Kwanini Wastaafu wote wanaopigwa kwenye mikopo umiza ni waalimu tu?

Enzi na Enzi

JF-Expert Member
May 29, 2020
520
500
Naomba majibu hapa kutoka kwa waalimu.

je! Nikwanini kila nikisikia taarifa za taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Takukuru imeokoa fedha za mstaafu ukifuatilia atakuwa ni mwalimu?

kwani wastaafu wote wanaopigwa kwenye mikopo umiza ni waalimu tu?
Ni nini kinasababisha watapeliwa wengi kuwa ni waalimu badala ya wakulima?
 
REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
2,947
2,000

Unatakiwa ujue asilimia 90 ya watumishi wa umma ni walimu

Asilimia 90 ya watumishi wa umma wanaostafu na kuvuta Pesa ndefu ni walimu

Kwaiyo wingi wao ndio unafanya kila tarifa za masuala ya utaperi wa fedha uhusishe walimu sababu wapo wengi na wanavutaga pesa ndefu kidogo ukifananisha na kada nyingine

Walimu tunawachukulia pouwa ila mishahara yao ipo vizuri husani hawa wazee kinachowakaba hawana marupu rupu na hakuna rushwa

Mfano sasa hivi ajira za walimu zimesimama hakuna mwalimu anayechukua mshahara chini ya laki NNE kama wapo ni wachache sana ila wengi wanaanzi laki NNE , mpaka million uko hususani Hawa wazee wanaostafu wengi wamestafu mishahara yao million na kitu

Unaweza kuona kwanini wazee wa fursa mtaani wanacheza na walimu
 
sumbai

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
15,095
2,000
Wastafu wengi kwa miaka ya karibuni ni walimu wale wa zamani possible ni wa UPE.

Wengi hawana exposure na njia mpya za matapeli hususani huko vijjn hivyo uwa rahisi

Pia tamaa ya kupata mafanikio kwa njia za mkato mtu anaona kapata mil 40 then akiambiwa iweke kwenye hii account namba kisha inakuwa 60 baada ya week mbil mzee wa watu anakubali

Miaka ile ya DECI nilikuwa kjjn sasa kuna ndugu yangu alikuwa ni mwalimu. Shuleni kwake walimu wote walipanda mbegu huko deci. Yani ilipokuja kutambulika deci ni utapeli ilikuwa kama kuna msiba hv pale shuleni.

Anyway tuwe na huruma na hawa wazee kiwatapeli ni kujilaaani
 
Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,176
2,000
Naomba majibu hapa kutoka kwa waalimu.

je! Nikwanini kila nikisikia taarifa za taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Takukuru imeokoa fedha za mstaafu ukifuatilia atakuwa ni mwalimu?

kwani wastaafu wote wanaopigwa kwenye mikopo umiza ni waalimu tu?

Ni nini kinasababisha watapeliwa wengi kuwa ni waalimu badala ya wakulima?
Dogo nenda shule acha kufanya ligi na walimu.
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
22,338
2,000
Nakukumbusha Tu Ujue Walimu Wapo Wengi Sana Mpaka Kule Kijijini Unachotoka Wewe
Walimu Wanapokutana Na Motivation Speaker
Wanaona Kumbe Pesa Za Bure Zipo Yaani Kutaka Slope. Ila Sasa Hivi Walio Wengi Wanajitahidi Kujitambua
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom