Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Tido Mhando, ameongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, akitangaza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa kidigitali wa kupata Ithibati na Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card).
Kupitia mfumo wa TAl-Habari, waandishi...
Wakuu,
Hiki kipeperushi ndio kimeanza kusambaa, yaani jamaa akaona katika siku zoteeeee leo ndio aje kufanya press, kwenye kesi ya Lissu?
Kama ni kweli jamaa atakuwa na chuki iliyotukuka (kwa sauti ya GENTAMYCINE) na ameamua kweli kukibomoa chama.... ila ni kama vile vijana wa mama wapo kazini...
https://www.youtube.com/watch?v=wGZzLWb4Xeo
Mkutano wa Waziri wa Mifugo na Uvuvi na Waandishi wa Habari wa Jijini Dodoma kueleza mafanikio ya Miaka Minne ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania MheshimiwaDkt Samia Suluhu Hassan.
Papa Leo wa XIV ametoa wito wa kuachiliwa kwa waandishi wa habari walioko gerezani katika hotuba yake ya kwanza kwa wanahabari huko Vatican.
Ameeleza mshikamano wake na waandishi waliotupwa jela “kwa kutafuta na kuripoti ukweli” na kusema kwamba mateso yao “yanaitikisa dhamira ya mataifa na...
Yaani Mtu ana Elimu duni na alisomea Kozi dhaifu na kuwa Stenographer leo hii anadiriki Kuwafunda Waandishi wa Habari duniani (hasa Afrika) hivi hii ni Akili au Matope?
Na kwanini hao hao Waandishi wa Habari duniani (hasa Afrika) wanakubali kabisa Kufundwa na Mtu ambaye ni Mdhaifu mno Kielimu...
Uchawa umeharibu professional za watu miaka ya nyuma enzi za mwinyi wizara yaambo ya ndani kupitia jeshi la magereza waliwahi kuzinguana na WAANDISHI WA HABARI.
Walichokifanya WAANDISHI wale wakasusia kuandika kabisa jambo lolote linalohusiana na magereza au wizara ya MAMBO YA NDANI mbona...
Salaam,
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dsm Muliro J. Muliro Leo tarehe 05 May 2025, ataongea na waandishi wa habari.
Kama hatongelea utekaji nashauri akae kimya tu.
Ndugu zetu wanapotea. Polisi wamevunja Miguu wananchi wa Tanzania.
Je, Utawala wa Sheria Tanzania umeishia wapi...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Bodi ya Ithibati ya Wanahabari haitasita kuwafutia usajili waandishi wa habari watakaokwenda kinyume cha kanuni na maadili ya kazi zao.
Msigwa ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari, ambapo ametangaza ujio wa vitambulisho vipya...
TEF yaonya waandishi wa habari kesi ya Lissu
02 May 2025
Picha: Mpigapicha Wetu
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akizungumza na waandishi wa habari.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amewaasa waandishi wa habari kuwa makini...
Kiukweli sijajua kama tatizo ni mfumo ama watendaji wa serikali au ni kitu gani lkn itoshe kusema hali katika ofisi za nida hapa ukonga Mombasa ni ya kuchosha, kufedhehesha na ya kukatisha tamaa.
Kama hatutapaza sauti tutaendelea na huu utaratibu ambao sielewi kama kweli kama nchi tumeshindwa...
Waandishi wa Habari ni watu muhimu ambao jamii iaweza kuwafananisha na kiungo kinachowezesha wao kupata au kupitisha taarifa za masuala mbalimbali yanayowahusu, kiungo hicho kimekuwa kikitekeleza majukumu ya kujuza umma taarifa lukuki kwenye masuala ambayo yamekuwa yakitokea kwenye jamii zao...
"Nawaonea wivu kwasababu sisi tulikuwa tunatuma habari kwa simu. Baadaye zikaja teknolojia nyingine. Ninyi mmepiga hatua lakini hata nyie msilemazwe na kufubaa na teknolojia, hata hii akili mnemba imeundwa na binadamu na inachukua maudhui kutoka kwa watu.
Nawashukuru wadau wote na mliotoka nje...
Wakati wa Sala katika maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani, Sheikh alieleza kuwa licha ya kuwa ulimi si mfupa lakini unavunja mifupa, na pia ulimi siyo upanga lakini unamwaga damu.
Hivyo amewataka waandishi wa habari kuwa makini katika habari zao kwani wao wamemebeba...
KAMATAKAMATA NA MATUMIZI YA NGUVU YANAYOENDELEA DHIDI YA VIONGOZI WA KISIASA, WAANDISHI WA HABARI NA WANANCHI
Dar es Salaam, 24, Aprili 2025
Leo tarehe 24 Aprili 2025 ni siku iliyopangwa kwa ajili ya usikilizwaji wa kesi ya inayomkabili mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
Baadhi ya waandishi wa habari wamedai kuzuiliwa kuingia eneo la Mahakama ya Kisutu kusikiliza kesi zinazomkabiki Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, leo AprilI 23, 2025.
Chanzo cha kuaminika kutoka eneo hilo kimeeleza kuwa wamezuiliwa kuingia Mahakamani na Askari ambao wanazunguka eneo la...
Hili kundi la G55 likiongozwa na John Mrema wanakwepakwepa kujibu maswali ya waandishi hawayajibu kama walivyouliza, kituko zaidi kilichodhihirisha kuwa wanaogopa maswali magumu :AAAA: :AAAA: wamemzuia kwa nguvu zote Chief Odemba kuuliza swali ambalo lazima wamejua ni jiwe lingewapiga utosini...
Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika,Tawi la Tanzania (MISA TAN), imewataka waandishi wa habari kuweka wazi uamuzi wa kugombea kwenye udiwani na ubunge ili kuepusha mgongano kimaslahi.
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa Aprili 14,2025 na Mwenyekiti wa MISA TANZANIA,Edwin Soko...
https://www.youtube.com/live/H2WF6FYA97Q
GOLUGWA: HATUJAWAHI KUSEMA TUNATAKA KUPINDUA SERIKALI
Naibu Katibu Mkuu Bara – CHADEMA), Amani Golugwa akizungumza na Wanahabari leo, Aprili 11, 2025 katika Makao Makuu ya Chama Mikocheni, amesema Chama chake hakijawahi kutoa tishio la kutaka...
Waandishi wa habari wameendelea kulengwa na kupoteza maisha katika mashambulizi ya mara kwa mara yanayofanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza, hali inayozidi kuzua hofu na maswali kuhusu usalama wa vyombo vya habari kwenye maeneo ya vita.
Katika tukio la hivi karibuni mwandishi wa habari Ahmed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.