vyama

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kwa wabunge wanapohama vyama vyao kipindi hichi?

    Ester Bulaya atimkia CCM, kuchukua fomu kugombea Bunda Mbunge Kaboyoka: Nimekuja ACT Wazalendo na watu, tutaishangaza dunia Oktoba 2025. Jee ubunge wao unakoma na posho na stahiki zake zote zinapotea?
  2. DolphinT

    JamiiForums Tanzania Misimamo ya Ndani ya Vyama vya Siasa: Changamoto kwa Demokrasia, Uwajibikaji na Haki za Binadamu nchini Tanzania

    Katika mfumo wa utawala wa kidemokrasia mathalani nchini Tanzania, vyama vya siasa vina nafasi ya kipekee katika kuongoza mchakato wa kisiasa na kutoa dira ya maendeleo kwa taifa. Hata hivyo, hali ya sasa ni ya hatari Kwa sababu misimamo ya ndani ya vyama hususani chama Cha mapinduzi, maarufu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Haijawahi kutokea tangu Dunia iumbwe chama cha upinzani kufanyiwa hivi

    Mambo makuu ya kisiasa ambayo hajawahi kutokea tangu Dunia iumbwe na tangu mfumo wa vyama vingi vya siasa uanze Nchini ni pamoja na:- 1. Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Nchini kupigwa ndani katika mwaka wa uchaguzi Mkuu. 2. Chama kikuu cha upinzani kuondolewa kwenye uchaguzi Mkuu. 3...
  4. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi vyama vya ushirika huwa wanalipa mshahara kiasi gani?

    Kuna chama kimoja cha ushirika mkoani mbeya nilifanya nao interview ya nafasi ya uhasibu.sasa katika interview waliniuliza mshahara ambao ningependa kulipwa,mimi nikawaambia uwe kati ya 1.7m-2.2m. Jana wamenipigia kuniambia kuwa nimepata ile nafasi na natakiwa kuanza kazi mara moja,nikamwambia...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunapata picha gani Viongozi wa CHADEMA ambayo haitashiriki uchaguzi kukubalika kwa wananchi kuliko vyama ambavyo vitashiriki uchaguzi

    Fanya utafiti kwenye vijiwe vya kila namna kuanzia bodaboda, wauza mkaa, walimu na Watanzania wote. Utasikia wanaropoka bila kumug'unya maneno. Kuwa hii ndio CHADEMA ambayo ipo kwa maslahi ya umma. Kulinda na kutetea maslahi ya umma. CCM ,CHAUMMA na wenzao ni mafisadi na wapo kwa ajiri ya...
  6. Daby

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa vyama vya Upinzani [to be specific CHADEMA] hawaaminiKI

    Huu ni ukweli ambao ni members wachache wataweza kuusema hapa hapa JF kuhofia kutukanwa na kuchukiwa. Hawa wafuasi hawaaminiki hata kidogo. Support yao mara nyingi imeishia hapa JF na X. Ikienda mbali basi labda IG na Club house. Juzi wamemsifu Gwajima kwa ujasiri mitandaoni. Lakini sasa...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa nafasi ya Uraisi, Uelekeo wa Vyama vingi vya Upinzani nchini ni Kumuunga mkono Mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan, Unadhani ni Kwanini?

    Ni kipi hasa kimewavutia zaidi vyama vya wapinzani nchini hata kujizuia kufikiria kusimamisha wagombea urais kupitia vyama vyao vya siasa, na kutoa fursa hiyo adhimu kwa kuunga mkono azma ya Dr.Samia Suluhu Hassan kugombea nafasi ya uraisi wa JMT katika uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025...
  8. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini kweli hawaoni yabayoendelea nchini kwa vyama vya upinzani hasa chadema inayopitia?

    Kila kona chadema imebanwa msajiri kila siku kutoa matamko yasiyo na tija na kusitisha ruzuku, viwanja vya mikutano imekuwa mwiba kwa chama hicho , uhamiaji kila sehemu wapo macho hawataki anayeitwa kiongozi wa chadema kuvuka mipaka ya nchi, mahakama nayo imebana kwa kuamua kesi ya chama...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha mahakama kuifungia CHADEMA kufanya siasa wakati huu, imethibitisha wazi ulaghai uliofanywa na Nyerere na CCM katika kuruhusu vyama vingi

    WaTanzania mtamwelewa sasa Lissu anavyosema Nyerere ameitendea uovu mwingi nchi hii! Alishiriki kuanzisha VYAMA VINGI vya ulaghai kwa katiba ileile ya chama kimoja! Zaidi aliongeza na Sheria za kihuni kwamba matokeo ya Rais yasihojiwe mahakamani! Sasa wananchi wameshtuka wanataka katiba na...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Msajili wa vyama KUFUTA usajili wa CHADEMA sababu ya kesi inayowakibili mahakamani

    JF Kuna tetesi msajili anatafuta kifungi cha kuifutia usajili CHADEMA, sababu ya kesi na maamuzi ya mahakama kusitisha shughuli zote za kisiasa za CHADEMA. CCM mnatupeleka wapi.?
  11. K

    JamiiForums Tanzania TZ nchi ambayo makanisa, vyama na watu wanafungwa na kufungiwa kabla ya ushahidi!!!!

    TZ nchi ambayo makanisa, vyama na watu wanafungwa na kufungiwa kabla ya ushahidi!!!!. Chadema imefungiwa hata kabla kesi yake haijasikilizwa, kanisa la gwajima limefungiwa bila yeyote kusikiliza kesi au onyo, Lissu kafungwa kama hata kesi yake haijasikilizwa, mshahidi mpaka leo wa siri na hakuna...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nyie vyama "uchwara", akina ACT et al kama CCM wanafanya fujo kama leo kwenye mkutano, Je kwenye kupiga kura? Zitahesabiwa? Utatangazwa?

    ACT et al, tazama kilichotokea watu waliotumwana system... CHADEMA TAKE NOTE; Nawaza tu, nawaza tu, nawaza tu....Kitakachofuata ni kumpiga Heche risasi wakasingizia kuwa hawajui nani alipiga risasi maana polisi hawatakuwepo kama ilivyokuwa leo! Erythrocyte Ni kuchukua tahadhali tu!
  13. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Kumshtaki Msajili wa Vyama vya Siasa Kupinga Kutengua Viongozi Walioteuliwa

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche amesema chama hicho kimewaelekeza wanasheria wa chama hicho kumshitaki Msajili wa Vyama vya Siasa wakipinga kutenguliwa kwa viongozi walioteuliwa na Baraza Kuu Januari 22, 2025. Soma pia: Heche amvaa Msajili Mei 13, 2025, Msajili wa Vyama vya...
  14. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Barua kutotambua uteuzi wa viongozi wa CHADEMA kwa jina la "msajili wa vyama vya siasa" ndiye aliyeandika ya kufuta kanisa la Gwajima.!

    Zilizothibitishwa rasmi kabisa ni kuwa; Mwandishi wa barua kwenda CHADEMA kusema kuwa haitambui uteuzi wa wajumbe wa kamati kuu na baadhi viongozi wa Sekretariate hususani Katibu Mkuu na manaibu katibu mkuu Tanganyika na Zanzibar kwa jina la "Msajili wa Vyama vya siasa" ndiye huyuhuyu...
  15. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Itungwe Sheria kupiga marufuku viongozi wa dini KUWA wanachama wa vyama vya siasa. Hapa ndipo kosa lilianzia.

    Kiongozi wa kidini anawaumini wa vyama vyote hivyo ili awahudumie inabidi awe nyutro. NI hayo tu. Suala la CCM kuruhusu wachungaji ( mashehe sijaona) KUWA wanachama wake na kuwapa uongozi wa kisiasa ndio limetufikisha hapa. Ni afadhali ijulikane kikatiba mtu ukiwa kiongozi wa kidini...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kukaa Kikao cha dharura cha Kamati Kuu Juni 3 kujadili Taarifa ya Msajili wa Vyama

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuwataarifu viongozi wake, wanachama, na umma kwa ujumla kuwa tarehe 3 Juni 2025, Chama kitafanya kikao cha dharura cha Kamati Kuu. Pia, Soma: CHADEMA kuijadili barua ya Msajili Juni 3.2025 Kikao hicho kitaanza saa 3:00 asubuhi na...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la Gwajimanization, kati ya hawa nani utampigia kura ya urais

    Hotuba ya Mh Rais jana imeleta feelings mpya among Tanzanians particularly kuhusu watu kutekwa, kuuawa, kupotezwa. Swali lilikuwa nani anawateka? ni akina nani watu wasiojulikana? Ni kama kitendawili kimeteguliwa jana! Watu fikra zinaweza kuwa zimebadilik kuhusu mustakabali wa taifa hili...
  18. E

    JamiiForums Tanzania CCM inaungwa mkono na vyama vya kikomunisti tu?

    Katika mkutano mkutano mkuu wa CCM unaoendelea jijini Dodoma, karibu vyama vyote vilivyotoa salamu hapa ni vya kikomunisti. Vyama vilivyotoa salamu ni pamoja na Russia (All-Russian Political Party United Russia), China (CPC), Communist Party of China (CPC), Korea Kaskazini Korean Workers' Party...
  19. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanawajibu wa kuhudhuria mikutano ya vyama kwa ujumla wake!

    Ipo kauli ilitolewa na bw. Lema akitaka watanzania wasiende kuhudhuria mikutano ya baadhi ya vyama, napinga kauli ya bw. Lema kwa nguvu zote, watanzania wanao wajibu wa kuhudhuria mikutano yote ya vyama kwa wingi kabisa, ili waweze kubaini ni yupi au chama gani kitawafaa kwa sababu kura ni siri...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya no reform no elections ,ni matumizi mabaya ya ruzuku ya vyama vya siasa

    Labda kama kapeni hii imefadhiliwa na EU au USA, vinginevyo ni matimizi mabaya ya ruzuku ya vyama vya siasa ambayo ni hela za walipakodi walalahoi wa kitanzania. Nasema hivyo kwa sababu the main goal ya kuzuia uchaguzi haitafanikiwa kwa sasa. Poor timing.sasa kama kapeni hii haiwezi kuletea...
Back
Top Bottom