#COVID19 Malaysia: Waziri Mkuu wa zamani alazwa baada ya kukutwa na UVIKO-19

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
Ofisi ya Waziri Mkuu wa zamani Mahathir Mohamad imethibitisha kuwa kiongozi huyo amekutwa na maambukizi hayo na leo asubuhi amelazwa katika Taasisi ya Kitaifa ya Moyo kwa uchunguzi kama ilivyoshauriwa na timu ya Madaktari

Mahathir mwenye umri wa miaka 97 tayari amepata Chanjo dhidi ya virusi vya Corona, ana historia ya matatizo ya Moyo na alikaa Hospitali kwa muda mrefu mwishoni mwa Januari 2022

Pia amewahi kuwa Waziri Mkuu wa Malaysia mara mbili kati ya 1981 hadi 2003, Mei 2018 alijiunga na Muungano wa Upinzani kisha kujiuzulu miaka miwili baadaye kutokana na mzozo wa ndani wa Madaraka uliosababisha kuvunjika kwa Muungano huo.

======================

Malaysia’s former Prime Minister Mahathir Mohamad has been admitted to hospital after testing positive for COVID-19.

A statement from Mahathir’s office said he had been confirmed to have the virus on Wednesday morning and had been admitted to the National Heart Institute “for observation for the next few days as advised by the medical team” but did not go into detail.

The 97-year-old has a history of heart problems and spent an extended period in hospital in late January.

He has been vaccinated against the coronavirus.

Mahathir has twice been Malaysia’s prime minister — first from 1981 until 2003, and again in May 2018 when the opposition coalition he joined amid the multibillion-dollar scandal at state fund 1MDB was swept into power. He resigned two years later after an internal power struggle led to the coalition’s collapse.

ALJAZEERA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom