Kwanini jeshi la sasa la Iraq lina maafisa waandamizi wa vyeo vya juu kama Major General Saleh Nasser ilhali liliundwa na kusukwa upya mwaka 2003?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti;

Kwanini jeshi la sasa la Iraq lina maafisa waandamizi wa vyeo vya juu kama Major General Saleh Nasser ilhali liliundwa na kusukwa upya mwaka 2003?

Mtu anawezaje kuwa Major Gerenal ndani ya miaka 17 tu ya utumishi ndani ya jeshi jipya?

asasdddddd.jpg

Iraq’s Ministry of Defence has appointed a new military commander to assume responsibility of security issues in the Diyala Governorate, Anadolu Agency reported on Friday.

Member of parliamentarian Security and Defence Committee Abdul-Khaliq Al-Azzawi told Anadolu Agency that the defence minister had appointed Major General Adnan Al-Enezi to succeed Major General Saleh Nasser in running the security file in Diyala.

Al-Azzawi confirmed that the commander took up his new responsibilities on Friday, issuing no explanation for the reshuffle.

The changes came amidst escalation of armed groups in the “Triangle of Death”, an area between the Diyala, Kirkuk and Salahuddin governorates. The armed groups are expected to be Daesh affiliates.

In August, Iraqi Prime Minister Mustafa Al-Kadhimi appointed Major General Raad Lijbour as the new commander to succeed Major General Ghassan Al-Azzi, who was ousted from his post.

ANGALIZO: Mimi Infantry Soldier sio askari jeshi wala mtumishi wa ofisi yoyote ya serikali bali ni raia mwema ninayeipenda sana Tanzania. Hili jina nilijpa kutokana na changamoto kadhaa nzito nilizowahi kuzipitia katika maisha yangu.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
Kwani inachukua muda gani kutoka private au Generali, kulingana na miongozo ama sheria unazozijua(zipi? /ziweke hapa?)
Note:Generali ni nyota 4,hakukufanyi kua muadilifu na kutumia silaha kwa weredi zaidi ya komando private.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti;

Kwanini jeshi la sasa la Iraq lina maafisa waandamizi wa vyeo vya juu kama Major General Saleh Nasser ilhali liliundwa na kusukwa upya mwaka 2003?

Mtu anawezaje kuwa Major Gerenal ndani ya miaka 17 tu ya utumishi ndani ya jeshi jipya?

View attachment 1599069

Iraq’s Ministry of Defence has appointed a new military commander to assume responsibility of security issues in the Diyala Governorate, Anadolu Agency reported on Friday.

Member of parliamentarian Security and Defence Committee Abdul-Khaliq Al-Azzawi told Anadolu Agency that the defence minister had appointed Major General Adnan Al-Enezi to succeed Major General Saleh Nasser in running the security file in Diyala.

Al-Azzawi confirmed that the commander took up his new responsibilities on Friday, issuing no explanation for the reshuffle.

The changes came amidst escalation of armed groups in the “Triangle of Death”, an area between the Diyala, Kirkuk and Salahuddin governorates. The armed groups are expected to be Daesh affiliates.

In August, Iraqi Prime Minister Mustafa Al-Kadhimi appointed Major General Raad Lijbour as the new commander to succeed Major General Ghassan Al-Azzi, who was ousted from his post.

ANGALIZO: Mimi Infantry Soldier sio askari jeshi wala mtumishi wa ofisi yoyote ya serikali bali ni raia mwema ninayeipenda sana Tanzania. Hili jina nilijpa kutokana na changamoto kadhaa nzito nilizowahi kuzipitia katika maisha yangu.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
uongo huu
 
Back
Top Bottom