanye Uchaguzi kwenye ngazi ya Uenyekiti Kupitia mtandao wa X wengi wamedokeza kuwa huenda Lema anaenda kuzungumzia kuhusu machakato wa Uchaguzi unaoendelea ndani ya CHADEMA kwa...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ni Mkutano kisiasa wa CCM , ila Waandishi wa habari wanamuhoji WEMA SEPETU masuala ya yeye Kutokuzaa, na masuala ya Mbwa wake "Manunu"

    Wakuu hivi hii Generation ya Waandishi wa habari imetokea wapi 🤣🤣 https://youtu.be/aS5a0j4pvTk?si=S4cjS7qxzOIZSn8N
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari waondolewa katika ukumbi wa Uchaguzi wa Baraza la Vijana CHADEMA

    Katika hali isiyotarajiwa waandishi wa habari na wadau wengine wanaotajwa kutohusika moja kwa moja na uchaguzi, wameondoshwa kwenye ukumbi wa uchaguzi wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Taifa kutokana na kile kilichoelezwa kuwa kwa sasa wanaostahili kubali ni...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kikundi cha rsf kuongea na waandishi wa habari jijini Nairobi- kenya ikiwa ni baada ya kupoteza udhibiti wa mji wa wad madani

    Kulingana na The Eastleigh Voice, kikundi cha RSF cha nchini Sudan kitaongea na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya mnamo Jumatatu ya tarehe 13 Januari 2025. Hii inakuja ikiwa ni siku moja tangu RSF wapoteze udhibiti wa mji muhimu wa Wad Madani. Kuipoteza Wad Madani ni pigo kubwa...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema kufanya mkutano na Waandishi wa Habari Januari 14, 2025. Je, atamuunga mkono Tundu Lissu?

    Godbless Lema amepanga kuzungumza na Waandishi wa Habari Januari 14, 2025 ifikapo saa 5:00 Asubuhi Seashells Millennium Hotel. Je, atamuunga mkono Tundu Lissu?
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanza: John Heche kuzungumza na Waandishi wa Habari Januari 5, 2025

    Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema, iliyosambazwa kote Duniani. Na kwamba Mkutano huo utafanyika huko Mwanza Nchini Tanzania Haijajulikana sababu ya Mkutano huo wala ambacho kitazungumzwa. Zaidi angalia hapa
  20. R

    JamiiForums Tanzania Tuliokuwepo tujikumbushe: Mkutano wa Rais Julius Nyere na waandishi wa habari

    Nyerere Julius hakupenda kilichokuwa kinaendelea Ikulu wakati wa Mwinyi. Akasema ni mahali patakatifu. Kulikuwa na minongono mtaani, redio mbao for that matter kuwa anataka "kumpindua" Mwinyi. Sasa akafanya mkutano na waandishi wa habari kusisitiza kuwa Ikulu ni mahali patakatifu. Sasa...
Back
Top Bottom