waalimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Erick Kabendera: John Magufuli alifukuzwa Katoke Seminary kutokana na uvutaji bangi, Walimu wake walisema alikuwa na matatizo ya akili

    Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la...
  2. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Kugawa vishikwambi kisiwe kigezo cha kunyima waalimu ajira

    Toka Sensa ipite serikali ikagawa VISHIKWAMBI imekuwa na kigugumizi sana Cha kuajiri waalimu wapya Toeni ajira vijana wanataka kulifanyia kazi taifa sio kupewa VISHIKWAMBI TAMISEMI na serikali toei ajira kweli!
  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Shule nyingi za private zinaajiri waalimu kutoka kenya kama taifa tunafeli wapi.

    Ndugu zangu licha ya utititiri wa waalimu wengi kuhutimu vyuo mbalimbali lakini wengi wao wapo tu mitaani wapiga miayo, huku shule nyingi za private zikienda nje ya nchi kusaka waalimu. Mzazi ukienda kutafuta shule kwa ajili ya mwanao basi sifa utakazopewa kuhusu shule husika basi utaambiwa...
  4. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Siwezi kutoboa, Waalimu elfu 28 kugombea nafasi 183. Narudi kulima

    Naonekana ntu ya kulalamika lakini hii ni zaidi ya kubeti. Tupo walimu elfu 28 tunaogombania nafasi 183. Kichwa changu nakijua ningejipa moyo kama Nafasi zingekuwa walau elfu Moja. Chuoni tuu nimeondoka na GPA ya 2.8. lekodi yangu hainipi Imani. Acha niludi kuendelea kulima
  5. MZEE OJUAN

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za ajira za walimu 2024

    Habari wana JF haya kuna walioona changes kwenye profile zao. Tiririka mwalimu mwaka wako huu
  6. I

    JamiiForums Tanzania Hivi haya mambo yana faida gani kwa Walimu zaidi ya kutapeliwa hela? Nani aliyeturoga?

    Habari za saa hizi Makada wa CCM. Ndugu zangu wanaSongwe mliambiwa kuwa kutakuwa na Mafunzo ya Walimu Makada wa CCM yatakayofanyika tarehe 02.11.2024 hadi 03.11.2024 , Wilaya ya Mbozi eneo la Mpakani na Mbeya kata ya Nanyala katika ukumbi wa sekondari ya SONGWE SUNRISE Mafunzo haya...
  7. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Walimu waheshimiwe sana; si kila mtu anaweza kuelekeza na kufundisha

    Nilichojifunza hapa kuna muda ni shida sana kumuelekeza mtu na ku control hasira. Waalimu wapewe maua yao.
  8. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Waalimu jiandaeni Kwa Written kuanzia alhamis ijayo.

    Mjiandae.. Tayari baadhi mmeshaanza kuona mabadiliko katika account zenu. Utathibitisha Mkoa àmbao upo tayari kwaajili ya usaili, Kwa wale wale watakaofanikiwa kuendelea na Oral. Kisha watakaofauli Oral watapangiwa vituo vya Kazi Kulingana na serikali itakavyoona. Jiandaeni vizuri. Maswali...
  9. secretarybird

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kondoa Girls High School waalimu wa field wamegeuka walinzi wa shule, usiku kucha hawalali

    Juzi nilipata taarifa kutoka Kwa mwalimu mwenyeji wa shule ya Kondoa girls kuwa kuwa katika shule yao wizi umekithiri sana, mwalimu yule alidai kuwa watu wasiojulikana wanaenda kuiba mbaazi katika shamba la shule na mbaya zaidi watu wale wameanza kutembelea nyumba za waalimu ili kuiba chchote...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwa walimu wa Part time Arusha

    Habari, Tunatafuta waalimu wa chuo wa part time katika nafasi hizi:- 1. Mwalimu wa French & Spanish 2. Mwalimu wa Hotel Management 3.Mwalimu wa Tour guiding Ni chuo kinachotoa kozi za utalii hapa Arusha hivyo tunapendekeza wale waliopo Arusha hasa mazingira ya Sakina. Unaweza kutuma Cv zako...
  11. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Mbadala wa kufanyiza waalimu mtihani kabla ya kuajiriwa

    Binafasi napendekeza badala ya kuwapa waalimu mitihani kabla ya kuajiriwa, kuwe tu na kigezo cha pass stahiki cha masomo atakayofundisha..... Sijui kwa nini umchague mwalimu wa Kiswahili & History (kwa mfano) mwenye ufaulu wa D kwa masomo husika wakati umeacha kuchukua mtu mwenye ufaulu wa B...
  12. Ezekiel Njalla

    JamiiForums Tanzania KERO Fedha za nauli ya likizo kwa waalimu inalipwa lini Magu DC?

    Shule za serikali zimefungwa tangu mwishoni wa wiki iliyopita tarehe 31/5/2024. Waalimu tulijaza Ankara za fedha za nauli ya likizo hii mapema sana na kuziwasilisha kwa wahusika ofisi Halmashauri ya Wilaya ya Magu kabla shule hazijafungwa; tukitarajia kwamba malipo yangefanyika mapema au mara...
  13. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri wa Elimu ya kwamba walimu wafanye mtihani kabla ya ajira ni ya udhalilishaji

    Watabisha sana lakini kauli ya waziri wa elimu kuhusu ajira za walimu ni kauli za udhalilishaji wa waalimu na Maprofesa wa vyuo husika! Kama mitaala ya vyuo vya walimu inasimamiwa na wizara ya elimu! Kama vyuo vyetu vina ubora unaokidhi vigezo! Kwanini waziri anawataka walimu wafanye mitihani...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Waalimu tunadharauliwa sana hivi kwanini?

    Tanzania Wilaya ya Uyui Waalimu tunanyasika sana sijui tatizo nini? Tulikuwa kwenye semina ya mtaala mpya daaa h full vitisho maneno ya kukatishana tammaaaa. Posho hazieleweki za semina yenyewe mnaishia kupewa maji makubwa. Hii wilaya ina shida serikaki iangalie kwa jicho la pekeee ni wilaya...
  15. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Kwa kweli mzee mwinyi allah akupe tahafif. Ulifanya waalimu kwa upande kwa zanzibar wanakipwa transport allowance

    Ni rais pekee aliyehakikisha mwalimu analipwa stahiki hii ambayo imepuuzwa upande wa bara. Katika kada ambayo itaendelea kuwafanya viongozi wa bara waende na mzigo wa dhambi ni kuidharau kada ya ualimu. Ni kikwete pekee aliyebaki amwambie Mama kizimkazi asifanye kosa la kudharau waalimu...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Walimu changamkieni hizi fursa za kwenda Marekani: Je, una uzoefu wa kufundisha wa miaka 5 na zaidi?

    Kwa waalimu wenye uzoefu wa kufundisha wa miaka 5 na kuendelea kuna fursa nzuri sana hapa Login » IREX - International Research & Exchanges Board: Fulbright Online Application System. Kama upo interested chukua hatua kuapply na pia unaweza kupata usaidizi kupitia ResearchLink International. Pia...
  17. Abdusmigo

    JamiiForums Tanzania Nimefaulu Kidato cha Nne kwa Division Two ya 19. Nifanye nini ili nifikie ndoto yangu?

    Kwa majina naitwa Abdul Komando Mtimbe (19) ninaishi Dar es salaam Tanzania.Nimezaliwa tarehe 07.12.2004 Nimepata elimu yangu ya msingi katika shule ya msingi Mchangani wilaya ya Kinondoni jijini DAR ES SALAAM ambapo nilianza mwaka 2010 na kumaliza 2016 na nilifanikiwa kujiunga na elimu ya...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Waalimu mnapaswa kuandamana kudai pensheni kamili, kikokotoo kwenye pensheni ni udhalim. Ni aibu kwa serikali kuwekeza kwenye vifo vya watumishi wake!

    Waalimu wa siku hizi hadi muambiwe kuwa hali za maisha yenu sio nzuri!? Juzi tu hapo serikali imekuja na kikokotoo cha pensheni za watumishi mkiwemo nyie waalimu. Watu mnakatwa pensheni yenu na mpo kimya tu?! Pensheni ni mali yenu na sio msaada kutoka serikalini, mnapaswa kuelewa kuwa...
  19. Execute

    JamiiForums Tanzania Walimu bora wa shule za sekondari kwa nyakati zote hapa Tanzania

    Naomba tuwape heshima waalimu walioacha legacy inayodumu kwa wanafunzi wao. Mimi naanza na huyu. Mwalimu Mnzava - Mbeya secondary (Mbeya Day) Huyu mama alihamia hii shule miaka ya mwisho ya 1980s na alidumu hapo mpaka kustaafu kwake miaka ya 2010s. Kila mkuu wa shule alikuwa anakataa kabisa...
  20. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Waalimu wa South Afrika wanamudu vipi haya majaribu

    Hivi ndo baadhi ya wasichana wa shule za upili wanavyovaa shuleni.
Back
Top Bottom