wa zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Waziri wa zamani Raphael Tuju aliyedaiwa kutekwa alikuwa amejificha kukwepa madeni

    Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) imemtia nguvuni Waziri wa Zamani Nchini Kenya, Raphael Tuju, ambaye Familia yake ilidai ametekwa kabla ya kujitokeza na kukiri alikuwa mafichoni siku ya Jumamosi baada ya kuhisi kuwa kuna watu waliokuwa wakimfuata. Akizungumza baada ya Tuju kuonekana...
  2. Erythrocyte

    Matapeli wa zamani wa Kyela, Maskita na Mwamkenja walipotelea wapi?

    Hawa Jamaa walitumia ujanja na. ushirikina kutapeli wakulima n.a. wafanyabiashara Mara ya mwisho niliacha kuwafuatilia nilipoenda Ulaya kwa masomo, niliporudi sikuwakuta Kama Kuna mtu wa zamani wa Kyela humu anaweza kunisaidia Hawa watu walitikisa mno Kyela kwa utapeli Wao Je walikufa Au...
  3. Waufukweni

    Kanye West atakiwa kumlipa mkandarasi wake wa zamani Tsh milioni 365.4 kwa kesi ya jumba la Malibu

    Jopo la majaji huko Los Angeles limemuamuru rapa wa Marekani Kanye West kumlipa dola 140,000 (takriban Tsh. 365.4 Milioni) fundi wa kazi za mikono aliyemshtaki kwa kutolipwa malipo ya kazi wakati wa ukarabati wa jumba lake la kifahari huko Malibu. Fundi huyo, Tony Saxon, alimshutumu rapa huyo...
  4. Erythrocyte

    Kuibuka kwa Madikteta Wapya hakuwasafishi Madikteta wa Zamani

    Tunamshukuru Mungu kwa yote yaliyotokea kwa Nchi yetu kwa Mwezi ule wa 3 miaka kadhaa iliyopita. Bado tunaamini atatenda tena kwa njia zake, Maana Mungu haishiwi mipango. Tuna amini kwamba kilichomkuta Dikteta Jiwe kitawakuta hata Hawa Madikteta Wapya, Mungu hataniwi, Huwezi kuua maelfu ambao...
  5. VERBOSE

    Hawa mbu wa siku hizi ni Toleo Jipya au ni walewale wa zamani?

    Nauliza tu kwa kutaka kujua hawa mbu ninaowaona siku hizi ni toleo jipya au? Maana hata uwapulizie na nini hawafi
  6. R

    Nigeria: Aliyekuwa waziri wa sheria, Abubakar Malami na Mwanawe Abdulaziz wanakabiliwa na Mashtaka ya Ugaidi

    Polisi wa jimbo nchini Nigeria Jumanne wamewashtaki aliyekuwa Waziri wa Sheria, Abubakar Malami, pamoja na mwanawe Abdulaziz, kwa makosa matano yanayohusiana na ugaidi na umiliki wa silaha, miezi kadhaa baada ya taasisi ya kudhibiti uhalifu wa kifedha kuwafungulia mashtaka ya utakatishaji wa...
  7. Black cap

    Mwingine tayari au huyu wa zamani

    Nimeona kwa tulia ila kifo
  8. Mtemi mpambalioto

    RIDHWANI je ulimaanisha hakuna kuhama vituo kwa wanoanza kazi au wote hata wa zamani?

    NCHI MOJA MATAMKO KIBAOOO KILA WAZIRI AKIJA ANABADILI SERA je nyie hamuoni mnageuka MIUNGU WATU? Ridhwani tuambie je umemaanisha wanaonza kazi yaani First appointment ndio hawaruhusiwi kubadili vituo au kuhama au unamaanisha WOOTE hata wa zamani katika.maeneo yao? Nakukumbusha tu kupitia Bunge...
  9. R

    Waziri wa zamani wa Mafuta Nigeria afunguliwa Kesi ya rushwa London kwa tuhuma za Maisha ya kifahari

    Aliyekuwa Waziri wa Rasilimali za Mafuta wa Nigeria, Diezani Alison-Madueke, amefikishwa mahakamani jijini London akikabiliwa na tuhuma za kupokea rushwa zenye thamani ya mamilioni ya pauni kwa njia ya fedha taslimu, mali za kifahari na matumizi ya majengo ya gharama kubwa kutoka kwa...
  10. M

    Wale wasafiri wa zamani waliopita mlima Sekenke, unakumbuka nini?

    Achana na Sekenke ya sasa hivi iliyochongwa, kuna ile ya zamani ambayo haikuwa na lami. Mara ya kwanza napita pale 2006 kwanza tukashushwa kwenye gari wakabaki wazee, watoto na wagonjwa, bus likaanza kukata mlima. Kwakweli ilikuwa hali ya kutisha.
  11. Waufukweni

    Ian Khama: Simtambui Samia kama Rais wa Tanzania sababu uongozi kaupata kwa mauaji na ukandamizaji wa wananchi

    Katika kongamano la African Renaissance lililofanyika Lukenya University nchini Kenya, Rais wa zamani wa Botswana, Ian Khama, alitoa kauli yenye mguso akisema “hamtambui Rais Samia Suluhu Hassan kama kiongozi halali wa Tanzania.” Alieleza kuwa uchaguzi wa mwaka 2025 ulitawaliwa na vitisho, vifo...
  12. Echolima1

    Mbunge wa zamani wa Uingereza George Galloway amezuiliwa baada ya kueneza Uchochezi huko Uingereza!!!

    Mbunge wa zamani wa Uingereza George Galloway amezuiliwa chini ya 'Sheria ya Ugaidi' leo, kwa klipu aliyoirusha hewani saa chache kabla kwenye chaneli yake ya YouTube ambapo alisema: "Israeli itafutwa kabla ya Palestina kuwa, na kama unavyojua, ni matakwa yangu na matumaini yangu."wachochezi...
  13. M

    Kama huyu mwalimu kaonekana katili basi walimu wa zamani wa Manyara ranch primary wangepelekwa the Hague kabisa

    Kwa wale tuliozaliwa na kukulia Arusha na Manyara lazima wengi wetu tunaijua au kuisikia shule ya msingi Manyara Ranch ilivyokuwa enzi hizo. Miaka ya 90 nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi hiyo shule ilikuwa kama vile shule maalum ya watoto watukutu... ikumbukwe shule ilikuwa porini makuyuni...
  14. Financial Analyst

    Eti hawa ndio at some point man utd walitegemea watawarudisha katika ukuu wao wa zamani

    Hawa sio waimba singeli kabisa hawa..
  15. M

    Spika wa zamani wa Ukraine auwawa kwa kupigwa risasi

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kimataifa/aliyekuwa-spika-bunge-la-ukraine-auawa-kwa-kupigwa-risasi-5173452
  16. R

    Mke wa Rais wa zamani wa Korea Kusini akamatwa kwa madai ya kupokea rushwa na kuingilia Chaguzi

    Mke wa aliyekua rais wa Korea Kusini, Kim Keon Hee, amekamatwa baada ya Agosti 12, 2025 usiku mahakama kutoa hati ya kumtia mbaroni kufuatia tuhuma za ufisadi ambazo yeye amezikanusha, kwa mujibu wa mwendesha mashtaka maalum anayeongoza uchunguzi huo. Soma pia: Mke wa Rais wa zamani Korea...
  17. DuaZaMama

    GE2025 Mbunge wa Zamani Sumbawanga Aeshi Hilaly Adaiwa Kugonga Makusudi Gari la Sultan Seif Salehe

    Katika video inayosambaa katika mitandao ya kijamii, inadaiwa ni tukio lililofanywa na mbunge wa Sumbawanga aliyemaliza muda wake na mtia nia pia kupitia CCM, Aeshi Khalfan Hilaly, kwa kugonga makusudi gari la Sultan Seif Salehe.
  18. The Zanzibar Echo

    Trump aamuru manowari za nyuklia kuwekwa tayari baada ya maoni ya rais wa zamani wa Urusi.

    Rais wa Marekani Donald Trump anasema ameamuru manowari mbili za nyuklia "kuwekwa katika maeneo yanayofaa" kujibu matamshi "ya uchochezi" ya Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev. Trump alisema alitenda hilo "ikiwa tu kauli hizi za kipumbavu na za uchochezi ni zaidi ya hayo. Maneno ni muhimu...
  19. Joshua Mbezi

    Mpenzi Wako Wa Zamani kaja kukuomba msamaha Utamsamehe?

    Ex wako kaja kuomba radhi juu ya Yale yote aliyokufanyia je utakuwa tayari kumsamehe na kumfungulia ukurasa mpya Ata kama utakuwa umeoa/kuolewa?
  20. Ex Spy

    TANZIA Hassy Kitine, Mkurugenzi wa zamani wa Idara ya Usalama afariki dunia

    Rest in peace Dr Hassy Kitine—the former Director General of Tanzania Intelligence and Security Service (1978-1980). Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Mbunge wa Makete na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayesimamia Usalama wa Taifa, Dr. Hassy (Hassan) Kitine amefariki dunia...
Back
Top Bottom