KERO Walimu Halmashauri ya Wilaya Itilima – Simiyu tumekatwa fedha vyama viwili CHAKUHAWATA na CWT

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Halmashauri ya Wilaya Itilima, Mkoa wa Simiyu, Walimu tumekatwa makato kwenye vyama viwili vya Wafanyakazi ambavyo ni Chama cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu (CHAKUHAWATA) na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kinyume na taratibu za utumishi.

Taratibu zinaeleza kuwa Mtumishi atajaza fomu kuomba kujiunga na chama kimoja cha Wafanyakazi kulingana na idara yake, sisi wa CHAKUHAWATA tumeonewa na CWT.

Huu ni unyanyasaji wa kihisia na Kiuchumi, mshahara wenyewe tunapambana uongezeke lakini tunakuja kukatwa makato sehemu mbili, hii sio sawa hata kidogo.
 
CWT wamekuwa. Mbogo, hawataki kuachia walimu
 
Hayo ni maelekezo kutoka juu.hela za kampeni za ccm zinatafutwa
 
Fungueni kesi mahakamani mtalipwa na fidia sasa mkija kulalamika humu mtapata faida gani
 
Back
Top Bottom