Kumekuwa na michezo mingi sana ya ubashiri kwenye vyombo vingi vya habari hasa redio na television.
Michezo hii imepewa majina mbalimbali kulingana na chombo cha habari husika, mfano:
-Pakua mkwanja
-Cheza pesa
-Mshiko faster
-Pesa mkwanja nk
Hata hivyo mtindo wa uchezaji ni mmoja (utofauti...