vyuo

  1. C

    JamiiForums Tanzania Vyuo bora vya Pharmacy Tanzania

    Kama una mpango wa kuomba kusoma pharmacy,omba vyuo vifuatavyo: 1. Muhimbili ( Muhas) 2. Bugando ( Cuhas) cha wakatoliki 3. Bugando ( Mwachas) cha serikali 4. KSP kipo KCMC Moshi 5. Udom 6. Mtwara Cohas 7. Tabora Cohas Vyuo vingine go at your own risk! Utahangaika sana hasa utakapokuja kufanya...
  2. E

    JamiiForums Tanzania TanzaGIZA Serikali mfu kuanzia BUNGE mpaka VYUO VIKUU

    kwema ndugu zangu wa kitanzania Hivi serikali imeshindwa kabisa kuendesha mwendokasi Hivi Tanzania nzima hakuna kichwa/mtu wa kuweza kusimamia mwendokasi Hivi UDSM inazalisha wasomi kweli au ni chuo cha siasa, yaani Chuo cha TAIFA kimeshindwa kutoa akili moja ya kusimamia Mwendokasi Hivi...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua utaratibu wa kujiunga na Vyuo vya Uvuvi kama Mbegani-Bagamoyo na Nyegezi-Mwanza

    Kuna mdogo wangu anataka kujiunga na vyuo vya uvuvi kwa ngazi ya diploma . Matokeo yake yanaruhusu nimejalibu kufuatiria website ya feta hakuna taarifa wizara ya mifugo na uvuvi pia sijaona chochote naomba kwa mwenye ufahamu anaipe ualewa zaidi.
  4. JamiiForums Tanzania Kutatengwa budget kati ya sh billion 500 mpaka Trillion 1 kwa ajili ya kuboreshwa mazingira ya shule za msingi, secondary na vyuo vya ufundi

    Kwa Tanzania Bara kumekuwa na ongezeko la Idadi ya shule za msingi kutoka shule 3,270 mwaka 1961 hadi shule 20,384 mwaka 2024.Shule za sekondari zimeongezeka kutoka 41 mwaka 1961 hadi kufikia shule 6,263 mwaka 2021. Kwa mfano kila shule ikatengèwa billion 5 ili iwe katika kiwango kinachotakiwa...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kozi ya Uhasibu inaenda kuwa na tatizo kubwa sana kwenye ajira, kuna utitiri wa vyuo vingi sana mikoa mingi

    Tunakoelekea kazi za uhasibu wataanza kukaza kwenye gpa kupunguza utitiri wa waombaji, pia nafasi zitakuwa ni kwajili ya watu waliosoma uhasibu tu, wale waliosoma procuremnt, business administration,economics wataanza kuwekwa pembeni. Hivi ni baadhi tu ya vyuo TIA - DSM, Tanga, Mwanza, Mbeya...
  6. JamiiForums Tanzania Copy and paste ya China ndio kikwazo kwa Marekani kuanza kufuta Viza za masomo vyuo vikuu

    Wachina wamesababisha haya yote kufanya Rais Trump kufuta viza za masomo. Kwa nini na sema haya ?.Nchi ya china elimu kubwa wamepata USA tena upande wa teknolojia inaonesha kuwa ndio hasira za Rais Trump. Jambo lingine ni kwamba wanafunzi wengi ni majasusi wa nchi walizotokea na sasa kuna...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Vurugu katika Vyuo Vikuu vya USA leo hii, Bw. Walid Shoebat alivibashiri mwaka 2008

    Walid Shoebat ni Mpalestina aliyekuwa gaidi chini ya PLO-Palestine. Baada ya kujua ukweli aliacha ugaidi wake na kusimamia ukweli upande wa Israel. Mwarabu huyu ktk mahojiano yaliyofanya 2008 alielezea Uislamu kuwa si tu kuwa dini hatari bali pia kuwa uislamu ni mfumo wa kisiasa ulio hatari hata...
  8. JamiiForums Tanzania Aseeee Kuna vyuo vikuu na Vyoo vikuu aseeeee : haloooo

    Dah hatari kweli......!!!!!!!!!!!! Hatari na nusu....
  9. JamiiForums Tanzania Vyuo Bora vya IT Tanzania (Upande wa Practical Skills)

    1/ Katika kipindi hiki cha maendeleo ya kiteknolojia, tunahitaji kujadili kwa kina: Ni chuo gani nchini Tanzania kinachofanya vizuri zaidi katika kufundisha IT kwa vitendo na kuzalisha vijana wenye ujuzi? 2/ Ninazungumzia practical skills — sio tu vyeti. Tunazungumzia mafunzo yanayowaandaa...
  10. JamiiForums Tanzania Vyuo Bora vya IT Tanzania (Upande wa Practical Skills)

    1/ Katika kipindi hiki cha maendeleo ya kiteknolojia, tunahitaji kujadili kwa kina: Ni chuo gani nchini Tanzania kinachofanya vizuri zaidi katika kufundisha IT kwa vitendo na kuzalisha vijana wenye ujuzi? 2/ Ninazungumzia practical skills — sio tu vyeti. Tunazungumzia mafunzo yanayowaandaa...
  11. JamiiForums Tanzania Watu mliosoma wote kuanzia shule ya msingi, sekondari na vyuo hupotelea wapi?

    Habari za mapambano wakuu, Kuna swali huwa najiuliza sana haswa wiki inapoanza Jumatatu napokuwa naelekea kwenye majukumu, hivi watu niliosoma nao primary, seco na chuo mbona asilimia zaidi ya 97% siwaoni? Sio kwenye maofisi ya uma na binafsi, usafiri wa umma kama daladala na mwendokasi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania kitu gani kimeshusha brand ya vyuo na kozi za kilimo, watu wengi huenda kama mbadala baada ya kukosa nafasi kwengine.

    Hapo zamani nakumbuka watu wengi waliepnda kwenda vyuo vya kilimo au kusomea kozi za kilimo Hali ya sasa imebadilika, ile ari tuliyozoea kuiona imeshuka Sikuhizi ni herimtu aende chuo cha wanyama pori kuliko kilimo, mifano ya kozi Science in Wood Technologies Agricultural Engineering...
  13. JamiiForums Tanzania Vyuo vya Kati kuna ubabaishaji mwingi, mfano malipo ya ‘Sup’ yamegeuzwa kitega uchumi

    Mimi ni Mzazi wa Mwanafunzi anayesoma mojawapo ya chuo cha Kati Ngazi ya Diploma ya Udaktari, moja ya changamoto kubwa katika vyuo hivi ni matumizi mabaya ya malipo yanayofanyika kwa ajili ya kurudia mitihani ambayo Mwanafunzi amefeli. Ukifuatilia katika mamlaka ya NACTE wao maelekezo yao...
  14. JamiiForums Tanzania Mnajichimbia makaburi kwa mikono yenu wenyewe. Sikilizeni watoto wa vyuo

    Sikiliza kwa makini mdogo wangu wa chuo kikuu au chuo chochote kile – huu uzi nimeutengeneza specifically kwa ajili yako. Najua huta-like, najua utajisikia vibaya, najua ego yako ya kijinga itachafuka – but I don’t give a f*ck! This is real talk, and if you got a brain, utashtuka! Mnakuja...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Maombi ya vyuo, mikopo,ajira na kadhalika

    Piga au tuma meseji kwa 0623446608 update msaada kama umesahau password na kadhalika
  16. JamiiForums Tanzania Nadhani adhabu ya Viboko iwe ni moja wapo ya Adhabu Vyuo Vikuu Vyote Nchini Tanzania

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane Nimekuwa nikisema mara kadhaa ya kwamba,mwanadamu yeyote aliye na ngozi nyeusi ni ngumu sana kumkontroo bila maamuzi magumu na yanayoumiza! Sisi ngozi nyeusi tuko tofauti kabisa katika uelewa ukilinganisha na ngozi nyeupe! Hebu fikiria hivi...
  17. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo waliodhalilishana wameudhihirishia umma kuwa elimu ya VETA ni muhimu kuliko elimu ya Chuo Kikuu.

    Ukweli mchungu! Umalaya, ushoga, usagaji, na uhuni umekuwa kipaumbele kikubwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuliko elimu iliyowapeleka huko. Wengi wanahitimu shahada zao na GPA kubwa za kwenye makaratasi kuliko kilichopo kichwani mwao - kwasababu ya rushwa za ngono na pesa. Wakirudi majumbani...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi wasomi wa serikali akiwemo Kailima walisoma vyuo gani?!

    Katika kujenga hoja yangu naomba nitoe mfano mdogo. Juzi Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi akitoa tamko la kuifuta Chadema katika uchaguzi. Tume hiyo inaongozwa na wanasheria na wataalamu mbalimbali. Mbali na maelezo ya Dkt. Nshala ambaye ni Chadema, ukisikiliza mawakili mbalimbali waliohojiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ujinga wetu sasa umepanda mpaka vyuo vikuu

    Nikikumbuka mijadala ya Mwl Nyerere pale UDSM miaka Ile juu ya umajumui wa kiafrika na nikiangalia leo wasomi WA vyuo vikuu wanvyotumika kama chawa wa wanasiasa kupitishia agenda zao kwa faida yao aibu naona Mimi. Hivi mwanafunzi wa chuo kikuu anashindwaje kutambua ubaya wa hii katiba...
  20. JamiiForums Tanzania Hakuna umuhimu wa kuwepo kwa A-LEVEL na vyuo vya kati kwa wakati mmoja .

    Serikali ingeliboresha sera ya elimu kufuta A-level na kuacha vyuo vya kati . Sioni kama kuna umhimu wa kwenda kidato cha tano na sita ikiwa kuna vyuo vya kati Ambapo moja kwa moja student anaenda kupata ujuzi kuliko kwenda advance kusoma notice na practical za mchongo za kupasua vyura siku 10...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…