Nawapa pole sana wazazi wenye watoto wa kike vyuoni hasahasa hivi vyuo vya katikati

Smith Rowe

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
3,375
5,592
Salama kitu gani?
Nimetoka kibaruani nimejichokea, hapa ndani ya mji mdogo wa Himo mara bila kutegemea naparamiwa na msichana ananililia, anaomba aokolewe mpenzi wake amelewa anampiga na marungu.

Anaomba msaada nikamchukulie vitu vyake arudi chuoni Kilacha(chuo cha mifugo), jamaa ananifata amefura nimuachie demu wake amfundishe adabu kumuangalia vizuri ni bodaboda ninayemfahamu muda mrefu sana.

Mtoto wazazi wanajibana litoto limepata ufaulu wa ajabu form four/six linakuja kuhangaika na bodaboda huku mtaani.

Mzazi wa huyu binti shame upon you.
 
Situkani mamba sijavuka mto.

Dunia ishaharibika
 
Unamuonea mzazi bure. Kwani huo uchafu anaofanya binti mzazi wake huko nyumbani anaujua? Kosa la mzazi liko wapi hapo?
 
yaah she should feel shame for her daughter.
Hizo ni lawama? au unakula mjani?
Hii ndiyo shida yenu waswahili,mnatumia maneno ya lugha za kigeni kwa mkumbo bila hata kujua maana yake halisi.
Mtu hadi umwambie "shame upon you" (aibu/fedheha iwe juu yako) maana yake amefanya kitu kibaya ambacho kinamfedhehesha mbele ya watu.
Lawama ni nini?
Lawama ni maneno ambayo mtu huambiwa baada ya kufanya kitu kibaya (kosa) au kutotimiza wajibu wake.
Mtu ambaye hajatenda kosa huwezi kumlaumu wala fedheha haiwezi kuwa juu yake.
Yajue maneno kabla ya kuyatumia kwenye jukwaa kama hili.
 
Halafu wazazi wenyewe ni hawa mabraza wako 40+
Hawa wamekula sana dada zetu huku mitaani. Mnavyoambiwa zinaa ni deni mnataka alipe nani. Mla naye huliwa. Mkae kwa kutulia.
 
Back
Top Bottom