vyuo

  1. JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Utoaji mikopo kwa Wanafunzi wa vyuo nchini unafanyika kwa ubaguzi sana

    Mwanasiasa Abdul Nondo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT Wazalendo amezungumzia taratibu zinazotumika kutoa mikopo kwa Wanafunzi wa vyuo kutoka kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akisema utoaji wake ni wa kibaguzi. Wanafunzi walioshtakiwa ~...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwa shule na vyuo binafsi, je umeandaa na kuwasilisha taarifa zako za fedha zilizokaguliwa za mwaka 2025 kwenda TRA?

    Kama umekuwa ukivutana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) sababu ya kodi inayotokana na uandaaji wa hesabu za shule au chuo chako…Basi soma mpaka mwisho… UKWELI USIOPINGIKA…Zipo shule pamoja na vyuo mbalimbali hadi leo hii wamelemewa na madeni makubwa yatokanayo na kodi kutoka TRA. Hili siyo...
  3. JamiiForums Tanzania KERO HR vyuo vikuu vya Tumaini Makumira na Tumaini Dar es Salaam (Dartu) kuna tatizo gani? Mnaita watu kwenye interview halafu mnapotea mazima. Kulikoni?

    1. Hivi vyuo vingine hivi ni shida tupu. Niliitwa kwenye interview Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira. Kwa bashasha na matumaini tele nikafunga safari ndefu ya kutoka nyumbani Bukoba mpaka Arusha. Walikuwa disorganized balaa na mazingira yalikuwa very hostile lakini hatimaye interview ilifanyika...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta Vyuo vya sanaa ya uchoraji level ya diploma

    Habari wanajf. Natafuta Vyuo vya uchoraji Tanzania, Kuna mto anapend kuchora na anataka akasomee kozi inayohusiana na kuchora. So far nimeona kozi ya Performing and visual arts pale Tasuba itamfaa, ila web ya TASUBA naona haifunguki. Naomba mwenye Orodha ya vyuo vinavyotoa kozi zinahusiana...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wahadhiri nao walalamikia Mfumo wa PEPMIS, washindwa kupandishwa daraja licha ya kukidhi vigezo vyote

    Napenda kuwasilisha hoja kuhusu changamoto inayowakabili Wahadhiri wengi wa Vyuo vya Elimu ya Juu nchini katika mchakato wa kupandishwa vyeo. Kwa sasa, Wahadhiri wengi wamekwama kutokana na sharti la mfumo wa PEPMIS (Performance Evaluation and Project Management Information System), licha ya...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada wa Maombi ya Ajira, Vyuo na Mikopo

    HII NDIO LIST YA HUDUMA UTAKAZOPATA KWETU HUDUMA KATIKA MASUALA YA AJIRA 1. KUJISAJILI AJIRAPORTAL 2. KUJISAJILI TAESA 3. KUJISAJILI KATIKA BANK PORTALS 4. KUANDAA APPLICATION LETTER 5. KU EDIT DOCUMENT MBALIMBALI 6. AVN 7. TRANSCRIPT HUDUMA KATIKA MASUALA YA VYETI 1. KUPATA CHETI CHA...
  7. JamiiForums Tanzania Selection za kidato cha tano na vyuo vya Kati 2026 tayari zimeachiwa

    Link iyo chini kutazama https://selform.tamisemi.go.tz/Content/selection-and-allocation/2026/first-selection/index.html
  8. J

    JamiiForums Tanzania Changamoto Vyuo Vya Ufundi Stadi na Marekebisho kwa Vijana wenye Ulemavu: Ukosefu Walimu na Vifaa

    Habari Wana nzengo Mimi ni mdau wa maendeleo ya watu wenye ulemavu nimekuwa nikifuatilia vyuo vya watu wenye ulemavu vilivyokuwa chini ya ofisi ya waziri mkuu ambako kwa Sasa vimehamia katika wizara ya elimu sayansi na teknolojia vyuo hivi vipo Singida (sabasaba) Dar es salaam (yombo),Mwanza...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna maafisa NACTVET wanacheza michezo kuvifelisha Vyuo vya Kati kwa maslahi yao binafsi

    Baadhi ya Maafisa wa NACTVET wanafelisha vyuo vya kati, kuchelewesha kua-prove maombi yao ili wasipate AVN Number kwa wakati washindwe kwenda vyuo vikuu, lakini wanafanya hivyo ili kupewa rushwa ndiyo waweze ku-approve maombi yao, funaomba mtusaidie. Kiulizeni Chuo cha St Joseph College, tawi...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa comb ya PCP SIX ufaulu wa CDC naweza kupata kozi ya MD Kwa vyuo kama KCMC, Bugando na Kairuki?

    Husika na mada tajwa hapo juu msaada 🥺 please
  11. JamiiForums Tanzania Wale wote tuliopitia vyuo vya Ualimu TTC miaka hiyo tukumbushane tamu na chungu za vyuo vya TTC

    TAMU: Mimi binafsi chuo cha ualimu kilinijengea maadili ambayo mpaka sasa yananifanya niaminike na jamii inayonizunguka. Asante sana wakufunzi wangu. Chungu; vishawishi vya kimapenzi aisee! ingawa ni strictly prohibited vyuoni, hii ilitufanya tumalize chuo bila UTI na UKIMWI. KARIBUNI
  12. JamiiForums Tanzania TAHLISO wameandaa Kongamano la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu “Never Again” linalofanyika Ubungo Plaza, leo tar 16/05/2026!

    Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu (TAHLISO) wameandaa kongamano la wanafunzi wa vyuo walilolipa jina la Never Again, wakiwa na madhumuni ya kudumisha amani, hususani kwa wanafunzi Tanzania. Mgeni rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh Albert John Chalamila na viongozi wengine wa...
  13. JamiiForums Tanzania Wito kwa serikali kuhusu uzingatiaji wa sheria ya takwimu (sura ya 351

    Kwa kuzingatia masharti ya Kifungu cha 37 cha Sheria ya Takwimu, kinachokataza utoaji na upotoshaji wa takwimu rasmi kwa nia ya kuwahadaa wananchi, Serikali inapaswa kuimarisha usimamizi kwa wanasiasa na viongozi wa kijamii wanaotoa takwimu bila weledi. Nukuu ifuatayo inapaswa kuwa muongozo...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Chadema la jumuiya ya wanafunzi wa vyuo vya juu CHASO 2026

    02 May 2026 KONGAMANO KUBWA LA VIJANA WA CHADEMA CHASO 2026, UKUMBI WAFURIKA https://m.youtube.com/watch?v=O9I_Z6gJWfA CHADEMA Students Organization (CHASO) Tarehe 02/05/2026 wasomi wa vyuo vikuu na vya kati Mkoa wa Dar es Salaam na vyuo jirani watakutana katika kongamano la 2026 kujadili hali...
  15. JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu fanyeni mchakato wa kutoa Honoris Causa kwa waandishi wa vitabu vya kitaaluma

    Dar es Salaam – Katika kumbi za mihadhara za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na kote nchini, majina kama Angela Anselim Kiseku na Astrid Mushemba yanang’aa kama alama ya ubora wa elimu ya juu nchini Tanzania. Hawa ni wahitimu waliobeba tuzo za kimataifa katika uhandisi wa mafuta na jiolojia...
  16. JamiiForums Tanzania Haja ya vyuo vikuu na vyuo vya kati kuandaa mazingira bora ya wanafunzi kujifunza kwa vitendo katika masomo yao

    Kumekuwa na wimbi kubwa la wahitimu wa vyuo vikuu na vya kati kuhitimu elimu zao bila kuwa na ujuzi wa kivitendo katika taaluma walizozichagua. Hali hii imesababisha changamoto kubwa mitaani, hasa katika mchakato wa kutafuta ajira. Nitazingatia zaidi upande wa kada za teknolojia. Hii ni...
  17. JamiiForums Tanzania Vyuo vinavyo ongoza kwa kunguni kwa dar es salama

    Wakuu naombeni mnisaidie vyuo vikuu vinavyo ongoza kwa wadudu waitwao kunguni kwa dar es salaam
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vyuo vya Private vya Diploma za Afya hawana uwezo ndo maana kila kukicha wanalalamikia kufeli mitihani ya leseni

    Mimi ni Mhitimu wa Diploma ya Pharmacy Muhimbili College of Health and Allied Sciences, nimehitimu mwaka 2023. Nimesoma O-level nina Division 1 ya 14, A-level nina Div 2 ya 12. PCB baada ya kuwa na competition kwenye kozi za Afya sikupata chuo katika kozi nilizokuwa nataka kama Pharmacy, MD kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Zoezi la kubadili TAHASUSI na kozi za vyuo vya kati kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha nne lafunguliwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema kuwa, zoezi la kubadilisha tahasusi na kozi za vyuo vya kati kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha nne mwaka 2025 limeanza rasmi Aprili 11, 2026 na litahitimishwa Mei 10, 2026. Prof. Shemdoe amesema hayo leo Aprili 11...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baraza la NACTEVET halijatoa vyeti vya wahitimu wa kada ya nursing Chuo cha Newala School of Nursing waliohitimu September 2025

    Baraza la NACTVET halijatoa vyeti vya wahitimu wa kada ya nursing chuo cha Newala School of Nursing waliohitimu September 2025. Cha kusikitisha ni kwamba vyuo vingine vilishapatiwa isipokuwa chuo kimoja tu kitu kinachopelekewa wahitimu kukosa fursa mtaani na hamna maelezo ya kueleweka kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…