Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 21,390
- 56,044
Wakuu wasaalaam !
Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza. Kuna Mwanafunzi anahitaji kufundishwa masomo ya Economics na Mathematics Advanced level kwa mitaala ya Cambridge.
Kwa yeyote aliye na ujuzi wa kufundisha hayo masomo kwa mtaala wa Cambridge ana PM ili nimuunganishe na Mzazi wa huyo Mwanafunzi.
Mzazi wa Mwanafunzi ni Mwarabu anaishi Upanga Jijini Dar es Salaam na Mwanafunzi anaishi Germany na wakati mwingine huwa anaenda Oman.
Ufundishaji utakuwa ni kwa njia ya mtandao. Kama una ujuzi wa mitaala ya Cambridge kwa masomo hayo (Mathematics na Economics) Ni cheki PM.
NB: Sio ajira ili ni kazi ya muda mfupi na makubaliano yatafanyika kati yako wewe Mwalimu na Mzazi wa huyo Mwanafunzi.
Changamkieni dili Hilo ni njia nyingine ya kupata connection kwa mambo mengine.
Nawasilisha.