vyeo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM mnazeekea kwenye corridor za Lumumba. Vijana wa upinzani wanazidi kulamba vyeo. Mpo?

    Inauma, inauma Sana! Umeanza kuipenda CCM tangu utoto, ukashiriki chipukizi kisha ukaingia UVCCM. Umesaka mpk vyeti vya elimu ya juu ili uwe na sifa zote za kupewa nafasi ndani ya chama ulichokipambania tangu utoto wako lkn unaishia kusugua benchi kwenye korido za Lumumba. Kuna siku jpm...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Siasa za Upinzani ni kwa ajili ya kutafuta vyeo wakikosa vyama husambaratika ngoja tuwaone Chadema!

    Siasa za upinzani hapa Tanzania zimejikita katika watu kujitafutia madaraka, vyeo na ajira binafsi. Ngoja tuwaone Chadema watafika wapi baada ya wanachama wake maarufu wote kupoteza ubunge na udiwani. Nawatakia Sabato yenye baraka. Maendeleo hayana vyama!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sasa ni zamu ya ACT Wazalendo kukataa ujinga na kutuonyesha kuwa nyie si wasaka vyeo bali wazalendo kweli

    Ndugu zangu wa ACT-Wazalendo Fanyeni mfano wa CHADEMA, achaneni na ujinga wa serikali ya umoja wa Kitaifa huko Zanzibar!. Serikali ya umoja wa kitaifa inaweza kupatikana tu katika uchaguzi huru, wa haki ambao maamuzi ya wananchi kweli yameheshimiwa Serikali ya umoja wa kitaifa haiwezi...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba hakuna mwanaCHADEMA aliyewahi kupambana na CHADEMA na akashinda, wengi wanaishia kudhalilika tu hata kama watapewa vyeo

    Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Viongozi wa taasisi kama Polisi na NEC kuibeba CCM dhidi ya vyama vya upinzani ni kuelewa kwamba wapinzani wakichukua serikali wataondolewa vyeo vyao

    Wala sio hesabu ngumu. Ni wazi sana kwamba taasisi kama Polisi na NEC mara kwa mara zinafanya ukosefu mkubwa wa usawa dhidi ya vyama vya upinzani. Umewahi kujiuliza kwa nini? Sababu ni moja, viongozi wa taasisi hizi wanajua wazi kwamba Upinzani ukichukua serikali wataondolewa madarakani...
  6. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini jeshi la sasa la Iraq lina maafisa waandamizi wa vyeo vya juu kama Major General Saleh Nasser ilhali liliundwa na kusukwa upya mwaka 2003?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini jeshi la sasa la Iraq lina maafisa waandamizi wa vyeo vya juu kama Major General Saleh Nasser ilhali liliundwa na kusukwa upya mwaka 2003? Mtu anawezaje kuwa Major Gerenal ndani ya miaka 17 tu ya utumishi...
  7. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania IGP wewe ni mzoefu katika hiki chombo sasa ni wakati wa kutumia weledi japo kuna shinikizo kubwa

    Habari IGP Sirro. Matumaini yangu nikuwa huwa naamini katika utendaji wako uko makini! Na mbaya zaidi hiki chombo cha Polisi unakielewa vizuri sana kwa kuzingatia wewe umepitia ngazi mbali mbali katika jeshi hili!,Umekuwa ukifanya kazi kwa weledi sana. Mimi nitoe Rai kwako hasa katika kipindi...
  8. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Nashauri wenye Vyeo vya Kuteuliwa wawe wanapewa kiinua mgongo kila mwezi ili waendeshe maisha

    Kusema ukweli hela haikai hata kama utapewa kiinua mgongo cha milioni mia tatu hamsini baada ya miaka mitano, kitaisha tu na huwa aibu kwa mtu aliyewahi shika madaraka makubwa kama ukuu wa mkoa, wilaya au ubunge kufulia, huwaumiza sana watu waliompenda na kumtegemea. Ombi langu kwa...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Tabora ameagiza kushushwa vyeo kwa Walimu Wakuu wa shule ambazo zimekuwa zikifanya vibaya katika mitihani

    MKUU wa Mkoa wa Tabora, Dkt. Philemon Sengati, ameagiza kushushwa vyeo kwa walimu wakuu wa shule ambazo zimekuwa zikifanya vibaya katika matokeo ya mitihani. Alitoa kauli wilayani Urambo wakati wa mkutano na viongozi na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo kwenye ziara ya kikazi. Dkt...
  10. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Wachumi mnisaidie: Fedha iliyookolewa kwa kutoongeza mishahara, vyeo na marupurupu watumishi kwa miaka 5 inaweza kulipia miradi mikubwa mingapi?

    Nimejiuliza mambo machache baada ya kusikia rafiki zangu serikalini wakinena jambo. Kuwa, miradi mikubwa kama Stieglers, Ndege nk fedha zilizolipia miradi hiyo ni zile zilizookolewa kwa kutopandisha vyeo, nyongeza ya mishahara,nk. Hii inaweza kuwa wako sahihi? Nisaidiwe!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya teuzi mbalimbali akiwemo DC mpya wa Ilala

    Rais Magufuli amemteua DED wa manispaa ya Kigamboni kuwa mkuu wa wilaya ya Ilala. Kadhalika afisa elimu wa manispaa hiyo ameteuliwa kuu DED kule Mpimbwe mkoani Katavi. 2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
  12. ZING SOKONI

    JamiiForums Tanzania Wateule kuacha nafasi na kukimbilia ubunge inamaanisha nini?

    Licha ya onyo kali la mwenyekiti kwamba mtu aliye mteuwa asijaribu kutangaza nia ya kugombea ubunge sehemu yoyote ile kwani atamkata,lakini hali imekuwa tofauti kabisa kwani wateuliwa asilimia kubwa wameonekana wakiachia nafasi zao na kwenda kuchukua fomu za kuomba kupitishwa kuwa wagombea...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuchunguza kinachowakimbiza wateule wa Rais kwenye vyeo vyao, yawezekana wamechoka kutumikishwa

    Ukichunguza kwa makini utagundua kwamba wengi wa hawa wanaojiripua hawana uwezo wa kupenya kwenye kura za maoni au hata kuupata ubunge wenyewe hata wakipita kwenye mchujo . Kwa mfano Watu kama Katambi , Ole Sendeka, Kitila Mkumbo au David Kafulila , hawa hata wafanye kampeni bila kuvaa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wanaoacha vyeo na kwenda kugombea ubunge, watapita wote wakiwa na kazi maalumu

    Nakumbuka Polepole alitoa kauli akiwaonya wale wanaotaka kugombea ubunge huko wakiwa ni wateule kuwa huko ni kuwa na tamaa na akiwaonya juu ya kufanya hivyo huku akisema yeye aliongea kwa niaba ya anaaewateua. Nadhani hata mteuaji mwenyewe alitoa onyo kama hilo hivi karibuni na wote mnajua...
  15. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Bangi Meru yawaponza OCD, OCCID, DSO. Rais Magufuli awaondoa | Amthibitisha James Kaji kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya

    Rais Magufuli wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi wateule amewaagiza wakuu wa vyombo vya usalama nchini kuwaondoa Mkuu wa Polisi wilaya ya Meru na Mkuu wa Usalama wa Wilaya Meru kuondolewa maeneo yao ya kazi kutokana na kukithiri kwa zao la bangi bila kuchukuliwa hatua madhubuti. Rais...
  16. Kawe Alumni

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Magufuli awataka watendaji kufanya kazi kwa kuzingatia viapo vyao. Awaasa kuridhika na nafasi walizo nazo, siyo kukimbilia Ubunge

    Tunasubiri tuone atasema nini Rais Mzalendo Magufuli ------ UPDATE---- Rais Magufuli leo amemwapisha Idd Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha anayechukua nafasi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Mrisho Gambo baada ya kutenguliwa Juni 19, 2020. HOTUBA YA RAIS MAGUFULI (KWA UFUPI) Nami niungane...
  17. Superbug

    JamiiForums Tanzania JWTZ, iombeni Serikali isitumie vyeo vyenu wala sare zenu kwa ustawi wa Taifa

    Naliomba jeshi letu JWTZ liiombe Serikali yetu isitumie sare zake kwa namna yoyote ile kwenye post za kiraia. Wala nafasi kubwa za kiraia za kuchaguliwa zisivae sare za jeshi letu kamwe. Sababu. Tunaànza kuona jeshi linatumika kisiasa kabisa wazi wazi Sasa wananchi wasije kutafsiri under...
  18. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa Wabunge na Viongozi wa Upinzani waliogoma kuuza utu wao

    Najua mmepitia mengi magumu, mmenyanyaswa, mmefungwa, mmeumizwa lakini hatimae miaka mitano ya mateso ya kusimamia na kuitetea haki inafikia mwisho. Hongera sana sana. MUNGU atawalipa. Mnaingia kwenye kipindi kingine kigumu zaidi, this time watatumia Tume, Polisi na hata Green Guards, kuweni...
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania Waliopewa vyeo vya Uwaziri na Unaibu Waziri wasiharibu taswira ya Rais Magufuli kwa maslahi yao!

    Hili ni angalizo tu kwa wanaopewa dhamana ya kuwa mawaziri au manaibu uwaziri kuwa mnapoaminiwa na Mheshimiwa Rais kupewa nafasi ya kuhudumia wananchi kamwe msiweke maslahi yenu mbele bali muweke maslahi ya Taifa Mbele na kamwe matendo yenu yasitake kuharibu Image ya mheshimiwa Rais. Wapo...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ndugai tutalikumbuka kwa kusimamia nidhamu kwa watu wote bila kujali vyeo!

    Kama utaniuliza bunge la Ndugai linaloelekea ukingoni nitalikumbuka kwa jambo gani basi nitakuambia lilijenga nidhamu miongoni mwao na wananchi kwa ujumla. Wabunge walioadhibiwa ni pamoja na Nassari, Godbless Lema na Makamu wa Rais bunge la Afrika mh Maselle. Viongozi waliohojiwa ni pamoja na...
Back
Top Bottom