vyuo

  1. Uharibifu wa mazingira ni janga kubwa sana, shule na vyuo vitumike kusaidia kupambana na janga hili

    Hakuna shaka kuwa janga la uharibifu wa mazingira ni tatizo la Dunia nzima, athari za janga hili ni kubwa sana, Tanzania kama sehemu ya Dunia tumeanza/tunaendelea kupitia maafa ikiwa ni pamoja na ukosefu wa mvua, kupungua kwa vyanzo vya maji, mafuriko, kukauka kwa mabwawa etc ambavyo vyote hivi...
  2. I

    Admission capacity za vyuo 2024

    Habari zenu,ningependa kuuliza je, admission capacity za vyuo zinakuwa ni zilezile ambazo wana andika TCU guidelinebook au zina weza kuzidi au kupungua,naombeni afafanuzi🙏🙏
  3. Je, huwa kuna msamaha wa Katibu Mkuu wa bodi ya Ualimu kuhusu hawa waliopata division three?

    Habali zenu wana ndugu wa jamiiforms mimi na kijana wangu anasoma uwalimu wa special diploma ya sekondari ya miaka mitatu, na mwaka huu ni wapili wa masomo amefanya mtihani wa taifa wa kidato Cha sita amepata division three ya point 17 (3.17) na amefeli somo moja la kufundishia. ila sasa vigezo...
  4. Njia za Kuimarisha Ujuzi wa Programming kwa Watoto wa Kitanzania: Kuanzia Shule za Msingi Hadi Vyuo Vikuu (Tupate Fluent Programmers)

    Utangulizi: Habari wana JF! Leo ningependa kushiriki nanyi mawazo juu ya jinsi Tanzania inaweza kuzalisha programmers wenye ujuzi wa hali ya juu kwa kuanzisha elimu ya programming kuanzia shule za msingi hadi vyuo vikuu. Kwa sasa, wanafunzi wengi wanakutana na programming mara ya kwanza wakiwa...
  5. Msaada: Vyuo vya afya ngazi ya Diploma vinavyopatikana mkoani Morogoro

    Naombeni kufahamishwa vyuo vya afya ngazi ya diploma (kwa mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne) vinavyopatikana mkoani Morogoro, ni muhimu sana
  6. M

    Kwa wajuzi, dirisha la vyuo vya afya limefunguliwa? Na anaweza akapata huyu?

    Habari wana jf, nina mdogo wangu amemaliza kidato cha nne ,2023 na kupata div 1 ya 15. Kuhusu ufaulu masomo yote ya sayansi amepata B. Aliomba chuo kupitia utaratibu wa shule ule wa kuchagua selection alikosa, ( chuo cha afya kozi ya dental),sasa je nauliza akiomba kawaida kupitia nacte anaweza...
  7. R

    SoC04 Dira ya Elimu na ajira kwa wahitimu wa Vyuo Tanzania

    UTANGULIZI Hapa nchini Tanzania kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wasomi hasa wanaohitimu ngazi ya chuo ambapo wanategemea kuajiriwa kutokana na walichokisomea. Ofisi ya Takwimu Tanzania 2020/21 ilionesha kuwa jumla ya watu 675,899 (2.8% ya watu wenye ajira) ni waajiriwa...
  8. M

    SoC04 Namna Tanzania inavyoweza kuzalisha wataalamu bora katika vyuo vya sayansi na teknolojia nchini

    Tanzania tumekuwa na vyuo vikuu mbali mbali lakini bado hatufanyi vizuri kimataifa na kuzalisha wanasayansi ambao wanategemea kusubiri ajira na sio kugundua mambo. Hivyo serikali inatakiwa kuhakikisha inasimamia kikamilifu namna ambavyo elimu hiyo hutolewa. Mfano. Mwalimu anapotoa assigment kwa...
  9. Vyuo vikuu na vyuo vya kati, jitahidini kuzingatia maadili ya vijana wetu wakiwa huko masomoni

    Huko vyuoni mbona hamuweki vitengo vya kuratibu nidhamu na maadili ya watoto wetu wawapo masomoni, Mbona mmefanikiwa kuratibu taaluma na kudhibiti wizi wa mitihani vyuoni. Vyuoni imekuwa sehemu ya kuwabadilisha vijana kuwa Makahaba wa hadharani Mapenzi ya jinsia Moja. Kutumia mihadarati...
  10. Tunaotarajia kuomba kusoma Vyuo vya Afya kwa mwaka 2024/2025 tukutane hapa .TCU wanafungua mwezi ujao

    Hii ni thread kwa ajili ya kujadili changamoto ,miongozo ya kupata nafasi katika vyuo mbali mbali vya afya Hapa Tanzania.
  11. SoC04 Serikali iwaangalie wahitimu wa vyuo vya ufundi stadi VETA kwa kuwapatia nyenzo za kuwawezesha vijana kuendeleza fani zao

    Kutokana na ukosefu wa ajira katika nchi yetu ,Elimu ya ufundi stadi imekuwa mkombozi wa vijana wengi sana ndani ya nchi yetu kwani wamejengewa uwezo wa kazi mikononi mwao lakini uwezeshwaji wa vijana kimitaji ili waendeleze shughuli zao za kiufundi kwa kufungua karakana zao binafsi na kufanya...
  12. SoC04 Mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati na vyuo vikuu itolewe kwa wote watakaoomba

    Miaka ya nyuma, yaani 1995 na kurudi nyuma, elimu ya vyuo vya kati na vyuo vikuu vya serikali, iligharamiwa na serikali kwa asilimia 100. Miaka ya 1990, kufuatia utekelezaji wa mageuzi ya kiuchumi (“Structural Adjustment Programme”), mpango uliofadhiliwa na Benki ya Dunia (“World Bank - WB”) na...
  13. SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuwepo na utofauti kati ya vyama vya siasa vya uraiani na vile vinavyotumika vyuo vikuu na kati

    UTANGULIZI Nchi yetu ni ya kidemokrasia, na mifumo yote ya kiutawala inazingia misingi ya kidemokrasia. Hivyo Kila Raia anayo Hali ya kuchagua chama Cha siasa anachokiona Bora. Zipo tawala mbali mbali nchini zinazotumia mifumo ya vyama vingi kupata watawala au viongozi. Tawala Moja wapo ambazo...
  14. K

    Naomba kujua vyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) pamoja na ada zao

    Naomba kujua vylyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) na ada zao.
  15. K

    Naomba kujua vyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) pamoja na ada zao

    Naomba kujua vylyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) na ada zao.
  16. M

    SoC04 Kujenga vyuo vya VETA na kutumia wataalamu wetu wazawa

    Tanzania ya miaka 15 ijayo inapaswa kuwa nchi yenye mfumo imara wa vyuo vya ufundi stadi (VETA) ambao unatoa mafunzo yanayokidhi mahitaji ya soko la ajira. Kuimarisha vyuo vya VETA ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa letu, kwani itasaidia kutoa wataalamu wenye ujuzi na maarifa yanayohitajika...
  17. Top 10 za shahada za vyuo vikuu ambazo wahitimi wanajuta kusoma.

    Hii ranking imetokana na survey iliyofanyika kutoka kwa wahitimu wa vyuo vikuu wanaotafuta kazi, factors kama ugumu wa kupata kazi, competition na kiasi cha mishahara ndo vimechangia ranking ya hizi kozi. 10. English Language and Literature Degree (hii sio Bachelor of Education) 9. Biology...
  18. A

    Natafuta Vyuo vinavyotoa Course ya Commmunity Health

    Hivi course ya COMMUNITY HEALTH ipo na inatolewa kweli? Nimejaribu kufatilia vyuo vingi sijaiona. Naomba kama kuna mtu anajua chuo kinachotoa hii course tafadhali.
  19. B

    SoC04 Mafunzo ya Ufundi Stadi kwa Mujibu wa Sheria kwa wahitimu wa kidato cha nne wasio na vigezo vya kujiunga kidato cha tano na vyuo shirikishi

    UTANGULIZI Vigezo vya watahiniwa wa kidato cha nne kuchaguliwa kujiunga kidato cha tano ama vyuo shirikishi ni ufaulu wa kuanzia daraja I hadi III hivyo ni wazi kuwa idadi kubwa ya watahiniwa waliofanya mtihani wanakosa vigezo vya kujiunga na elimu ya kidato cha tano pamoja na vyuo shirikishi...
  20. B

    Uhaba wa Degree Programmes za Literature Vyuo Vikuu unasababisha uhaba wa Walimu wataalamu wa Literature mashuleni

    Habari wakuu. Tunapozungumzia kufundisha Literature tunazungumzia walimu wabobevu wa lugha ya kiingereza kwasababu hakuna fasihi bila lugha. Kwa muda mrefu nimekua nikitatizwa na upungufu wa walimu wa somo la English literature mashuleni. Hivyo nimesukumwa kufuatilia suala hili kwa undani na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…