waalimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Hivi zile ajira 13000 za waalimu kulikoni?

    Uchaguzi umeisha salama ingawa hakuna chochote kinachofanyika kwenye ardhi kikawa na hakina dosari.tulikuwa tunaulizia hivi zile ajira 130000 zimeenda wapi?! Kwani mpaka sasa hakuna chochote na tamisemi tangazo wamefuta Na kuna taarifa kwamba kuna maagizo kutoka juu yaliagiza tangazo...
  2. Nzelajape

    Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya Magu, usiwatetee na kuwalinda waalimu wasiokidhi vigezo vya Ualimu Mkuu; unawavunja moyo wanaostahili nafasi hizo

    Nawasalimu wanajukwaa. Bila kupoteza muda, naleta hoja yangu kwa DED MAGU; itokanayo na hotuba yake aliyoitoa majuzi kwenye semina ya mtihani wa darasa la nne kwa waalimu wa shule za msingi. Kati ya mengi uliyoongea, ulimzungumzia pia Mwl. Mary Maganga wa Magu S/Msingi, ukionyesha kuridhishwa...
  3. Miss Zomboko

    Kuboresha uhusiano wa Wanafunzi na Waalimu kunaweza kuwa na faida muhimu na za kudumu zaidi ya kufaulu kimasomo tu

    Jinho Kim(PhD), Profesa Msaidizi katika Idara ya Sera ya Afya na Usimamizi Chuo Kikuu cha Korea anasema, kuboresha uhusiano wa Wanafunzi na Waalimu kunaweza kuwa na faida muhimu na za kudumu zaidi ya kufaulu kimasomo tu Utafiti ulihusisha washiriki karibu 20,000 (3,400 kati yao walihusisha...
  4. T

    Ajira za waalimu zimetoka au magumashi yanaendelea?

    Wana jamvi katika hali ilioleta taharuki kwa vijana wetu jana Alhamisi ilisambaaa mtandaoni kwamba majina ya waalimu walioomba kazi yametoka. Hivyo kuleta taharuki na usumbufu kwa walioomba, lakini ilikuwa ni geresha tu, cha kushangaza si Tamiseni haikukanusha habari hizo kama ni kweli au la...
  5. mbutamaseko

    Hivi zile ajira elfu 13 za waalimu wa msingi na sekondari zimeishia wapi?

    Ni muda kidogo umepita toka ajira hizi zitangazwe kwa mbwembwe sana. Nilishuhudia wasaka ajira walizipokea kwa matumaini sana japo wengi walihisi ni suala la kisiasa zaidi kutokana na ajira hizo kutangazwa ghafla katikati ya kampeni. Vipi kuna mtu anamjua mtu aliyeajiriwa kupitia ajira hizo...
  6. T

    Zile ajira za walimu 13,000 zimeyeyukia wapi?

    Mwezi wa 9 serikali ilitangaza ajira za waalimu zipatazo 13,000. Lakini mpaka sasa hakuna kitu chochote kinachoendelea TAMISEMI imekumbwa na nini. Zimebaki siku 4 hakuna mtumaini yeyote na uchaguzi ukishappita tusitegemee ajira kutoka serikalini wakati zikiwa zinebaki siku 3 watu wapige...
  7. M

    Kipi kifanyike kuwanusuru walimu na kashfa ya ngono dhidi ya wanafunzi?

    Habari wanaJF, Kila kukicha kashfa ya ngono kwa waalimu dhidi ya wanafunzi inazidi kukita mizizi, licha ya adhabu kali zinazochukuliwa dhidi ya wabainika lakini bado imeshindikana kulidhibiti tatizo, je kwa mtizamo wako unadhani kipi kikifanyika kitasaidia kumaliza tatizo hili?
  8. M

    GE2020 Mwanza: Shule zasitisha masomo, Wanafunzi waambiwa wakampokee na kumsikiliza Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli Uwanja wa CCM Kirumba

    Katika hali isiyo ya kawaida Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela amesitisha kufunguliwa kwa shule zote hapo kesho ili waalimu na wanafunzi washiriki kampeni za chama Cha CCM. Hali hiyo imesababishwa na chama hicho kukosa ushawishi wa watu kuhudhuria mikutano yake bila kulazimishwa na hali...
  9. T

    Serikali iajiri walimu wa sekondari na msingi, hali ni tete mashuleni

    Kwa heshima na taadhima naomba kuhufahamisha umma changamoto mbalimbali tunazopitia mashuleni nahisi kama serikali haijui au na kama inajua na imeamua kukaa kimya hali mashuleni mbaya sasa hivi vipindi vinamalizika mashuleni saa 11 mpaka 12. Kwa hiyo mwalimu au waalimu tuna toil kinyama bora...
  10. Nyendo

    Walimu watatu washikiliwa na TAKUKURU Kagera kwa udanganyifu

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kagera tumeendelea kutekeleza majukumu yetu kama yalivyoainishwa katika Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Namba 11 ya mwaka 2007. Katika utekelezaji wa majukumu yetu tumeendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa mapambano dhidi...
  11. E

    Kwanini Wastaafu wote wanaopigwa kwenye mikopo umiza ni waalimu tu?

    Naomba majibu hapa kutoka kwa waalimu. je! Nikwanini kila nikisikia taarifa za taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Takukuru imeokoa fedha za mstaafu ukifuatilia atakuwa ni mwalimu? kwani wastaafu wote wanaopigwa kwenye mikopo umiza ni waalimu tu? Ni nini kinasababisha watapeliwa wengi...
  12. SankaraBoukaka

    Fedha ya Serikali inavyopigwa na Halmashauri kupitia Waalimu

    Pamoja na fedha ya Serikali kuwekewa Ulinzi mzito kwenye awamu hii ya tano lakini bado wapo wajanja wanaendelea na upigaji tena kiulaini. Ipo hivi, huu mchezo unapigwa Halmashauri za Wilaya/Manispaa. Wakitaka kupiga hela wataanza kutoa Taarifa kwa wafanyakazi katika Wilaya husika kwamba...
  13. client

    Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

    Nimepata habari isiyo na shaka kuwa gari aina ya coaster limeua watoto karibu wote waliokuwa wanaelekea mjini Karatu kwa ziara ya kimasomo including(joint examinations), taarifa zinasema wamebaki watoto(3) tu wengine wamefariki, shule inaitwa Lucky Vincent Nursery & Primary School ipo Arusha...
Back
Top Bottom