vyombo vya habari

  1. Profesa Mkumbo: Serikali na CCM tunahitaji vyombo vya habari madhubuti

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amebainisha kuwa Serikali ya awamu ya sita na Chama Cha Mapinduzi Kinathamini uwepo wa Vyombo vya habari imara, katika kukuza uwajibikaji na kuimarisha utawala bora nchini. Akizungumza na wahariri wa Vyombo vya Habari na...
  2. Kinachoiponza Kenya ni kuachia vyombo vya habari kuhubiri siasa kwa 95%

    Hilo ndilo kosa kubwa linalofanywa na uongozi wa Kenya siasa kwenye vyombo vyao vya habari ni Kwa 95%,vipindi vya kimaendeleo Kwa Kenya vinapatiwa 5% only,Tujifunze Kwa majirani, hakika mungu anaipenda sana tanzania yetu. #Anatuletea mifano kwenye malongo yetu. #Vyombo vya habari vinanguvu...
  3. S

    Kocha Fadlu umefedhehesha brand ya Simba, hukupaswa kusema Yale kwenye vyombo vya habari pengine na wewe umechangia kutuangusha

    Jana wakati anahojiwa na Media, Fahdu anasema Simba Haina wachezaji wenye quality kama Yanga, ina maana Israel Mwenda, Boka, Wana quality kubwa sana kushinda Kapombe na Shabalala, matatizo ya ndani ya timu kiuongozi ndio unahamisha kwenye quality ya wachezaji, kwani ulikuwa una ulazima Gani...
  4. Rais Trump avishambulia vyombo vya habari, CNN na New york times

    Maandishi yake mwenyewe....
  5. Kenya: Serikali yaagiza vyombo vya habari kusitisha matangazo ya moja kwa moja ya maandamano ya Gen Z

    Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CAK) imetoa agizo kwa vituo vyote vya runinga na redio nchini kusitisha mara moja matangazo ya moja kwa moja ya maandamano yanayoendelea ya tarehe 25 Juni. Katika waraka ulioandikwa tarehe 25 Juni 2025 uliowasilishwa kwa "Vituo vyote vya Runinga na Redio"...
  6. R

    Rais Trump amekosoa vyombo vya habari, adai Mashambulizi dhidi ya Iran yaliharibu Vinu vya Nyuklia

    Rais wa Marekani Donald Trump amekosoa kile alichokitaja kuwa upotoshaji wa habari kuhusu taarifa za intelijensia zilizovujishwa na kwanza kuripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari vya Marekani Rais Trump ameshikilia msimamo wake kwamba mashambulizi ambayo aliamuru kufanywa dhidi ya Iran...
  7. Wakati Serikali ya Samia ikijitetea huko Geneva, Maovu yake yazidi kuanikwa na vyombo vya habari vya Kimataifa

    Kama kawaida, Vyombo vya habari vya Kimataifa vinazidi kuyaanika maovu ya Serikali ya Samia dhidi ya Wananchi wanaotumia haki yao ya kutoa maoni. Leo Chombo cha Kimataifa kinachoaminiwa sana Duniani kwa Taarifa za Uhakika za Biashara na Uchumi Bloomberg kimeripoti suala la kukamatwa kwa Vijana...
  8. Taarifa Potoshi ni chanzo cha maamuzi mabovu. Je, ni upi wajibu wa vyombo vya habari katika kuwezesha upatikanaji wa taarifa sahihi?

    Vyombo vya habari vina wajibu wa kuhakikisha wananchi wanapata taarifa sahihi na kwa wakati ili kuchochea maamuzi sahihi sambamba na uwajibikaji. Wajibu huo unaweza kufanikishwa kwa kupambana na kuzuia taarifa potoshi zinazosambazwa ndani na nje ya mtandao. Salome Kitomari mhariri wa gazeti la...
  9. K

    Israel yaweka udhibiti mkali wa taarifa kuhusu vita yake na Iran

    Kama Israel inashinda hii vita na kweli inazuia mashambulizi dhidi ya Iran, Kwanini inazuia media kutoa taarifa? Hadi channel za YouTube zimezuiliwa kurusha matangazo upande wa Israel. Hii inamaana kutakua na mchujo mkubwa wa habari. Na huwenda tutakua tunadanganywa sana upande wa Israel...
  10. Rais Samia atembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma na kuzungumza na wananchi Juni 14, 2025

    Rais Samia akitembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma (Km. 112.3) na Kuzungumza na Wananchi, leo tarehe 14 Juni, 2025. https://www.youtube.com/live/TgN_32Yqzlo?si=JWFkm-rF1pIErqq9 ==== Rais Samia ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya mzunguko wa Dodoma yenye urefu wa...
  11. Kuna Vitu katika Nchi hii vinapotoshwa sana. Ni vile tu media ya Tanzania zimekosa watu wenye uweledi

    Kuna taarifa hapa nimeiona TBC... kama wanavyoiita wAo Aridhio. Kuna dogo anagombea nafasi ya CWT. Yani sielewi, wamemkuta wapi!? Wamemhoji nini!? Wanataka nini kwake !? Ili iwe nini!? Lakini ili habari ikamate maji.. atleast angetoa number zaake ili wadau tumuhoji... TBC Mjihakiki...
  12. DRC yapiga marufuku Vyombo vya Habari kutoa taarifa kumhusu Rais Mstaafu, Joseph Kabila

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imepiga marufuku vyombo vya habari nchini humo kuripoti kuhusu shughuli za aliyekuwa Rais, Joseph Kabila, pamoja na kufanya mahojiano na wanachama wa chama chake cha siasa. Amri hii inajiri wakati kukiwa na mvutano mkubwa wa kisiasa kati ya Bw...
  13. Wazee wa Yanga wapiga marufuku Vyombo vya Habari na Viongozi kufanya promotion mechi ya Juni 15, wasema wakinyang'anywa points siku hiyo ligi itaisha

    Wazee wa Yanga SC wameomba isitokee chombo cha Habari chochote kikatangaza ama kufanya promotion ya mchezo wa Juni 15 na kuitaja Yanga SC. Wazee pia wamesema isitokee Kiongozi wao akapeleka kwani akipeleka timu uwanjani juni 15 ataondoka yeye milango ipo wazi. "Tarehe 15 ndio itatoa taswira ya...
  14. Vyombo vya habari kuwekewa ngumu kufatilia uchaguzi Burundi

    Toka jana, waandishi na watangazaji wengi nchini Burundi, wamekwama jijini Bujumbura. Lengo lao lilikuwa kufuatilia mchakato mzima wa uchaguzi. Chama tawala cha CNDD-FDD, kiligawa nchi na kupata majimbo 5 ya uchaguzi. Waandishi hao na watangazaji, kwa mjibu wa taratibu za chama tawala, CNDD-FDD...
  15. Je, Unaweza Kurekebisha Taifa Kama Watu Wengi Ni Wapumbavu? : Tahadhari kwa Tanzania

    “Ikiwa huwezi kusoma vizuri, kufikiri kwa mantiki, au kuelewa habari unazozipata — basi wewe si sehemu ya suluhisho, bali ni mzigo wa taifa.” Ni wakati wa kusema ukweli bila kificho: Ujinga sio tatizo dogo tena — ni janga la kitaifa. Ukiangalia hali ya Marekani, ambayo kwa miongo mingi imekuwa...
  16. Hivi ndivyo Bahasha za Khaki zinavyodhalilisha vyombo vya habari vya Tanzania

    Yaani vyombo Tofauti vimeelekezwa kuandika vile ambavyo mlipaji anataka. Poor Tanzania!
  17. Mahakama yasema kesi ya Tundu Lissu, Juni 2, 2025 itakuwa 'Live'

    Kwa mujibu wa mahakama wenyewe watarusha matangazo ya moja Kwa moja kutoka mahakamani. Kwa mara ya Kwanza tutashudia matangazo hayo ya mahakama ikiwa kweli Wanafanya hivyo
  18. Simba walikubali pressure iliyotolewa na vyombo vya habari kuwapumzisha baadhi ya wachezaji kisa wamechoka kilichowakuta ndo hiki Cha 3: 1

    1). Kama Kawa akili za kuambiwa changanya na zakwako yaani wachambuzi wa bongo ni hatari Sanaa! 2). Simba baada ya kukosa kombe la Caf, morali ya timu imeshuka! 3). Hapo ndipo wachambuzi wakaingia kwa miguu yote miwili kuwa Simba inakikosi kipana! Wakasikilizwa, kumbe wanaoongea wanatamani Simba...
  19. PreGE2025 CCM imesomba vijana mitaani kwenye vyombo vya habari wanacho kiongea hakieleweki hii inatia aibu

    CCM imesomba vijana mitaani na kuwaweka mbele ya vyombo vya habari wanacho kiongea hakieleweki hii inatia haibu sijui ulaya na dunia itakapoona itakuwaje ? Nina asilimia kubwa kuwa hawa vijana wamekusanywa na kusombwa tu mitaani na kulishwa maneno na mtu kisha kuja mbele ya vyombo vya habari...
  20. I

    Maria Sarungi kapotosha, hakuna chombo cha habari kimefungiwa kwa kumkosoa Rais

    1. VYOMBO VYA HABARI VILIVYOFUNGWA Katika mkutano wa Oslo Forum, Maria Sarungi ametoa madai ya kupotosha kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini, akieleza kuwa kuna vyombo vingi vya habari vimefungwa na Rais Samia ili kujitengenezea njia rahisi ya ushindi wa Mwezi Octoba. Hakuna chombo cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…