vyombo vya habari

  1. Mkurugenzi TAMWA Zanzibar avitaka Vyombo vya Habari kuripoti kwa kina Mapungufu Sheria za Habari ili zifanyiwe marekebisho

    Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ), Dkt. Mzuri Issa, amehimiza vyombo vya habari kuripoti kwa kina mapungufu ya sheria za habari za Zanzibar ili zifanyiwe marekebisho na kutoa fursa kwa wananchi kupata habari bila vikwazo. Akizungumza na...
  2. Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania waungana na Wanahabari wa Simiyu kumpinga DC Simalenga

    CHAMA Cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) kinaungana na Chama cha Waandishi wa Habari mkoa Simiyu (SMPC), kulaani tukio la Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga kuwadhalilisha wanahabari. Kwa mujibu wa taarifa ya SMPC, Simalenga ambaye amewahi kufanyakazi katika chombo...
  3. PreGE2025 Maandamano CHADEMA Mwanza kuhujumiwa na Media: Ni wakati Kuviadhibu vyombo vya habari

    CHADEMA kikiwa ndio chama kikuu cha upinzani na chama ogopewa na watawala wa CCM kimepanga maandamano huko Jijini Mwanza. Kuna waandishi wa habari wabaadhi vyombo vyenye heshima kubwa wamepewa fedha, wanakusanya vijana wa Bodaboda ambao kwa asili ni vijana wa chama tawala wamekuwa wakijifanya...
  4. TCRA: Vyombo vya habari vinavyochanganya lugha kuchukuliwa hatua, ‘kuna haja ya kukiita kipindi Goodmorning?’

    Meneja huduma za Utangazaji, TCRA, Mhandisi Andrew Kisaka amesema kuwa tabia ya vyombo vya habari kuruhusu watangazaji kuchanganya lugha kwenye vipindi vyao ni kosa kisheria na watachukuliwa hatua. 📹 TheChanzo Written by Mjanja M1 ✍️
  5. Nape: Wanasiasa wote wapewe nafasi sawa kwenye vyombo vya Habari

    Waziri wa habari, mawasiliano na teknolojia ya habari Mhe. Nape Nnauye, amevitaka vyombo vya Habari nchini kutoa nafasi sawa kwa wanasiasa wote bila ya ubaguzi. “Vyombo vyote vya habari wapeni uwanja sawa wanasiasa watimize majukumu yao. Mtu akisemwa, wa upande wa pili apewe nafasi ya...
  6. Hatimaye Vyombo vya Habari vya Tanzania vyajiondoa ndani ya Chungu, hebu Someni hili gazeti

    Kwa miaka yote Tulipokuwa tunaelimisha Jamii kuhusu Haki , Uhuru na Demokrasia tulionekana kama vichaa, Kujihusisha na siasa ilionekana kama kujitafutia kifo na ujinga , Mamluki wa Watawala wakatutukana matusi yote hadi ya nguoni, hatukuwa na cha kuwafanya na wala hatukuhangaika nao sisi...
  7. Vyombo vya habari vya Ulaya na Marekani vikiripoti matukio

    1. Mwanaume mmoja aitwaye Johnson Powell amewachoma visu wanafunzi wanne na kuwaua huku wengine akiwapiga risasi. Tukio hilo lilitokea jioni ya leo. Mtuhumiwa huyo yupo kituo cha polisi. 2. Muhuni mmoja mweusi amewachoma visu wanafunzi wanne na wengine kuwaua kwa risasi katika chuo kimoja huko...
  8. Uhuru wa vyombo vya habari ni mojawapo ya nguzo muhimu za Demokrasia

    Kuimarisha Uhuru wa Vyombo vya Habari. Uhuru wa vyombo vya habari ni mojawapo ya nguzo muhimu za demokrasia. Rais Samia ameonyesha nia ya kuimarisha mazingira ambayo vyombo vya habari vinaweza kufanya kazi kwa uhuru zaidi. Hii ni hatua kuelekea kukuza uwazi na uwajibikaji. === Mambo makuu...
  9. M

    Wanasheria wakuu wa States mbalimbali za Marekani wavipiga mkwara vyombo vya habari visiripoti habari za HAMAS

    Hili ni somo kwa wote wanaodhani Marekani ni kiota cha freedom of speech! Iko hivi baada ya serikali za Magaharibi kuona kuwa public opinion inashift kwa kasi, ambapo raia wengi waliokuwa gizani juu ya ukatili wa Waisrael kwa wapalestina kwa miaka zaidi ya 70 kuanza kuamka. Wenye nguvu ndani...
  10. Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133

    Serikali imetoa taarifa kuhusu maendeleo ya hali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na mawe kutoka mlima Hanang Wilayani Hanang Mkoa wa Manyara, ambapo imesema hadi kufikiasaa 6:00 mchana leo December 08,2023 idadi ya vifo imefikia 80 (Watu wazima ni 48 wakiwemo Wanaume 19 na...
  11. CPJ: Hadi sasa Waandishi wa habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari 57 wamefariki: 50 Wapalestina, 4 Waisraeli, na 3 Walebanoni

    Vita vya Israel-Gaza vimeleta madhara makubwa kwa waandishi wa habari tangu Hamas ilipoanzisha shambulio lisilotarajiwa dhidi ya Israel mnamo Oktoba 7 na Israel kutangaza vita dhidi ya kundi la Wapalestina lenye itikadi kali, likifanya mashambulizi katika Ukanda wa Gaza uliowekwa vizuizi. CPJ...
  12. R

    Millard Ayo kashapotea kwenye ramani ya vyombo vya habari kwa sababu ya siasa zisizotaka usawa

    Kijana huyu nilidhani atafika mbali lakini kwa sasa naamini kazi anazofanya ni zile za kutegemea wanasiasa walipe. Changamoto ya kazi hizi ni kwamba unafanya kazi kubwa ujira kidogo na wakati mwingine mikopo. Alipokuwa neutral kwenye online TV alipata wafuasi na mafanikio yakaonekana. Soon...
  13. Serikali kuleta chanjo ya lazima kwa ajili ya mifugo yote Nchini kama ilivyo kwa Magonjwa ya Binadamu

    Mkurugenzi wa Kurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus akizungumza na Vyombo vya Habari leo tarehe 15 Novemba, 2023, kuhusu ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alizozifanya nchini Morocco na Saudi Arabia...
  14. Mkutano wa 5 wa Wiki ya Vyombo vya Habari vya Uganda, 2023

    https://www.youtube.com/watch?v=dPisTx-swGs Leo tarehe 9 Novemba 2023, JamiiForums inashiriki katika Mkutano wa 5 wa Wiki ya Vyombo vya Habari vya Uganda, ulioandaliwa na Taasisi ya Media Focus on Africa Uganda. Mkunano huo unafanyika jijini Kampala. Mkutano huu unajadili kuhusu mustakabali wa...
  15. Wiki moja imepita toka Makonda atokeze kwenye vyombo vya habari. Je, huu ukimya unamaanisha nini?

    Je, Waziri Mkuu Majaliwa amemuweka Gavana? Maana mara ya mwisho alimtembelea Waziri Mkuu kisha akaenda bungeni kwa mwaliko wa Spika. Toka hapo hatujasikia tena zile kauli zake za KIFEDHULI!! JF tuendelee kumpiga spanna huyu Zerobrain
  16. Ukimya wa vyombo vya habari juu ya unyama wa wanajeshi dhidi ya raia huko Kawe

    Kufuatia tukio lq mauqji ya Luteni Kanali aambaye inasadikiwa alizozana na mwendesha bajaji na kupelekea ugomvi uliogharimu maisha. Imesemwa kuwa mruhumiwa ameshatiwa nguvuni akisubiri sheris kuchukua mkondo wake kuna vurugu zinaendelea Kawe ambapo baada ya shughuli za kuaga marehemu pale...
  17. Vyombo vya habari vikitangaza majanga watu wa Mungu hawapaswi kukaa kimya?

    Wakati serikali na vyombo vyake wanapotangaza kwa utashi wao juu ya majanga yanayoweza kulipata taifa tahadhari za kibinadamu kuchukuliwa. Watu wa rohoni hatupaswi kukaa kimya kusubiri yatokee kama yalivyotabiriwa. Inatakiwa watu wa Mungu waitishe maombi ya kubatilisha na kufuta kila...
  18. Guinea: Polisi yakamata walioandamana kupinga Ukandamizaji wa Vyombo vya Habari

    Watu 12 wamekamatwa katika Maandamano hayo akiwemo Katibu Mkuu wa Umoja wa Waandishi wa Vyombo vya Habari vya Guinea (SPPG), Sekou Jamal Pendessa, kwa pamoja wameitisha Maandamano wakiitaka Serikali kuondoa vikwazo ilivyoweka dhidi ya Tovuti ya Guineematin. Katika Maandamano hayo yaliyoitishwa...
  19. Matinyi: Vyombo vya Habari viachwe vifanye kazi yake kwa Uhuru. Ni baada ya Ifakara kuzuia kutoa taarifa, habari na matangazo yanayohusu Serikali

    UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA ILIYOTOLEWA NA HALMASHAURI YA MJI WA IFAKARA KUHUSU VYOMBO VYA HABARI NA WAANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA Oktoba 10, 2023 Idara ya Habari (MAELEZO) na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali imeona taarifa inayosambaa katika mitandao ya kijamii iliyotolewa tarehe 9 Oktoba...
  20. B

    Kongamano la Vyombo Vya Utangazaji Africa linafanyika Zanzibar

    Dk Rioba ataja fursa kongamano la mashirika ya utangazaji ya umma Dhima la kongamano ni vyombo vya utangazaji vya umma kwenda na mabadiliko ya kidijitali na TEHAMA ili viende na wakati au la vitaishia makumbusho kuwa vilikuwepo. Huku vyombo vinavyokumbatia mabadiliko ya teknolojia vikizidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…