waandishi wa habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Majaliwa: Ni Wajibu wa Wahandisi kuisaidia Serikali kuokoa fedha kwa kukadiria fedha inayohitajika

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wahandisi wazawa kuhakikisha miradi wanayoisimamia inakidhi viwango vya kitaifa na kimataifa na iendane na thamani ya fedha inayotumika. Amesema ni wajibu wa Wahandisi kuisaidia Serikali kuokoa fedha kwa kukadiria fedha inayohitajika kulingana na...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Uandishi wa kweli wa Habari umekufa Tanzania (True Journalism has died in Tanzania)

    Siku za karibuni tunazidi kuona upotovu wa ukweli kwenye Vyombo vya Habari unaozidi kukithiri nchini. Hii inatokana na Waandishi wa Habari za kiupelelezi kuangalia maslahi yao binafsi kwa kupokea hongo, na kuishia kuminya ukweli wa habari zinazotakiwa kutolewa. Sijui niseme Waandishi wa Habari...
  3. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Viongozi wa CHADEMA na Watanzania wasio na Vyama wanaoendelea kutekwa na Vyombo vya Usalama vya Nchi yetu

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe. Leo nitazungumza mambo mawili mahususi ambayo sisi kama Chama tunaamini yanagusa Watanzania na yanazua taharuki na hofu, nitazungumza kuhusu sakata la wimbi kubwa la Viongozi wa CHADEMA, Watanzania wengine wasio na Vyama wanaoendelea kutekwa na Vyombo vya...
  4. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri kesi ya "Binti wa Yombo": Daktari aliyempima Binti aliyebakwa na Maafisa wa Jeshi atoa ushahidi Mahakamani

    Update (Agosti 21, 2024) Mtaalamu wa Mawasiliano, Daktari Watoa Ushahidi Kesi ya Ubakaji wa Binti wa Yombo Kesi inayowakabili watuhumiwa wanne wanaotuhumiwa kwa makosa ya ulawiti na ubakaji kwa binti ambaye ni mkazi wa Yombo Dar es salaam, imeendelea kusikilizwa leo Agosti 21,2024, ikiwa ni...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa Tanzania mnajisikiaje hakuna hata Mmoja wenu aliyechukua Tuzo huko Mkutanoni SADC leo alikoenda 'Mama' yenu Mpendwa?

    Yaani Tuzo zote za Categories za Radio, Television na Print zimeenda kwa Waandishi wa Habari wanaojua nini wanakifanya na wasio Wapumbavu, Wanafiki na Waongo wa nchi za Angola, Lesotho, Namibia, South Africa, Malawi na Zimbabwe, ila cha Kusikitisha wala hakuna kutoka Tanzania. Hii ni Aibu kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari za kiuchunguzi Tanzania, wapo wapi kuandika juu ya manabii na mitume hapa nchini ili kuokoa kizazi cha nchi hii?

    Pascal Mayalla na wengine wengi wa enzi zile. Ninyi mlijifunza aina ya uandishi wa habari za kiuchunguzi ndani ya nchi na nje ya nchi. Mlijifunza aina hiyo ya uandishi ili muweze kumiliki vyeti, mvitunze kabatini au lengo ilikua ni nini? Kwa sababu mmegoma kuandika habari za kiuchunguzi juu...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson anatoa Tuzo kwa Waandishi wa Habari kama nani, Ili Iweje?

    Na kwamba baada ya Tuzo hizi Zinazodaiwa kuambatana Rushwa ya hela, kuna Mwandishi yeyote hapo Mbeya atakayeandika Ukweli mchungu kuhusu huyu Mbunge? Ni lazima Mamlaka ikemee kitendo cha Kila Mtu kuwapa Tuzo Waandishi wa Habari, ikiwa kama kuna aliyeguswa na Umahiri wa Wanahabari basi atumie...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Jiji Mwanza ikiongozwa na Mkurugenzi, haitoi ushirikiano kwa Waandishi wa Habari

    Mimi ni mmoja wa Waandishi wa Habari wa hapa Mwanza, kero yangu ni kuhusu Mamlaka za Halmashauri za Jiji kutotupa ushirikiano baadhi ya Waandishi wa Habari tunapohitaji taarifa mbalimbali hasa hasa takwimu na zile zinazohusu miradi iliyotumia pesa kutoka Ofisi za Jiji. Kumekuwa na danadana...
  9. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari Waandamana Kenya, wapeleka maombi yao Makao Makuu ya Polisi NPS

    Waandishi wa Habari wameandamana jijini Nairobi kwa ajili ya kulaani mashambulizi ya Wanaoripoti Habari kuhusu Maandamano na vitisho kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari kutoka kwa Polisi Pia soma: Yanayojiri Maandamano ya Gen Z Kenya Katika taarifa iliyotolewa na Umoja wa Waandishi wa Habari Kenya...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali kuzungumza na Waandishi wa Habari jioni hii.

    Ndugu zangu Watanzania, Msemaji mkuu wa serikali atazungumza na waandishi wa habari jioni hii,ambapo atakuwa live au mbashara kupitia vyombo vyote vya habari hapa Nchini yaani vile vya serikali na vile vya binafsi vitarushaa matangazo hayo na mkutano huo na waandishi wa habari muda wa saa kumi...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hii kamatakamata ya Waandishi wa Habari na ukimya wa Polisi, ni hatari kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari

    Nikiwa kwenye TV yangu nimefanikiwa kupata nafasi ya kumsikiliza Mkuu wa Nchi Rais Samia Suluhu Hassan kwa mara nyingine akisisitiza Uhuru wa Vyombo vya Habari, hii ilikuwa kwenye lile Kongamano la Wanahabari, Juni 18, 2024. Alivyokamatwa Mwandishi wa kwanza katika sakata hilo ~ Mwandishi...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Safi sana Rais Samia kwa Kuwachana Live Waandishi wa Habari wa Tanzania kwa 'Unafiki' wao

    "Nilichelewa mishahara ya serikali kwa siku moja, magazeti yote yameandika, mshahara wachelewa...., ingekuwa zama zile isingetokea, sasa niliposikia hapa leo kwamba hamlipwi, hamna mikataba na mmenyamaza kimyaa...hamsemi nikasema kweli mfinyanzi anakula kwenye magai poleni ndugu zangu...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania THRDC yalaani ukamatwaji wa waandishi wa Habari Kanda ya Ziwa

    TAMKO KULAANI KUKAMATWA KWA WAANDISHI WA HABARI KANDA YA ZIWA Dar es Salaam, Tanzania - Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unalaani vikali vitendo vya kukamatwa kwa waandishi wa habari mbalimbali nchini, hasa siku za hivi karibuni. Tukio la hivi punde ni kukamatwa kwa...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Meneja Huduma za Utangazaji kutoka TCRA asema "Waandishi wengi wa Habari hawajui kusoma tarakimu"

    Meneja Huduma za Utangazaji kutoka TCRA, Inj. Andrew Kisaka, amesema asilimia kubwa ya Waandishi wa Habari hawajui kusoma tarakimu hasa wakiandikiwa ili wasome, kwani wamezoea maneno isipokuwa tarakimu za laki kwani ndizo wanacheza nazo kila wakati, hivyo hivyo ameiomba Tume Huru ya Taifa ya...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zuhura Yunus anazungumza na waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam, Juni 6, 2024

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus pamoja na viongozi wengine wa Serikali wanazungumza na waandishi wa Habari Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 6, 2024. https://www.youtube.com/live/R29ql0qn41I?si=HUvsJC1La1-T6RWb Viongozi mbalimbali pamoja na Waigizaji wakiwa kwenye...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni magaidi wenyewe ndio wanajifungamanisha na uislam au waandishi wa habari ndio wanaoufungamanisha ugaidi na uislam

    Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu. Wako wanaofurahia propaganda hizo. Wako wanaoamini propaganda hizo. Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo. Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media kupitia waandishi Lakini wapo waandishi waliotaka kujua ukweli wa ugaidi. Kuwa ni magaidi wenyewe...
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi: Kaya 1,373 zenye Watu 8,364 zimeshahama Ngorongoro kufikia Aprili 2024

    TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU MAENDELEO YA MPANGO WA UHAMAJI WA HIARI KUTOKA ENEO LA HIFADHI YA NGORONGORO KWENDA MSOMERA NA MAENEO MENGINE YA NCHI Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi leo Mei 26, 2024 amezungumza na waandishi wa habari kuhusu...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi kuzungumza na Waandishi wa Habari leo 26/5/2024 7:30 mchana

    Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Mobhare Matinyi leo Jumapili Mei 26, 2024 atazungumza na Waandishi wa Habari kufikisha ujumbe kwa Taifa kuhusu masuala mbalimbali. Ni kuanzia 7:30 mchana kwenye Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, Arusha. Usikose kufuatilia kupitia Televisheni mbalimbali kujua masuala...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Tanzania wasome Historia ya Kijographia kujua chanzo cha Mgogoro wa Morocco na Algeria

    Kwamba sehemu hiyo ya Sahara ilikuwa sehemu ya Algeria. Wakati Sahara ya Magharibi ilikuwa koloni la Uhispania, ilivyoondoka ndio ikaiachia sehemu hiyo Kwa Morocco na Mauritania. Baada Mauritania waliiacha sehemu waliojikatia na Morocco akajitwalia sehemu yote. Hivyo waandishi wetu wanatakiwa...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi Waandishi wa Habari wakiwa wanasema fulani kazikwa na maelfu na mwingine wanasema kazikwa na mamia huwa wanamaanisha nini?

    Mimi nilidhani Mtu fulani kutokana Umaarufu wake na Kujimwambafai Kwake angezikwa na Maelfu ila nimesikitika sana kuona ameandikwa kuwa amezikwa na Mamia tu. Jamani tutumie Umaarufu wetu kwa kuwa karibu na Watu hasa wa Kawaida (chini kama akina siye GENTAMYCINE) ili hata SIku tukiondoka au...
Back
Top Bottom