waandishi wa habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kufanya mkutano na waandishi wa habari 12 Desemba 2024

    Kesho tukijaliwa Tundu Lissu atafanya mkutano na waandishi wa habari. Ukumbi wa mkutano utatangazwa baadae. Ajenda kuu ya kikao chake ataisema kwenye kikao. Update Ukumbi ni Mlimani City Muda ni saa 5 asubuhi Gharama za event zimetokana michango ya diaspora, sauti ya watanzania group na...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Video: Lissu na Mbowe mambo shwari, tazama wakiingia pamoja kuzungumza kuhusu tathimini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Freeman Mbowe akiongozana na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho upande wa Bara Tundu Lissu kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari.
  3. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded UTPC katika mvutano mkali na waandishi wa habari K'njaro

    Muungano wa vilabu vya waandishi wa Habari nchini(UTPC),wameingia kwenye mvutano mkali la waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro baada ya kuzuia mkutano wao usifanyike. Mkutano huo uliokuwa umepangwa kufanyika kesho ,umepigwa pini na UTPC kwa madai ya kuwepo kwa hisia Kali kutoka kwa waandishi...
  4. L

    JamiiForums Tanzania CPA Amos Makala azungumza na Waandishi wa Habari leo asubuhi saa nne

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu wa Itikadi ,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Gabriel Makalla anatarajia kuzungumza masuala mazito na waandishi wa habari wa ndani na nje ya Nchi muda wa saa nne Asubuhi ya Leo Ijumaa ya tarehe 29. Ambapo msemaji huyo wa CCM chama kiongozi Barani...
  5. christopher mlewa

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari Tanzania hawana maudhui kabisa! Siku hizi wasomaji wanawaelimisha waandishi

    Poleni kwa majukumu. Ndugu zangu hapa katikati kuanzia miaka ya 2010 limeibuka wimbi la waandishi wa habari pamoja na vyombo vyao vya habari ambavyo vimekua ni zaidi ya janga kabisa. Kwanza kabisa waandishi hawa ni weupe kichwani kiasi kwamba hadi wanatia aibu, mfano kuna radio na waandishi...
  6. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Jeshi la Polisi Mbeya latoa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 nchini, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendesha mafunzo ya siku moja ya kuwajengea uwezo Waandishi wa Habari mkoani humo kuhusu masuala ya uchaguzi. Akizungumza wakati wa kufungua mafunzo hayo Novemba 23, 2024...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Aliyeiba Simu mbili za Aziz K jana kwa Mkapa alipokuwa Akihojiwa na Waandishi wa Habari baada ya Ndiki Kumalizika ameshazirudisha au?

    Ila Wabongo balaa dadeki zenu yaani hamna hata cha huyu ni Mgeni au Mwenyeji akijichanganya tu mnamuumiza.
  8. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa aweka bayana mkakati ya kuwezesha Idara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia kupitia ushirikiano na Wanahabari

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, ameweka wazi mikakati yake ya kuboresha sekta ya habari kupitia ushirikiano wa karibu na wanahabari. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam katika mkutano wa wadau wa sekta ya habari kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na...
  9. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayala: Waandishi wa habari walipwe posho kama Wabunge

    Mwandishi wa habari kutoka PPR Media, Pascal Mayalla ameiomba Serikali kuwapa posho waandishi wa habari pale wanapotekeleza majukumu yao kama ambavyo wabunge hulipwa posho kila wanapohudhuria vikao wakati wakitekeleza majukumu yao. Aidha, Mayalla amesema baadhi ya posho wanazopewa waandishi wa...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari wa Dar wanavyoitwa kwenye press mkoani nani huwa analipia gharama zao?

    Hawa waandishi wa habari wanaosafiri kutoka Dar kwenda mikoani kama huko Arusha kwenye press conference huwa wanalipiwa na vyombo vyao vya habari au na yule aliyewaita kwenye hiyo press conference yake?
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Zembwela amewezaje kuwa Mwenyekiti wa waandishi wa habari katika Kikao cha Makonda Arusha badala ya Kikeke na Ivona Kamuntu?

    Nadhani kuna shida mahali kwenye tasnia hii. Zembwela ni wale comedian katika habari. Ivona Kamuntu na Salim Kikeke ni magwiji katika tasnia. Ikawaje Zembwela ambaye elimu yake katika habari haijulikani, akawa Mwenyekiti wao? Hii tasnia haina seniority? Maswali yaliyokuwa yanaulizwa pia...
  12. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mkuu Wa Polisi Singida: Waandishi tumieni kalamu zenu vizuri katika kipindi hiki cha Uchaguzi

    Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, ACP Amon Kakwale, amewataka waandishi wa habari kutumia kalamu zao kama nyenzo ya kuimarisha mshikamano wa Watanzania badala ya kuleta mgawanyiko. Akizungumza katika mkutano mkuu wa mwaka wa waandishi wa habari mkoani Singida, Kamanda Kakwale alisisitiza...
  13. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Mtandano wa vikundi vya wakulima na Wafugaji Mkoa wa Arusha, Waandaa tuzo za waandishi wa habari kwenye mfumo endelevu wa chakula na kilimo ikolojia

    Mtandano wa vikundi vya wakulima na Wafugaji Mkoa wa Arusha (MVIWAARUSHA), Waandaa tuzo za waandishi wa habari kwenye mfumo endelevu wa chakula na kilimo ikolojia, zenye lengo la kutambua na kusherehekea uandishi wa habari uliotukuka kwenye masuala muhimu yanayohusiana na kilimo endelevu...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mkurugenzi wa TAMISEMI: Waandishi wa habari msitumie neno "Kukatwa Wagombea", ni kinyume na kanuni za Uchaguzi

    Wakuu, Mnaweza kuta CCM ni chaneli ya vituko na vichekesho huko duniani. Kwani Vimbwanga vinaendelea katika kipindi hiki ambacho taifa linaelekea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Hivi karibuni Stephen Motambi ambaye ni Mkurugenzi Msaidizi wa Serikali za Mitaa kutoka Ofisi ya Rais Tawala...
  15. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA wanazungumza na Waandishi wa Habari kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    13 November 2024 Arusha, Tanzania CHADEMA WANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MUDA HUU, tathimini kuelekea uchaguzi 2024 https://m.youtube.com/watch?v=GStMiPMklKs Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Mhe. Amani Golugwa Leo tarehe 13 November 2024, akiwa na Godbless Lema ambaye ni mwenyekiti...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 TAMISEMI yawanoa Waandishi wa Habari Mtandaoni (Online TV) kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuhakikisha hawatoi taarifa kwa upendeleo

    Wakuu, Inashangaza pale unakuta kichwa cha habari kutoka online TV kinakuwa kama kaandika Lucas Mwashambwa, nilikutana nayo juzi wakati nataka nichukue risiti wakawa wamefuta bana. Kwa jinsi ilivyoweka wallah ule mwandiko ulikuwa wa Lucas Mwashambwa. ====== Wizara ya Ofisi ya Rais, Tawala...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Deogratius Nsokolo ajiuzulu nafasi ya Urais wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC)

    YAH: KUJIUZULU RASMI KWA RAIS WA UTPC Husika na kichwa cha habari hapo juu 12 Novemba 2024 Napenda kuwafahamisha kuwa tumepokea rasmi barua ya kujiuzulu kwa Rais wa UTPC Bw. Deogratius Nsokolo tarehe 10 Novemba, 2024. Baada ya kupata uteuzi na kupata wadhifa ambao kuendelea na kazi yake ya urais...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Mkutano wa Tundu Lissu na Waandishi wa Habari Singida Novemba 12, 2024

    https://www.youtube.com/live/2CiAzcAM92M?si=ipoSlBpKzwhZhvkQ Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anatarajiwa kuongea na waandishi wa habari muda wote kuanzia sasa. Fuatilia updates kadiri zitakavyojitokeza. Wakati anazungumza na waandishi wa habari Tundu Lissu amedokeza kuwa kutokana na...
  19. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF): Waziri Silaa ameshindwa kuwa karibu na Waandishi wa Habari

    Jerry Silaa, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeeleza kutoridhishwa na kitendo cha Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, kukosa kuhudhuria mikutano muhimu ya wadau wa habari. Mwenyekiti wa TEF, Deodatus...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa, Waandishi wa habari wekeni pembeni mapenzi yenu kwa vyama vya siasa

    Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini, unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, waandishi wa habari nchini wametakiwa kujiweka mbali na mapenzi ya chama chochote cha siasa ili waweze kufanya kazi bila kukutana na changamoto. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF)...
Back
Top Bottom