Kwanini suplementally na incomplete hazifanyiki kwa pamoja? Yaan unakuta mtu hakufanya mitihani kadhaa halafu baadhi akafanya sasa kwa bahati mbaya aka sup moja wapo lakini siku ya second sit anaambiwa afanye tu incomplete halafu Sup mpaka baadae why?
Sababu ni kama kumpotezea mtu muda. Mdogo...
Akichangia bungeni mbunge Keneth Nollo, amesema serikali ifikirie kuondoa ada kwa wanafunzi wa chuo nchini sababu umasikini na mkubwa na wengi hawawezi kumudu.
Badala yake wanafunzi wa nje pekee ndio wawe wanalipa ada.
Wana Jamvi JF,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza niende moja kwa moja kwenye mada. Kabla ya mwaka 2023 wanafunzi waliokuwa wanafaulu kidato cha sita na kudahiliwa katika vyuo mbalimbali Tanzania pamoja na vigezo vya kusomea taaluma maalum za sayansi, udaktari na ualimu kupata asilimia...
"Je, ni lini Serikali itakipandisha hadhi Chuo cha Maendeleo ya Jamii Musoma ili kiweze kutoa Shahada" - Mhe. Juliana Didas Masaburi, Mbunge wa Viti Maalum (Vijana Taifa)
"Ili Chuo kiweze kufikia elimu kwa ngazi ya Shahada kinatakiwa kiwe na ithibati kamili n vigezo stahiki ikiwemo miundombinu...
Je, wajua Sheria ya Vyuo Vikuu ya mwaka 2005 na Kanuni za Mwaka 2013 zimepiga marufuku Wanafunzi kujihusisha na shughuli za Chama cha Siasa ndani ya Majengo ya Chuo?
Kifungu cha 57 cha Kanuni ya Vyuo Vikuu inasema "Mwanafunzi yeyote au Mfanyakazi wa Chuo Kikuu anayejihusisha katika
shughuli za...
Serikali isipofuatilia kwa umakini sifa za uanzilishwaji wa vyuo vya Afya kuna uwezekano wa kuzalisha madaktari feki.
Ukiangsli Jiji la Tanga , kwa mfano tangu mbunge wao Ummy Mwalimu awe waziri wa Afya, kuna vyuo vya afya vingi bubu vimeanzishwa kila kona ya Jiji kulikoni!
Kwa takriban miezi miwili sasa kumekuwa na Malalamiko mfululizo kutoka Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu kutoka maeneo mbalimbali nchini ambao wanadai Fedha zao za Refund walizolipa wakati wa kujisajili kisha kuahidiwa kurejeshewa wakati wa kuingizwa fedha za Mikopo lakini hadi sasa wengi...
Habari za muda huu,
Naomba kuuliza na kuhitaji kujua ni taratibu zipi zinatumika kupandisha ada katika taasisi na vyuo vikuu nchini.
Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) IAE main campus kilichopo bibi titi road posta jijini Dar es salaam, wamekua na utaratibu wa kushtukiza na kupandisha ada...
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof. Charles Kihampa, akizungumza na Waandishi wa Habari, Dar es Salaam, leo Oktoba 13, 2023 kuhusu kufunguliwa kwa dirisha la Awamu ya Nne ya dirisha la Udahili kwa programu ambazo bado zina nafasi kwa mwaka wa masomo 2023/2024.
Tume ya...
Habari wanajamvi,
Inabidi tuzungumze uhalisia wanajamvi matokeo ya wanafunzi wengi wa vyuo wa miaka ya hivi karibuni yamekua duni ukilinganisha na vizazi vilivyopita vya miaka 90s,80s,70s, GPA kuanzia 3.8 ni za kutafuta na tochi vyuoni haswa haswa vyuo vya umma
Moja ya sababu ni kumekua na...
Habarini Wakuu, Hatimaye Mama kaupiga mwingi tena.
Kwa Maelezo zaidi pitia pdf mimi nitagusia Vipaumbele tu.
6.0 MAENEO NA PROGRAMU ZA KIPAUMBELE KATIKA UTOAJI WA MIKOPO
6.1 Maeneo ya Kipaumbele
Mkopo utatolewa katika maeneo makuu sita yakiakisi vipaumbele vya Taifa
kama ilivyoainishwa katika...
Vije na Utaratibu Maalum wa Kuwatunuku JamiiForums Members na Honoured Doctorates ( PhD ) na hata Uprofesa wa Heshima kutokana na Michango yao mikubwa, ya maana, yenye Tija, Maendeleo na Chachu ya Mabadiliko kwa Ustawi wa Kijamii, Maeneo na Masuala Mtambuka ya ndani na nje ya Tanzania.
Mfano...
Kumekuwa na Situation ya wanafunzi wengi walio vyuoni kupunguza nguvu ya kusoma kwa bidii, Wanafunzi wengi wamekuwa wakijichanganya sana mtaani kwa shughuri za kuingiza japo pesa kidogo (Mishe Mishe).
Kwa Upande wangu naweza sema, Changamoto ya Ajira wanayo ishuhudia ndio inawakosesha nguvu ya...
Mtaala mpya unapendekeza Walimu wa vyuo vya Kati vya ualimu wawe na shahada ya Pili (master degree) ya Elimu je utekelezaji wake umeshaanza?
Je wale ambao wapo mpaka Sasa vyuoni na hawana sifa hzo utaratibu wake upoje? Je mwl akiwa na sifa hzo tajwa ili ajiunge kwenye vyuo hivyo utaratibu...
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof. Charles Kihampa
Baada ya kuibuka kwa malalamiko kadhaa mitandaoni kuhusu udahili wa Wanafunzi wanaofanya maombi ya kujiunga na Vyuo Vikuu wakati huu ambao dirisha la udahili limefunguliwa, Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetoa...
Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Anne Semamba Makinda, Spika Mstaafu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwa Mkuu wa Chuo (Chancellor) cha Sayansi...