Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu unaweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo:
1. Unalia sababu umechapwa, utachapwa tena
2. Umechapwa ukulia utachapwa tena
3. Ukijililia tu bila kupigwa, utachapwa
4. Kusimama wakati wazee wameketi, utachapwa
5. Ukiketi wakati wazee wamesimama. utachapwa...
Salaam WanaJF,
Uzi huu ni wa kupeana taarifa na makavazi kuhusu mawaziri hawa wawili wa zamani waliowahi kuwa wizara moja.
Je, wana mchango gani katika kujenga sekta ya viwanda na biashara pamoja na ya ushirika miongoni mwa jamii?
Shukrani,
Companero
Mchezaji wa zamani wa Yanga SC na Singida United Kipanya Malapa amefungua biashara ya mishikaki na kachori maeneo ya nyumbani kwao Buguruni.
Kipanya anamshukuru sana mchezaji mwenzie wa Yanga Said Maulidi Kalikula kwa kumuunga mkono na kuomba wadau wengi wapite maeneo ya Buguruni Kona kupata...
Salaam wakuu, Leo katika historia nimeamua niwafahamishe baadhi ya adhabu za kikatili zilizotolewa na wafalme wa enzi hizo.
Brazen bull; hii ni adhabu ambayo ilivumbuliwa na bwana mmoja aliyeitwa perilaus kutoka katika nchi ya wagirikiadhabu hii ilihusisha kifaa kilichokuwa kimetengenezwa...
Mwanasheria Mkuu, Helder Pitta Groz amethibitisha taarifa za Shirika la Polisi wa Kimataifa (Interpol) kumtafuta na kumkamata Isabel dos Santos, mtoto wa Rais wa zamani wa nchi hiyo.
Isabel ameshtakiwa kwa Matumizi Mabaya ya Mali na Ubadhirifu wa Fedha za Umma wakati Mwenyekiti wa kampuni ya...
Mahakama imetoa adhabu hiyo kwa Ahmed Abdallah Sambi aliyekuwa Rais mwaka 2006 - 2011 baada ya kumkuta na hatia ya Uhaini dhidi ya Serikali na Nchi.
Kwa mujibu wa Mashtaka, Kiongozi huyo amekutwa na makosa ya kuuza Hati za Kusafiria kwa watu wasio na Uraia pamoja na Ubadhirifu wa Tsh. Trilioni...
Moja kwa moja kwenye lengo la uzi.
Nipo ndoani miaka 7, miaka 3 nyuma nilikuwa na mchepuko ambao nilidumu nao miaka 3 baadaye mchepuko ukaja ukaolewa.
Tukapotezana hewani mwaka mzima sasa umerudi upo kwao hautaki kurudi tena kwa mumewe. Kabla haujaolewa tuliahidiana kuja kuzaa watoto wawili...
Luiz Felipe Scolari, ambaye aliiongoza Brazil kunyakua taji lake la mwisho la Kombe la Dunia 2002 na kuipeleka Ureno hadi fainali ya Ubingwa wa Uropa mnamo 2004, amethibitisha kustaafu ukufunzi wa Soka.
Mbrazil huyo mwenye umri wa miaka 74 aliaga baada ya ushindi wa nyumbani wa Athletico wa 3-0...
Wauaji waliopatikana na hatia na wauzaji dawa za kulevya ambao wametoka gerezani hivi majuzi nchini Urusi wanakabiliwa na kuandikishwa kupigana nchini Ukraine chini ya mabadiliko ya sheria.
Rais Vladimir Putin aliifanyia marekebisho sheria ya kuwaita askari wa akiba na kuwajumuisha wanaume...
Wakuu nadhani mko poa
Katika maisha ya mahusiano, kuna wakati mnatofautiana au zinatokea changamoto mpk kupelekea kuachana au kutengana. Kumrudia mpenzi wangu wa zamani(my ex) Huu haukuwa mpango wangu, siku zote nilikubali hali halisi na kuendelea kuishi maisha yangu bila wao(katika mahusiano...
Je, Wazee ( akina Baba ) wa zamani hapa JamiiForums hivi nanyi Enzi zenu hii tabia tuliyonayo Wanaume / Vijana wa Siku hizi ya Kuchafuana ( Kuuana kwa Mademu ) tunaowawinda 'Kuwangono' mlikuwa nayo au Wenzetu mlistaarabika zaidi?
Nimeshasema kuwa GENTAMYCINE sikatai Kumtongoza Demu wangu na...
Kufuatia mashambulio makubwa ya anga kote Ukraine leo, Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev alionya "kutakuwa na mengine". Akiandika kwenye mitandao ya kijamii, mshirika wa karibu wa Rais wa Urusi Vladimir Putin aliashiria kwamba kuongezeka kwa mashambulizi kunaweza kuwa mwanzo wa kuongezeka...
Aliyekuwa Waziri wa Sheria wa China, Fu Zhenghua amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kupokea rushwa ya zaidi ya TZS Bilioni 72 akiwa mtumishi wa umma.
Hukumu hiyo yaweza kutekelezwa ndani ya miaka miwili au kuwa kifungo cha maisha baada ya miaka miwili kumalizika.
Pamoja na hukumu...
Mimi binafsi sijawahi kumuona marehemu Hamis Tobias Gaga akicheza lakini naambiwa balaa lake lilikuwa kubwa sana. Naambiwa alikuwa anapiga sana mawe. Alikuwa anapiga magoli flani hivi ya kipekee.
Je, wewe ni mchezaji gani hujamuona zama zake lakini story za mtaani zinasema alikuwa moto sana
Raia wa Japan amelazwa hospitali baada ya kujijeruhi kwa kuchoma moto akipinga kitendo cha Serikali ya Nchi hiyo kutumia gharama kubwa kuandaa mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani Shinzo Abe aliyeuawa Julai 8, 2022.
Serikali ya Japan inatarajiwa kutumia Dola Milioni 11.4 (Tsh. Bilioni 26) katika...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemkuta na kesi ya kujibu, aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli Tanzania (Rahco), Benhardard Tito.
Tito amekutwa na kesi ya kujibu baada ya upande wa mashtaka kufunga ushahidi wao wa mashahidi tisa...
Ofisi ya Waziri Mkuu wa zamani Mahathir Mohamad imethibitisha kuwa kiongozi huyo amekutwa na maambukizi hayo na leo asubuhi amelazwa katika Taasisi ya Kitaifa ya Moyo kwa uchunguzi kama ilivyoshauriwa na timu ya Madaktari
Mahathir mwenye umri wa miaka 97 tayari amepata Chanjo dhidi ya virusi...
Nakumbuka kesi nyingi nzito Serikali ilikuwa inapigwa chini. Wakina Mtikila, Masumbuko Lamwai, Mabere Marando nk. kama wana hoja za msingi wanashinda kesi.
Siku hizi mbona vijikesi vidogo tu ni mwendo wa kuahirisha kwa week moja au ndiyo kusikilizia maamuzi kutoka juu?!
This is very sad and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.