vyeo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Huu ni Udhalilishaji wa ' Vyeo' vya watu..

    Eti nasisi tunasema tunaye wetu!! TanPol huu ni udharirishaji wa vyeo vya watu....mtakuja shitakiwa! HeISNot!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Polisi, Zimamoto, Magereza, Uhamiaji na Waziri mmeshindwaji kupandisha Askari vyeo Kama Rais alivyoagiza?

    Kupitia ukurasa wa Instagram Malisa ameeleza mianya iliyopo kwenye jeshi la Polisi kuhusu vyeo. Amefafanua namna ambavyo kukosekana kwa baadhi ya vyeo ndani ya jeshi Hilo kunashusha heshima ya jeshi nakupelekea ugumu katika kuongoza. Baada ya kusoma makala ile nilijaribu kufanya utafiti Kwanza...
  3. JamiiForums Tanzania Maana ya baadhi ya maneno kwa kiswahili

    Naomba kufahamishwa maneno yafuatayo yanayotumika kumu"address" viongozi mbalimbali wa kiimla na wakisiasa. Emperor na empress Chief Prince na princess Crown prince na crown princess His/her majesty His/her highness Duke His/her worship His/her Excellency Na mengineyo mengi. Unaweza...
  4. JamiiForums Tanzania Wote tunataka vyeo siyo kwamba tukikosa iwe nongwa. Haiwezekani wote tukapata

    Najua kwa sasa tunajitahidi sana kuvumilia vumilia na kujipendekeza ili tupate cheo au ulaji flani. Sasa hali hii ni kama tunakuwa kwenye tension fulani. Na kila mtu anajaribu kuja na maneno mazuri ya kuonekana anafaa sana ku praise na ku worship. Kama tulivyofanya kwa Magufuli hatimaye...
  5. JamiiForums Tanzania Vyeo ndiyo sababu ya UVCCM kutotaka Katiba mpya

    UVCCM wanajua kabisa kua katiba mpya hasa mchakato ulioanzishwa na tume ya Jaji Warioba na ile Pendekezwa hautambui kabisa nafasi za Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa sababu ni Makada wa Chama tawala na pia ni mifumo ya enzi za Nyerere ambako kulikosa na CHAMA NA SERIKALI, wakati huo ilikua ngumu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maafisa Utumishi wanaleta utani juu ya Watumishi kupanda madaraja, angalia kinachoendelea baadhi ya Halmashauri

    Wanabodi, salaam sana kama ni kweli kuwa hii ndio idadi ya watumishi ambao wameshaingizwa kwenye mfumo mpaka sasa hivi, basi nchi hii tunahitaji maombezi makubwa, pia inaonyesha kuwa baadhi ya halmashauri hawajatuma kabisa hata idadi ya watumishi wanaostahili kupanda. Yaani pamoja na mikwala...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Serikali iweke wazi orodha ya watumishi wanaostahili kupanda vyeo mwaka 2021

    Kwa kumbukumbu zangu, katika barua yake kwa wizara, idara na taasisi za serikali, Katibu Mkuu Utumishi aliwagiza wahusika kuwa ifikapo June 10 mwaka huu, wawe wamewassilisha serikalini orodha ya watumishi wanaostahili kupanda vyeo katika mwaka huu wa 2021. Hivyo, ili kuwapa watumishi fursa ya...
  8. JamiiForums Tanzania Ufahamu kuhusu vyeo vya Kamandi ya Jeshi la Wanamaji nchini

    Jana tarehe 29.5.2021 katika kituo cha luninga TBC niliona kikosi cha Jeshi la wananchi wa Tanzania kamandi ya wanamaji akiongea Mkuu wao Afande Makanzo katika majukumu yao, lakini begani alivaa alama fulani kwa kweli sizijui kabisa lakini aliandikwa Rear Admiral Makanzo wajameni hiki ni cheo...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Serikali muliangalie la kuajiri watu wasioelewa wajibu wao

    Habari wanabond, poleni na majukumu ya kila siku. Mimi ni mtu anayeishi taifa moja la ugaibuni (west). Ninachokiona, tutazidi kubaki nyuma kama ajira zitakuwa zinatolewa kwa watu ambao hawajui nini kilifanya waajiriwe katika maofisi au taasisi za serikali, jirani yetu Rwanda kuanzisha kampuni...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Wakuu wa Wilaya za Temeke Godwin Gondwe pamoja na 'Kukuru Kakara' zao zote Marais wanasita Kuwapandisha vyeo, ila kwa wengine wanapanda fasta?

    Enyi Wakuu wa Wilaya za Temeke Godwin Gondwe na Iringa Richard Kasesela nitafuteni GENTAMYCINE upesi ili niweze 'Kuwabariki' na 'Mkono' wangu wa 'Baraka' ili nanyi msiwe mnasahaulika Kupandishwa 'Vyeo' Serikalini japo huwa 'mnachakarika' sana kwa Msaada wa Makamera ili Juhudi zenu zionekane...
  11. JamiiForums Tanzania Dunia hii bado kuna ufalme wa kurithishana vyeo na habari za uzao bora (noble birth)

    Duniani kote hii ishu bado haijaisha. Ilifikiriwa juwa labda demokrasia itafanya watu wapewe vyeo vya kiasiasa kutokana na uwezo na si uzao wai lakini hili bado halijatokea. Ukiangalia kwenye vyeo kuanzia ubunge, uwaziri, ukuu wa mikoa, wilaya nk utakuta kuna proportional kubwa sana ya uzao wa...
  12. JamiiForums Tanzania Haki na Demokrasia havitakuja Tanzania kwa Rais kuwapa vyeo Serikalini Viongozi wa Upinzani

    Jana nimemsikia Rais Samia Suluhu Hassan akidai kuwa ataanza kuteua nafasi za uongozi bila ya kuangalia vyama.Hilo halina ukakasi kwa mujibu wa sheria zetu ila kwangu mimi naamini kuwa hizo ni mbinu za kijanja janja za kurudisha utulivu wa kisiasa nchini baada ya ule uchafuzi wa wazi aliofanya...
  13. JamiiForums Tanzania Je, uwezo ( umahiri ) wa Walinzi ( Bodyguards ) wa Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu huwa ni sawa au hutofautiana kulingana na Vyeo husika?

    Kwa nchi nyingi tu ( siyo Tanzania ) huwa naona kuanzia Marais wao, Makamu wao wa Rais na Mawaziri Wakuu wao huwa wana 'lundo' la Walinzi ( Bodyguards ) wakiwalinda. Nikiamini kabisa kuwa hapa JamiiForums kuna Wajuvi ( Pundits ) wa 'Sekta' hii au hata 'Wahusika' wenyewe leo wataweza kunisaidia...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mnyukano kwenye kupanda vyeo kwa watumishi wa umma, Waziri elimisha wafanyakazi kupitia maafisa utumishi

    Katika hali inayoonekana kuwa na taharuki ni Rais, kutopandisha mishahara kwa watumishi wa umma, imesababisha wafanyakazi kutoelewa ni nani anastahili kupata cheo kipya, ili aweze kujikwamua na hali ngumu ya kimaisha. Kunahitaji elimu ya kutosha, kinachoonekana watu hawaelewi ni muda gani...
  15. U

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Uganda Yoweri Museveni Awapandisha Vyeo Brigedia Jenerali 7 Kuwa Meja Jenerali & Makanali 33 kuwa Brigedia Jenerali

    Rais wa Uganda na Amiri Jeshi Mkuu wa UPDF Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni amefanya uteuzi kwa kuwapandisha vyeo Majerali na Maofisa Waandamizi wa Jeshi la nchi hiyo.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Wagombea vyeo vya kisiasa wawe wanapimwa afya zao

    Naelewa ajira za umma ni lazima muombaji apimwe afya yake baada ya kukidhi vigezo vingine vya ajira ndipo ataruhusiwa kuingia ofisini. Ni vema zoezi kama hili likawa linafanywa kwa wagombea wa nafasi za kisiasa wakiwemo wabunge na madiwani. Kwa mfano ukisikiliza mijadala ya Tundu Lissu na...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani: Umeme ukikatika eneo lako toa taarifa, mameneja wa wilaya wakizembea siku 15 nawashusha vyeo

    Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani akikagua Miundombinu ya Umeme eneo la Ntyuka Jijini Dodoma 1 Aprili 2021, amewataka Wananchi kutoa taarifa sahihi na mapema pale Umeme unapokatika katika maeneo yao ili TANESCO iweze kuwafikia haraka na kurejesha Umeme mapema. Waziri Kalemani ameeleza...
  18. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu mpya wa CCM: Mwendo wa kupandishwa vyeo, wapya wataharibu 'formula'

    Pamoja na ramli zote zinazopigwa kwenye uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa CCM, taarifa za ndani ya chama zinaanika wazi kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM atakuwa ni Komredi Rodrick Mpogolo ambaye kwasasa ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara. Uteuzi wake ambao utafanyika wakati wowote kuanzia juma...
  19. JamiiForums Tanzania Waliowashawishi kuhamia CCM wanaondoka bila ahadi ya vyeo kutimia. Nani alaumiwe?

    Humphrey Polepole ambaye ndiye aliyekuwa ofisa mazungumzo (manunuzi) siku yoyote ataachia kiti cha uenezi kwa vile kishaingia bungeni. Huku mlipaji mkuu wa chama ambaye ni Katibu Mkuu Mh Bashiru Ally akiteuliwa kuwa Katibu Mkuu kiongozi wa Ikulu, na bila shaka ataondoka kwenye Ukatibu Mkuu wa...
  20. JamiiForums Tanzania IGP kupandishwa vyeo askari kuendane na utaratibu wa zamani wa sasa unakwaza

    Hivi sasa wameonekana askari wenye elimu kama Diploma na degree kwenda kusomea cheo wengine wa zamani walio kaa sana wana miaka zaidi ya 8 hawajawahi pandishwa cheo wakiwa wanakidhi vigezo vyote na ni watiifu wamebaki, vijana walio ingia kabla yao na ambao hawana vigezo vya muda wa kukaa kazini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…