Kwa sababu ambazo sifaham, tangia miaka ya 1990, tumekuwa na tatizo kubwa la ukosefu wa waalimu wa hesabu.
Tatizo ni kubwa zaidi kwa shule za msingi za umma ambapo waalimu wenye vigezo vya kufundisha somo hilo pengine ni chini ya asilimia 10% ya mahitaji. Nafikiri tukiwa wakweli, matokeo...